Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,769
- 126,704
Maamuzi tuUnaofia nn kaka
Maamuzi tuUnaofia nn kaka
Game is overHeee yan inamaana Bado
Anachezea shiling kwenye
Tundu la choo??
Viwango vya viwanda au kilimo cha mkonoNajiona Mimi,
Kwa viwango vingine[emoji1][emoji1][emoji1]
Kigezo siyo fedha bali commitment na daring...mengine yatakuja tu.Najiona, I'm a successful person, a to morrow millionaire, japo nnavyoandika hii message akaunt benk haifki hata 10m!!!
Kesho ntaku video call watsapHahaha hata mi ya wasap hunikamati walahi,hivi vitu vina wenyewe.Sio kila kitu ni cha kila mtu
Hahaa ntakwambia sijavaa nguo so siwez kupokeaKesho ntaku video call watsap
Nimeongeza jambo...!Kabisa
Sio kila kitu ni cha kila mtuMaamuzi tu
Na siyo kila mtu ni wa kuwa na kila kitu...!Sio kila kitu ni cha kila mtu
Uko sahihiSio kila kitu ni cha kila mtu
MamaNajiona nina safari ndefu kuyafikia yale niyatakayo.
Kila nikiona hapa sasa naweza nikahema linakuja jaribu kubwa zaidi linalonitoa nje ya reli kabisa. Kwa huyu Mungu ninaemuona najiona kufikia lengo siku moja japo sijui lini ila naamini hata kesho yale niyatako yanaweza kuwezekana.
100%Uko sahihi
Uchochez unaruhusiwa ?Kwa sabab vile tunavojiona huwa ni kweli
Mbona JPM anajiona yeye ni bonge ya Rais lakini holaaa!
[emoji1]
Ishu siyo kujiona tuu braza
ShemShem anajiona kuwa ni mume bora,nategemea kusikia kua nawe wajiona ni mke bora
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Uchochez unaruhusiwa ?
Hope wamekusikia mama la mamaHata mimi ni mwanamke wa mume bora
Shem hajawahi kuniangusha. Bigi apuNajiona mimi kama mimi mtu ambaye najiamini na ambaye huwa sikati tamaa kwa magumu yoyote yanayonipitia