Unaikumbuka hii movie???

Kumbe vikojozi wengi humu ndani, sisi tumekulia enzi za kuangalia mtambo wa ZnZ and KBC, that time bongo kiza kabisa kwenye hii mtambo. Tulikuwa tunasikiliza mzee jongo na pwagu na pwaguzi

Hizo za wazee bwana. Ila jaribu kuangalii ujionee tofauti.
 
Ni PM nitakwambia pa kunipata

wewe si uliaga kwamba unaenda kusoma so hutapatikana mtaani wala jf? unaniudhi sana ninavyo endelea kukuona. au ndo umeanza utoro? potea tena mkuu la sivyo nakureport kwa invisible. potea sasa hivi.
 
hehe monkey hiyo dia mwenyewe hata kanisani nilikuwa siendi,ilikuwa inarushwa kipindi cha watoto kila jumapili asubuhi saa 3.
nilikuwa radhi niende misa ya sa 12 asubuhi na nikifika kanisani full kulala ili mradi sa 3 inikutie hme nichek hyo movie.
 
Kumbe vikojozi wengi humu ndani, sisi tumekulia enzi za kuangalia mtambo wa ZnZ and KBC, that time bongo kiza kabisa kwenye hii mtambo. Tulikuwa tunasikiliza mzee jongo na pwagu na pwaguzi
hamna ila watoto walikuwa wanaipenda sasa ukiwakuta sebuleni uwezi kuwatoa inabidi tu ukae uangalie nao mwisho wa siku unakuta nawe unaipenda.
 
nilikuwa radhi niende misa ya sa 12 asubuhi na nikifika kanisani full kulala ili mradi sa 3 inikutie hme nichek hyo movie.

Ha ha haaa!!! Kumbe na wewe ulikuwa kama mimi. Nilijua niko mwenyewe kumbe tuko wengi?
 
hamna ila watoto walikuwa wanaipenda sasa ukiwakuta sebuleni uwezi kuwatoa inabidi tu ukae uangalie nao mwisho wa siku unakuta nawe unaipenda.

Bora umenisaidia kumjibu sister maana alishaanza kutudharau.
 
wewe si uliaga kwamba unaenda kusoma so hutapatikana mtaani wala jf? unaniudhi sana ninavyo endelea kukuona. au ndo umeanza utoro? potea tena mkuu la sivyo nakureport kwa invisible. potea sasa hivi.

Angalia kwanza thread hii imeanzishwa lini kabla ya kutoa maoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom