Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,824
- Thread starter
- #461
Thank you NdumbulaYour right mkuu and i do agree u 100%
Thank you NdumbulaYour right mkuu and i do agree u 100%
Hahahahaha watu wanajua kutengeneza maisha bila kutumia nguvu.Hahahaha
Hamna sasa kwa life ile watachukiaje bhana.
Ila klynn is fake kwa kweli simkubaliii.
Hahahaha ni upendo tu,huwezi jua angeweza pia kuolewa na kibabu choka mbaya.Mapenzi hayachagui sometimesJacki asingeweza kuolewa na mtu alo pitwa na Mchache kwa miaka 10 kama angekuwa ni maskini.
She is a gold digger!
Kivipi jeki?Kama Rais tu.
HahahahahHahahaha ni upendo tu,huwezi jua angeweza pia kuolewa na kibabu choka mbaya.Mapenzi hayachagui sometimes
Hahahaha nisubiri twende woteHahahahah
Umeandika kitu ambacho hukiamini.
Naomba nikanywe supu
Ntarud
HahahahHahahaha nisubiri twende wote
Swali si unajionaje?Kivipi jeki?
Kitonga kuna mteremko wa hatar. Mwambie asiende huko kwa wakina machacheUyu JJ
Ata kuwa mke wa machache ndio ana mu impress kwa kutafuta easy life
Naona unakula mema ya nchi mkuuUsisahau mrejesho mkuu.
Ukitaka nikupe reference ya nayokutana nayo mtaani , utasema dooooohhh mmkuu kwann unafunika kombe.
Hiz furaha za nje nje hizi znakuwaga na mushkeliHahahaha nimeongelea lifestyle without kujudge mambo mengine,hatuwezi jua vya ndani but atleast furaha walionayo wakionekana kwa watu inavutia
Nitakuwa mtazamaji tu rafik.Asijifunze kukula wake za watu
MmmmhHahahaha ni upendo tu,huwezi jua angeweza pia kuolewa na kibabu choka mbaya.Mapenzi hayachagui sometimes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wanasema tujitahidi kugundua fursa,mtu kagundua fursa.Kajipigia mahesabu uyu mzee kazi kidogo faida kubwaHahahah
Wewe ntakuzidishia pilipili maana si kwa kumtetea Jackie huko
[emoji23] sawa bwana jekiSwali si unajionaje?
Mi nataka damu iliochangamkaKitonga kuna mteremko wa hatar. Mwambie asiende huko kwa wakina machache
Utatolewa miguuNitakuwa mtazama tu rafik.
Naanzaje kukula mali za watu wakina nanii mpo.
MmmmhMi nataka damu iliochangamka
Ndio maana ntakula kwa macho tuUtatolewa miguu