mzeewangese
JF-Expert Member
- Feb 11, 2016
- 644
- 502
Tatizo linaanzia hapo sasa mpe heshima yake ...mupige pingu tu.Sijaoa mkuu ila mda mwingi niko naye
Tatizo linaanzia hapo sasa mpe heshima yake ...mupige pingu tu.Sijaoa mkuu ila mda mwingi niko naye
Introvertssanaa kwa 98% hizo 2 naziacha kwasababu sinunagi
Daah.. mkuu hilo jiwe gizan... lmegonga weng..Habarini,
Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.
Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.
Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.
Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
yeuuuuwiii yani vyote unavoviongea ni vyakweliIntroverts
-Kingine huwa inakuchukua muda mrefu kuzoena na watu wageni.
-Watu wa hivi hawapendi kukurupuka iwe katika kazi au jambo lolote hufanya kwa ubora wa hali ya juu ili kupata matokeo bora.
-Mwoga kuongea mbele za watu/ darasani.
-Kuna muda mtu unapenda kujifungia tu ndani peke yako na unajihisi uko kamili na mwenye furaha.
-
-
-
Naanza kuwajua wanawake sasaDaah.. mkuu hilo jiwe gizan... lmegonga weng..
Mmmh ok wacha nijitahidiBado hakuamini, ..... Jitahidi akuamini, akupende kiasi cha kukuona ni sehemu ya maisha yake, kwa hapo bado sana
Wewe ndiyo unamatatizo wote hawajaona malalamiko yanguItakuwa ww ndio una tatizo kwa nn uje ulalamike nje?dawa yk kila ukiwa nae ndani ww piga dole kwenye papuchi lzm atanyooka tu
Ahsante kwa ushaurMbona yuko poa nenda naye taratibu mweleweshe kwa upendo watu kama hao wanapenda attention 100% ila hawezi kukwambia utavozidi kuwa karibu ndivo atazidi kuwa muwazi kwako
Usije mdanganya kitu huwa wakisema inatosha harudi tena
Wanawake wa chuga mnakuwaga dry na wasela sana,jifunzeni kujibebisha kidogo,unamtongoza mdada anakukazia macho kama uko kwenye intavyuusanaa kwa 98% hizo 2 naziacha kwasababu sinunagi
Ongezea na hii akutafuti hadi umtafute wewe na ukimtafuta anaonesha hana mpangoHabarini,
Kwa wale wenye uelewa wa saikolojia au uzoefu wa mahusiano bila kuangalia umri wako, ili mradi usiwe mario.
Ni mwanamke anayeonekana ana mawazo kila saa, anafurahi dk 5, anakaa kimya dk 20, ananuna dk 40, ana maamuzi ambayo hajali kama yatakuumiza au yatakufurahisha, ni mtu wa kusimamia misimamo yake bila kuangalia madhara yake, anachoamua hicho ndicho atakachokifanya hata kama utamwambia madhara ya hicho kitu.
Mtu ambaye hapendi kabisa kelele za aina zozote zile, ila ni mtu anayeonekana ana mapenzi ya kweli, japo ni msiri, ukimuuliza una tatizo gani anasema hana, anaamini mambo yake atayamaliza mwenyewe, akisema hapana basi hawezi badilisha hayo maneno, hachelewi kughairi na akighairi basi ujue imetoka hiyo, ni mkali, hapendi kwenda sehemu yoyote ya kufurahi (out) anapenda kukaa ndani tu muda wote, anapenda kukaa peke yake mda mwingi.
Ni msichana mzuri, kila mwanaume akimuona basi atampenda.
mtu kuwa mtaratibu au mkimya haimaanishi kama ni kauzuWanawake wa chuga mnakuwaga dry na wasela sana,jifunzeni kujibebisha kidogo,unamtongoza mdada anakukazia macho kama uko kwenye intavyuu
Jaman sijamaanisha wewe shosti nazungumzia wadada wa arachuga kwa ujumla.huwa wanakaza sana aiseemtu kuwa mtaratibu au mkimya haimaanishi kama ni kauzu
ahahaha pole kama yalikukutaJaman sijamaanisha wewe shosti nazungumzia wadada wa arachuga kwa ujumla.huwa wanakaza sana aisee