Unaikumbuka hii movie??? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaikumbuka hii movie???

Discussion in 'Jamii Photos' started by Michael Amon, Jan 17, 2012.

 1. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #1
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  This was one of the best movie series ambayo niliipenda, ninaipenda na nitaendelea kuipenda hadi mwisho wa uhai wangu. Yaani ilikuwa niko radhi nisile ili mradi niangalie hii movie na ilikuwa ukitaka kugombana na mimi tu wewe nikataze kuangalia hii movie utaona mziki wake. Sio siri hii movie iliuteka sana moyo wangu. Sijui kwako wewe mdau, unaichukuliaje movie hii??

  [​IMG]
   
 2. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #2
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Ni movie/serie gani?
   
 3. Mkuu wa chuo

  Mkuu wa chuo JF-Expert Member

  #3
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 7,248
  Likes Received: 208
  Trophy Points: 160
  kina wukong, shibo na bajie ilikuwa inapendwa sana kuonyeshwa ITV!
   
 4. Kabakabana

  Kabakabana JF-Expert Member

  #4
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 5,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  hehe monkey hiyo dia mwenyewe hata kanisani nilikuwa siendi,ilikuwa inarushwa kipindi cha watoto kila jumapili asubuhi saa 3.
   
 5. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #5
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Ilikuwa inaonyeshwa ITV inaitwa Journey to the West
   
 6. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #6
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Umeikumbuka eeee???
   
 7. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #7
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Duhhh!!! Kumbe na wewe umo?? nilijua niko peke yangu!!!
   
 8. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #8
  Jan 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Yep ilikuwa mahali pake na namwona na shivwa hapo
   
 9. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #9
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Sikuwahi kuiona au hata kuisikia kabla ya leo. Inachekesha?
   
 10. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #10
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Ha ha haaaaa!!!! Shivoooooo
   
 11. Roulette

  Roulette JF-Expert Member

  #11
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 5,618
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Wewe kama mimi...
   
 12. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #12
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Kama hujawai kuiona wala kuisikia pole sana maana hujui uhondo unaokosa. Ni mixture, inachekesha kuna uchawi na action at the same time. Kama hujaiwahi kuiona njoo nikupe series moja au nikupe trailer yake uiangalie
   
 13. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #13
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  heee!!! Hadi wewe?? Makubwa... Basi ngoja niwawekee trailer muione
   
 14. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #14
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Kwa wale ambao hawajawahi kuiona hii movie, kuisikia au kwa walioimiss kama mimi angalieni movie trailer yake hapo chini

   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 15. doctorz

  doctorz JF-Expert Member

  #15
  Jan 17, 2012
  Joined: Aug 10, 2010
  Messages: 907
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Waombe ITV wairudishe. Saga hiyo ni sehemu ya mythology ya China. MONKEY King, Baijii the pig na Teacher wao.
   
 16. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #16
  Jan 17, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,217
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 160
  Ntakuja unipe niangalie. . . niambie tu pakukuta.
   
 17. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #17
  Jan 17, 2012
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Hata kitabu cha hadithi ambako hii film ilikuwa adopted from ni kizuri kweli. kinaitwa Journey to the West
  Monkey au nyani mwenye nguvu za ajabu akiwaongoza mahujaji wa kibuda katika safari ndefu nyikani huku wakiwindwa na mashetani
   
 18. M

  Mwanyava JF-Expert Member

  #18
  Jan 17, 2012
  Joined: Jul 25, 2011
  Messages: 206
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Inamaana na wewe ulikuwa mtoto? Natania tu kwani hata mimi ninaipenda.
   
 19. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #19
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Tutawaombaje wakati ITV yenyewe inaonekana kwa shida
   
 20. Michael Amon

  Michael Amon Verified User

  #20
  Jan 17, 2012
  Joined: Dec 22, 2008
  Messages: 8,537
  Likes Received: 479
  Trophy Points: 180
  Tena si bora hata hiyo mkuu? Yaani mimi na ukubwa wangu wote huu napenda cartoon
   
Loading...