Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imenilazimu kuanza kibarua kingine ku "supplement" ajira yangu kuu. Gharama ya nyuma, makadi kibao, na vitu vingine ninavyolipia ambavyo hata sivihitaji imenifanya nijikute nabadilisha sana mtindo wa maisha.
a. Hakuna kwenda sinema kila weekend;
b. Hakuna kula out (imebidi nijifunze kupika kitu kingine zaidi ya wali na maharage ya makopo)
c. Hakuna kwenda mjini kwa gari (naendesha hadi Mall, napaki nakuchukua UDA - SmartBus) siku nikiwa na mizunguko mingi
Sasa tatizo kubwa lililopo nikilinganisha na nilipokuwa nyumbani ni kuwa hapa kwenye kibarua kikuu na hata hicho cha pili "hakuna mitkasi" ya kuweza kusupplement kipato changu na hasa shughuli nyingi nizifanyazo. Wakati mwingine hali inakuwa ngumu na ninatamani kungekuwa na "njia" ya mkato ya "kibongo bongo" kuweza kujipatia "kipato cha ziada" bila kuhenyeka sana.
Sasa hili limenifanya nijiulize mtumishi wa umma au hata sekta binafsi (ambaye si mmiliki) anatumia njia gani kusupplement kipato chake na kuafford lifestyle yake? Hivi kwa kipato chako peke yake unaweza kumudu maisha yako au itabidi ufanye mabadiliko makubwa ya jinsi unavyoishi? Je yawezekana kumbe wengi wetu tukipewa nafasi ya kula, tutatafuna bila kukaribishwa na kumegua bila hata kunawa mikono? Je yawezekana baadhi yetu ambao tunatamani kushika nafasi fulani ya kiuongozi tuna upotential fisadism wa aina fulani?
Endapo mianya yote ya ulaji ikifungwa (no per diems, posho nyingine kama za vikao, za safari, za hali ngumu n.k) utafanya nini? Itakuwaje kama bosi wako anataka uwepo kazini kweli kwa masaa nane na usiende kushughulikia "miradi" yako wakati wa kazi? Vipi kama yule mtu wa supply akiamu kuzingatia sheria na kuhakikisha kitu hakitoki isipokuwa kwa saini na kwa idadi kamili; yaani njia zote za ujanja za kujipatia kipato zikibanwa utaweza kuishi kwa kipato chako au kutafuta shughuli nyingine halali katika muda wako wa ziada?
Je yawezekana tunaishi katika utamaduni wa kijanja janja kiasi kwamba ufisadi siyo suala la wenye nguvu tu bali pia watu wa chini ambao maisha yao yote wamejifunza "kuula" na hivyo kila mtu anapopata nafasi ya kutumikia kitu cha kwanza anachofikiria ni jinsi gani nafasi hiyo itampa kipato zaidi ya kile kilichoko kwenye mkataba?
Bila njia za ujanja ujanja tunaweza kweli kuishi kwa kipato chetu cha kawaida.
siyo kuhalalisha ndugu yangu bali kujaribu kufocus tatizo letu hasa ni nini? ndugu yangu Nyani ana msemo kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Wengi wetu tunakerwa na ufujaji wa mali ya umma na matumizi mabaya ya ofisi (hasa inapohusu wanasiasa). Najaribu kuona kuwa yawezekana tunawanyoshea kidole kimoja wao, vitatu sisi wenyewe na kimoja Mungu shahidi yetu.
Swali la msingi ni kuwa hivi kweli ikiingia serikali makini ikakata mianya yote ya "kipato cha ziada" na kulazimisha watu kuishi kwa malipo yao ya mwezi, wangapi kati yetu wataipigia kura serikali hiyo?
Mwanakijiji,
Unataka kuongea nini hapa? Ukitumia njia za mkato kuongezea pato lako ni wizi tu sawa na wa akina Chenge.
