geek jo
JF-Expert Member
- Mar 6, 2011
- 1,134
- 1,145
kuhusu hilo mtu huwezi kujua
wanajua wanaokupenda au anaekupenda
Itabidi ufanye jitiada ufahamu... ni muhimu kwa ustawi wa wako,,,
kuhusu hilo mtu huwezi kujua
wanajua wanaokupenda au anaekupenda
kabisa shogaaUmeona ee
sipingani na maoni yako ila mmh sidhani kama nikweliWa namna hii wanamegwa sana na shamba boy.sijui kwa nini???
kunibahilia kivipi??Ila umekwiva bi dada...................hata huyo mtu wako anavokubahilia anahisi una mikwanja ya kusaza......
uhuhuKwa sababu humu tunatumia id fake wacha tuamini ivyo
Sijamshindwa mkuuwenzako wanaokutanaga na kama hao wananileteaga mimi niwafundishe hao wanawake!! sasa sijui wewe unasubiri nini
Mkuu wanaraha yake mbali na kharaha tunazopatawe nae una moyo wa kuishi na jitu kama hilo...me msichana ambae hayuko charming hata mazoea nae sitaki kabisa.
Kwa nini unune na maisha mafupi haya.duuuh mtu anaweza akaongea kitu ukajihisi kama anakusema ww vile
umuhimu wake nn??Itabidi ufanye jitiada ufahamu... ni muhimu kwa ustawi wa wako,,,
kanigusa kwa asilimia 98& hizo 2 nimeziacha kwasababu huwa sinuniKwa nini unune na maisha mafupi haya.
Sawa ninaishi nae kwa miakili mingi....ishi nae kwa akili
Sijaoa mkuu ila mda mwingi niko nayehuyo demu umemuoa tayari au bado ni mchumba?
Ooohooo!Kama Ulimuona AlivyoHabarini,
Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.
Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.
Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.
Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
Huyu mzuri hana shida kabisa...Habarini,