Unaikumbuka hii siku ya kwanza..??

Usingizi utoke wapi sasa? Ngoja niishie hapa, asije kuwa hapa akanijua bure

Ha,ha,ha,ha,haaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!!!!!!!!
Unatuonjesha halafu unaingia mitini
Acha zako bana
Hebu tumegee kidogo bana!!
 
mhm! mi hata sikumbuki ilikuwaje maana ilianza kama utani vile kisha................... kwa kwenda mbele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…