Kama unaongeza pato kwa kufanya kazi zaidi au kuwa na kazi zaidi ya moja nitaelewa lakini sio kuanza kuhamisha vifaa vya kampuni au kushinda kwenye miradi yako badala ya kufanya kazi uliyoajiriwa. Kama unatimiza majukumu yako yote na bado una muda kidogo wa kufanya mambo yako mengine hapo mimi sina tatizo.
Unapozembea kazi unatesa wateja wako, unamwingizia hasara mwajiri wako na pia unawatesa wafanyakazi wenzako ambao inabidi wafanye kazi zaidi shauri ya uzembe wako.
Naona bado sijakufahamu vizuri, labda tujadili hili kwa mifano halisi kwa yale yanayotokea kila siku katika sehemu mbalimbali za kazi.
Mfano wakusanyaji kodi za kila siku(service charge) wa Manispaa, hasa sokoni(marikiti). Hawa wana tabia ya kuwa na vitabu viwili viwili ya stakabadhi, ambapo kimoja ni kwa ajili ya mapato yake na kimoja ni kwa ajili ya kupeleka mapato ofisi kwake. Aina hii ya wizi unawaweka katika kundi gani? na aina hii ya ufisadi ukuhalalishwa utaisadia vipi Manispaa na serikali kuu kwa pamoja?
Mtanzania huu mjadala nimeupenda sana kuliko mijadala mingine tuliyoifanya hapa kwani huu unatuangalia sisi wenyewe na attitudes zetu kuhusu kazi, kuwajibika, usawa, uzalendo na mipango ya baadaye. Hadi hivi sasa kuna kila dalili kuwa hali ngumu ya maisha/tamaa ya maisha bora zaidi inawafanya watu kujaribu kujitajirisha kwa njia za mkato na kwa harraka.
Hata hivyo bado swali la msingi halijaangaliwa kwa kina kuwa endapo chama au mwanasiasa akijitokeza na kusema anataka kuziba mianya hii ya wizi, na ujanja ujanja mtu huyo/watu hao wataungwa mkono au wataonekana wanajaribu kuwanyang'anya watu 'halali' yao?
.Pasco, nimeshindwa 'kukuelewa'.
Inawezekanaje mwandishi 'aliyehongwa' kuweza ku retain/maintain objectivity?
Mwandishi anamtumikia nani? mwajiri? mtoa habari? au msomaji (mteja)? Kama serikali inatakja kufanya uwezeshaji basi iwe ni kwa vyombo vya habari kwa ujumla na si kwa individual journalists. Hii kwa kiasi inaweza kupunguza bias.
Investigative journalism kwa maoni yangu inatakiwa igharimiwe na chombo cha habari chenyewe and then wana-recover hiyo cost kutoka kwa msomaji (mteja).
Safari,semina, makongamano etc yasiyo na tija nadhani ndio hasa maana halisi ya ufisadi.
Sina nia ya kujitetea ila huo ndio ukweli wa maisha ya Mtanzania kama mimi na wengine wengi, our life is a constant struggle for existace ili angalau mkono uende kinywani. Kama tafsiri ya yako kwa masikini anayelala njaa akaokota embe limeanguka kwenye mwembe wa mtu ulioko kando ya barabara akalila, marawenye mwembe kamuona na kumwitia mwizi, watu wakajitokeza bila kuuliza wakapiga, wakamwagia mafuta ya taa, wakanchoma moto 'mwizi' na wewe ukakubali mwizi huyo ni sawa na wale wanaotumia kalamu kukwapua mabilioni, walipojulikana, wakapewa muda wa kurejesha, huku wakitayarishiwa vip room gerezani. Kama yule wa embe ni fisadi, na mimi nakiri kuwa ni fisadi wa embe lakini sio fisadi wa EPA.Sina muda wa kuchambua uliyotasema yote lakini nilichonukuu ni summary ya fikra zako - very sad way of thinking and this is what is causing Tanzania to go to the dogs! Kama wewe ungekuwa kweli fukara wa Rukwa ambaye unategemea 40,000 ya bahatibahati ungeweza kusema hivyo, but I am sure the poor do not say that, save for those who sell their mothers, fathers, sistrers, brothers, daughters and sons who are albinos to be slaughtered for the color of their skin. Unapoiba na vijidili vyako na kuwauza ndugu zako maalbino or any obnoxious deal na kusema eti 'the end justifies the means' You are basically saying 'screw every other human being as long as I can live the life I want, even if I cannot afford it' . It is your right but it is to be condemned and it is despicable.
