Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
- #61
Hujioni kuwa wa thamani sana omwana?Yes omwana
Hujioni kuwa wa thamani sana omwana?Yes omwana
Na mi nime kumiss mumuNimekumiss Shem Darling
Bujibuji kwema?Nyanya Rukia
Ni kweli kila kitu kwa kiasiHata kujiona nafsini
Kusipite kipimo [emoji1]
Kawaida tyuNajiona wa simple tu
HaaaHongera ya nini tena?
Ni kweliNi kweli kila kitu kwa kiasi
Umenena vyema mkuu,lakini hata walio karibu wanaweza kukuona tofauti na uhalisiaPanapobaki wanamalizia waliokaribu juu ya wakuonavyo.
Hahah uthubutu dogo lake mfano una risk pesa kwa biashara ngumu pale unakuwa umeweka pesa yako rehani either mambo yaende sawa au kombo....Kaka unantisha,upekee wa aje tena?
Uweeee usifanye makosa ya kumfungulia kila mtu,usiamini sanaUkimpata mwerevu, unamfungulia mawili matatu ili hata ukiadimika aweze kujibia kwa wadau.
Bwana awe nawe katika kila hatua utakayopigaNajiona naweza kupiga hatua mbele zaidi
Wajiona wewe mwenyewe,nobody elseNajiona Mimi,
Kwa viwango vingine[emoji1][emoji1][emoji1]
Hahaha acha umbeaBraza saa hizi mna amani eeh?
NakaziaHao ni wakumulika kwa tochi zama hizi, ni bahati sana kumpata
Ni kweli...!Uweeee usifanye makosa ya kumfungulia kila mtu,usiamini sana
Only MeWajiona wewe mwenyewe,nobody else
Moja kwa kumiUkitumia tochi za mwendokasi unaweza kumpata.Wamebaki wachache sana.
Ukimulika zaidi utapata vya kukukera nafsiHizo tochi unaweza kumulika ambacho hakistahili kumulikwa