Kajolijo
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 3,364
- 4,619
Hebu tusaidiane na toa mchango wako juu ya hili, Mtoto alijikuta anatokwa machozi baada ya kugundua kuwa aliyekuwa anataka kumuomba msaada wa hela kwenye gari amewekewa mitambo ya oksjeni imsaidie kupumua,... karibu uchangie ulichojifunza.
NB: mihemuko, matusi na mapovu ni ruksa kwa wale wenye tabia hizo.
NB: mihemuko, matusi na mapovu ni ruksa kwa wale wenye tabia hizo.