I think that from this point of view you are right, you are like the mafisadiz that we are all complaining about! At least you are honest. I personally am ready to say that I have never accepted bribery and have only been forced to give in unusual circumstances. And I am proud of it and I let everyone know, hata nikiitwa bwege!
Sina nia ya kujitetea ila huo ndio ukweli wa maisha ya Mtanzania kama mimi na wengine wengi, our life is a constant struggle for existace ili angalau mkono uende kinywani. Kama tafsiri ya yako kwa masikini anayelala njaa akaokota embe limeanguka kwenye mwembe wa mtu ulioko kando ya barabara akalila, marawenye mwembe kamuona na kumwitia mwizi, watu wakajitokeza bila kuuliza wakapiga, wakamwagia mafuta ya taa, wakanchoma moto 'mwizi' na wewe ukakubali mwizi huyo ni sawa na wale wanaotumia kalamu kukwapua mabilioni, walipojulikana, wakapewa muda wa kurejesha, huku wakitayarishiwa vip room gerezani. Kama yule wa embe ni fisadi, na mimi nakiri kuwa ni fisadi wa embe lakini sio fisadi wa EPA.
Naendelea na Struggle for Existance na ili nisurvive, I have to be the fittest lakini mwisho wa siku, the end itajustfy the means nilizotumia kusurvive while the unfortunate ones by then wamesha perish.
Nakiri Susuviri kwa hayo uliyoyasema, wewe ni miongoni mwa wachache mliobarikiwa kuifuata falsafa ya Nyerere kwa vitendo. Watu wa Nyerere type ndio wanaqendelea kuishia (Abel Mwanga) na bado wapo, wakina Kaduma, Prof.Shivji, Jaji Warioba na wengine wengi ambapo as days go by, hamtaweza kusurvive kwenye unjust system iliyopo na mtaperish without leaving any mark, ikimaanisha you are not fit to survive na sisi tunaokubali struggle, tutakaoendelea kustruggle to reach a point only the fittest will survive na tutakuja kuhukumiwa au kupongezwa kwa kusurvive huku tukiwa justified by being there till the end and not by the means tulizo tumia. The End Justify The Means
Kutokana na hali ngumu ya kiuchumi imenilazimu kuanza kibarua kingine ku "supplement" ajira yangu kuu. Gharama ya nyuma, makadi kibao, na vitu vingine ninavyolipia ambavyo hata sivihitaji imenifanya nijikute nabadilisha sana mtindo wa maisha.
a. Hakuna kwenda sinema kila weekend;
b. Hakuna kula out (imebidi nijifunze kupika kitu kingine zaidi ya wali na maharage ya makopo)
c. Hakuna kwenda mjini kwa gari (naendesha hadi Mall, napaki nakuchukua UDA - SmartBus) siku nikiwa na mizunguko mingi
Sasa tatizo kubwa lililopo nikilinganisha na nilipokuwa nyumbani ni kuwa hapa kwenye kibarua kikuu na hata hicho cha pili "hakuna mitkasi" ya kuweza kusupplement kipato changu na hasa shughuli nyingi nizifanyazo. Wakati mwingine hali inakuwa ngumu na ninatamani kungekuwa na "njia" ya mkato ya "kibongo bongo" kuweza kujipatia "kipato cha ziada" bila kuhenyeka sana.
Sasa hili limenifanya nijiulize mtumishi wa umma au hata sekta binafsi (ambaye si mmiliki) anatumia njia gani kusupplement kipato chake na kuafford lifestyle yake? Hivi kwa kipato chako peke yake unaweza kumudu maisha yako au itabidi ufanye mabadiliko makubwa ya jinsi unavyoishi? Je yawezekana kumbe wengi wetu tukipewa nafasi ya kula, tutatafuna bila kukaribishwa na kumegua bila hata kunawa mikono? Je yawezekana baadhi yetu ambao tunatamani kushika nafasi fulani ya kiuongozi tuna upotential fisadism wa aina fulani?
