Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

Unaishi vipi na mwanamke wa aina hii?

We acha tu japo ni kwetu lakini dada zetu kwenye suala la kuwa romantic ni changamoto mdada anaweza akawa mwenye akili mpole na mrembo lakini siku akikucharukia hutaamini unachokiona mbele yako,we still love y'all anyways,unconditionaly.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nime'imagine
 
Habarini,

Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.

Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.

Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.

Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
They are the rarest type of women you can find, huwezi kuishi nae unless wewe pia unatabia kama yake "Introversive". Akikushinda naomba no zake tufahamiane, binafsi siwezi kuishi nae ila napendelea challenge aliyonayo kiakili.

Naomba uni-PM kama kutakua na haja.
 
Tusubiri wakat uongee
 
unaishi nae au mpenzi wako,kama mpenzi tuuu kwa mapungufu hayo inaonekana ni ndege wawili lkn safari zao tofauti kabisaaaaa sasa baba eeeeeeh mueleze asipobadika ndege wengi sana na bado wanazaliwa.
 
unaishi nae au mpenzi wako,kama mpenzi tuuu kwa mapungufu hayo inaonekana ni ndege wawili lkn safari zao tofauti kabisaaaaa sasa baba eeeeeeh mueleze asipobadika ndege wengi sana na bado wanazaliwa.
Nimeelewa fasihi mkuu
 
Huyo dawa yake ni kumpa mgegedo wa haja...utaona mabadiliko. Asipobadilika basi anza kumfir*, yaan kila akikaa kimya wewe fir*, atanyooka nakwambia
 
Back
Top Bottom