Picha mbao sio kitu cha kukosa mdau wa JF

Picha mbao sio kitu cha kukosa mdau wa JF

Mr Journalist

Member
Joined
Aug 16, 2025
Posts
15
Reaction score
44
Kwa Uhitaji wa Picha Mbao
Picha Kioo
Picha Saa

Basi Hapa ndio chimbo lako...
Tunatengeneza Picha Kuanzia Size A5 hadi A1 ambapo gharama zetu ni kuanzia Elfu 5 hadi Laki Moja

Kwa uhitaji, unaweza kuwasiliana nami kupitia WhatsApp +255 621 452 961

Tunaagiza Mikoa Yote Tanzania, karibu sana

1001273567.jpeg
1001269311.jpeg
1001269293.jpeg
1001269289.jpeg
 
Attachments

  • 1001269288.jpeg
    1001269288.jpeg
    76.9 KB · Views: 2

PICHA MBAO
A1 = 100,000/=
A2 = 50,000/=
A3 = 20,000/=
A4 = 10,000/=
A5= 5,000/=

PICHA SAA
A4 = 50,000/=
A3 = 60,000/=
A2 = 100,000/=

PICHA ZA FRAME KIOO
A1 = 140,000/=
A2 = 60,000/=
A3 = 24,000/=
A4 = 12,000/=

PICHA ZA GOLDEN FRAME
A4 = 12,000/=
A3 = 24,000/=
A2 = 60,000/=
A1 = 110,000/=
 
ok vizuri, ila kama utaweza naomba uwe unapost na hizo picha mlizonazo hapo ofisin kwenu na bei ya kila moja wapo ili ikitokea mtu ameipenda anafanya order
 
ok vizuri, ila kama utaweza naomba uwe unapost na hizo picha mlizonazo hapo ofisin kwenu na bei ya kila moja wapo ili ikitokea mtu ameipenda anafanya order

Sawa but picha nyingi huwa zina sura za watu ambazo huwa hatupost.

Huwa tunapost hizi za Quotes na picha zisizo na sura halisi za watu maana hatuna ruhusa ya kupublish picha za watu halisi tusije kushitakiwa bure😃
 
oooo

oooh kumbe mnadeal na picha za watu pekeake?,, mi nikajua ni zile picha nyingine za mapambo ndo nilikua namaanisha uwe unazipost sorry
 
oooo

oooh kumbe mnadeal na picha za watu pekeake?,, mi nikajua ni zile picha nyingine za mapambo ndo nilikua namaanisha uwe unazipost sorry

Nop sio za watu pekee ila wateja wetu wengi wamekuwa wanaleta picha zao na sio za Mapambo, hizi za Mapamdo ni watu wachache sana wamekuwa wakihitaji kutengenezewa
 
Back
Top Bottom