So Diva moja,clere mbili.vipi unatumia shower gel?tafuta diva fademilk ya chupa inauzwa elf kumi changanya na hyo clere cocoa butter...ili kuifanya inukie vizur alaf kuifanya iwe nying..kwa ratio mim naweka chupa moja ya diva kweny bakul alaf napima hyo clere kwa kutumia chupa ya diva hyo hyo yenyew naweka chupa mbil..napaka sana ucku..wiki tu ngoz utaona inanawili alaf hyo kitu haina madhara haina chemical za sumu zilizopigwa ban
Tupe mrejeshodiva fademilk mixed na clere cocoa butter..,niko na light skin soft wadada wanajigonga gonga tu wanafkir nina hela kumbe wese tu limekubal
Foundation nzurii kampuni ya MacHebu wanaukumbi tushee hii kitu, hebu tuambizane. Je unatumia mafuta gani mwilini/lotion/cream? Unaogea sabuni gani?
Mimi kuanzia natumia lotion ya Ingram, naogea sabuni ya Pearl na mafuta ya nazi niliyotengeneza mwenyewe. Kila Jumapili natengeneza.
Matokeo nipo soft mpaka najitamani.
Wewe je?
NB: Natafuta foundation nzuri sijapata naombeni idea
sh ngapi?? vipi matokeo yakeNilipata kutumia CeraVe Moisturizing Cream sema bei kubwa sana
sh ngapi?? vipi matokeo yak
Bei yake ni kati ya elfu 70 na 80 inategemea na unaponunua ukinunua nnje ndio bei kubwa zaidi, hii kitu ni next level acha kabisash ngapi?? vipi matokeo yake
Nazi asili au za kiwandani?mafuta ya nazi kwa sasa ndo mpango mzima labda nipate mafuta mengine mazuri zaidi
Sent using Jamii Forums mobile app
Foundation nzurii kampuni ya Mac
used to love Sleek ila sizioni tena siku hizi
Yes BhanaMi mafuta napaka marine