harder king
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 3,968
- 6,920
Ndio namalizia kunywa af sikuon!Agiza hapo soda nakuja kulipa
Ndio namalizia kunywa af sikuon!Agiza hapo soda nakuja kulipa
Nakukimbia sasa[emoji124] [emoji124] [emoji124]Hahahaha fid q
Ongeza nyingine najaNdio namalizia kunywa af sikuon!
Unakimbilia wap sasa kichwa kichafuNakukimbia sasa[emoji124] [emoji124] [emoji124]
Lazima umuone yeye jamani
AmeenNa bwana azidi kukupigania na kukutia nguvu kwenye magumu yoote
Asante sanaHata mie nakuona hivyo hivyo.
Nimecheka......!Haya na Bangi ya usku unavuta
tu ya ucngiz
Asante sana
Umecheka kicheko ganiNimecheka......!
Nakuona ni mtu mwenye wivu yaani mkeo huko ana shida aiseeKwani wewe unanionaje Mama Yeyoo?
Ndio namalizia kunywa af sikuon!
Nakuona ni mtu kwenye wivu yaani mkeo huko ana shida aisee
Haa haa magwanda naonaHahaha magwanda vepe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haujakosea hata kidogo, hata mimi najiona hivyo ila najikaza nisionekane hivyo.
Jigga anaweza kuwa role model katika lipi?Ila mi jigga namkubali
Aiseee hakuna watu wa muhimuNingeshangaa kama wasingekua wao
Kawaida tuu Omwana, Unaweza jiona wa thamaani kumbe wengine wanakuona kawaida saaanaa. Btw Kila mtu ni wa thamani sana tena mno.Hujioni kuwa wa thamani sana omwana?
Umenena vyema omwanaKawaida tuu Omwana, Unaweza jiona wa thamaani kumbe wengine wanakuona kawaida saaanaa. Btw Kila mtu ni wa thamani sana tena mno.
Mungu azidi kuwabarikiAiseee hakuna watu wa muhimu
Kwang kama wao
Mungu azd kuwapa umri mrefu
Dunian
Love you baba na mama