Endapo mianya yote ya ulaji ikifungwa (no per diems, posho nyingine kama za vikao, za safari, za hali ngumu n.k) utafanya nini? Itakuwaje kama bosi wako anataka uwepo kazini kweli kwa masaa nane na usiende kushughulikia "miradi" yako wakati wa kazi? Vipi kama yule mtu wa supply akiamu kuzingatia sheria na kuhakikisha kitu hakitoki isipokuwa kwa saini na kwa idadi kamili; yaani njia zote za ujanja za kujipatia kipato zikibanwa utaweza kuishi kwa kipato chako au kutafuta shughuli nyingine halali katika muda wako wa ziada?
Je yawezekana tunaishi katika utamaduni wa kijanja janja kiasi kwamba ufisadi siyo suala la wenye nguvu tu bali pia watu wa chini ambao maisha yao yote wamejifunza "kuula" na hivyo kila mtu anapopata nafasi ya kutumikia kitu cha kwanza anachofikiria ni jinsi gani nafasi hiyo itampa kipato zaidi ya kile kilichoko kwenye mkataba?
Bila njia za ujanja ujanja tunaweza kweli kuishi kwa kipato chetu cha kawaida.
siyo kuhalalisha ndugu yangu bali kujaribu kufocus tatizo letu hasa ni nini? ndugu yangu Nyani ana msemo kuwa "Waafrika ndivyo tulivyo". Wengi wetu tunakerwa na ufujaji wa mali ya umma na matumizi mabaya ya ofisi (hasa inapohusu wanasiasa). Najaribu kuona kuwa yawezekana tunawanyoshea kidole kimoja wao, vitatu sisi wenyewe na kimoja Mungu shahidi yetu.
Swali la msingi ni kuwa hivi kweli ikiingia serikali makini ikakata mianya yote ya "kipato cha ziada" na kulazimisha watu kuishi kwa malipo yao ya mwezi, wangapi kati yetu wataipigia kura serikali hiyo?
Mtanzania huu mjadala nimeupenda sana kuliko mijadala mingine tuliyoifanya hapa kwani huu unatuangalia sisi wenyewe na attitudes zetu kuhusu kazi, kuwajibika, usawa, uzalendo na mipango ya baadaye. Hadi hivi sasa kuna kila dalili kuwa hali ngumu ya maisha/tamaa ya maisha bora zaidi inawafanya watu kujaribu kujitajirisha kwa njia za mkato na kwa harraka.
Hata hivyo bado swali la msingi halijaangaliwa kwa kina kuwa endapo chama au mwanasiasa akijitokeza na kusema anataka kuziba mianya hii ya wizi, na ujanja ujanja mtu huyo/watu hao wataungwa mkono au wataonekana wanajaribu kuwanyang'anya watu 'halali' yao?
Mhmmm please let us look at the comparisons we are making. Some are misleading. Kama USA tiketi ya sinema ni USD 7 na Tanzania tiketi ni Tshs. 8,000 then it is cheaper in Tanzania hasa ukiangalia market exchange ya USD kwa sasa ambayo inafikia hata Tshs 1350 kwa dola. Hivyo huko marekani gharama ya tiketi moja kwa pesa ya Tanzania ni Shs. 9,450.00. Sasa ni wapi wanaangalia sinema kwa bei ya juu, Tanzania au Marekani?
MJ kama una miaka chini ya 40 basi ningejushauri ku invest on yourself. Kama una degree au masters basi soma software zenye market kama SAP n.k . Vilevile unaweza kusoma certification courses kama project mgmt, CPA, CMA, n.k. Vilevile Invest kwenye uraia kama huna kwani kuna nafasi nyingi za serikali zinakuja. Mawazo yangu ni kwa wanaoishi USA.