Unajionaje?

Unajionaje?

Najiona nina safari ndefu kuyafikia yale niyatakayo.
Kila nikiona hapa sasa naweza nikahema linakuja jaribu kubwa zaidi linalonitoa nje ya reli kabisa. Kwa huyu Mungu ninaemuona najiona kufikia lengo siku moja japo sijui lini ila naamini hata kesho yale niyatako yanaweza kuwezekana.
Mungu hajawahi shindwa,akikupa jaribu anakupa na mlango wa kutokea,unavyozidi kupata majaribu makubwa ndo unavyozidi kuwa strong.Mungu akutimizie kila hitaji la moyo wako
 
Huwezi kula kabisa maana ukifikiria anavyotapakaa kwenye matope,venye anakula kila anachokiona uwiiiiii aaaaargh hutamla
Hapo tatizo sio kuchunguza sana, tatizo ni dhana tuliyojijengea kwenye akili zetu.

Tumejenga dhana kuwa jambo fulani ukilifanya linatoa/leta matokeo fulani ambayo ni hasi ndio maana tunakuwa na hofu juu ya matokeo hayo.

Tunakula vingapi ambayo ni vyenye kuwa na uchafu zaidi ya bata na hatuvisemi!![emoji15] [emoji15] [emoji19] [emoji19]
 
Back
Top Bottom