Unajionaje?

Unajionaje?

Najiona nina safari ndefu kuyafikia yale niyatakayo.
Kila nikiona hapa sasa naweza nikahema linakuja jaribu kubwa zaidi linalonitoa nje ya reli kabisa. Kwa huyu Mungu ninaemuona najiona kufikia lengo siku moja japo sijui lini ila naamini hata kesho yale niyatako yanaweza kuwezekana.
 
Hahah uthubutu dogo lake mfano una risk pesa kwa biashara ngumu pale unakuwa umeweka pesa yako rehani either mambo yaende sawa au kombo....

So unajiandaa kwa lolote dogo lake.....
Kweli huu ni uthubutu,hapo unajiandaa kulia au kukenua.Ila kibaya wengi hua tunategemea kukenua,likija suala la kulia dah!mpaka waweza konda eti
 
Jolie Jolie umeongea jambo la muhimu japo wengi tunafanya masihara. Biblia inasema ajionavyo mtu ndani yake, ndivyo alivyo.

Naomba nieleweke, jithamini na kutambua uwezo na thamani yako ilimradi usidharau wengine na kuonyesha majivuno.
Kwa sabab vile tunavojiona huwa ni kweli

Mbona JPM anajiona yeye ni bonge ya Rais lakini holaaa!
[emoji1]
Ishu siyo kujiona tuu braza
 
Kweli huu ni uthubutu,hapo unajiandaa kulia au kukenua.Ila kibaya wengi hua tunategemea kukenua,likija suala la kulia dah!mpaka waweza konda eti
Ndio afu hapo ndio huwa wanafeli inabidi unajaribu tena....

Na mambo huwa yana tick so unajikuta kwa ushindi huo unasahau hasara zote zilizojitokeza hapo katikati...
 
Jolie Jolie umeongea jambo la muhimu japo wengi tunafanya masihara. Biblia inasema ajionavyo mtu ndani yake, ndivyo alivyo.

Naomba nieleweke, jithamini na kutambua uwezo na thamani yako ilimradi usidharau wengine na kuonyesha majivuno.
Ni kweli kabisa Samaritan wanasema jione ulie bora nafsini ila usijikweze kwenye macho ya watu
 
Back
Top Bottom