Unaijua siri ya kiganja chako?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Unaijua siri ya kiganja chako??

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Kigarama, Apr 21, 2012.

 1. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #1
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Ukiachana na mambo ya sayansi ya usomaji viganja na ile uhusuyo maumbile ya mkono, kiganja kina siri nyingine kubwa!!

  1. Wenye viganja vikubwa ni watu wenye bashasha wakati wa kusalimiana na ni watu wenye kupenda kulinda (protect) mila na desturi na ni watu wapole lakini wasiopenda ujinga na ni rahisi kwao kusamehe.
  2. Wenye viganja virefu vikavu hawa ni watu waongo na wanaopenda kukasirika bila sababu na ni wenye tabia ya kusengenya wenzao.
  3. Wanaume wenye viganja vilaini ni wanaume ambao wanapenda kuingia kwenye mahusiano na kuyavunja kwa lawama zote kuwatupia wapenzi wao. Hawa ni wanaume wanaoaminika kirahisi sana na wanawake. Tabia yao kuu ni kutokuweka makazi ya kudumu mahali popote wakati mwingine ni watu wanaopenda kubakia vijana maisha yao yote.
  4. Wenye vijanja vifupi ni watu ving'ang'anizi na wachokozi na wenye kupenda masihara. Kama ni wanaume hawa ni wanaume pekee wanaoweza kuwatekenya wanawake wasio wapenzi wao bila ya wanawake hao kukasirika.
   
 2. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #2
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Je vidole vya viganja vina uhusiano na size ya Dushelele? Ndugu
  Kigarama naomba muongozo wako.
   
 3. S

  Smarty JF-Expert Member

  #3
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 25, 2011
  Messages: 717
  Likes Received: 141
  Trophy Points: 60
  Kigarama wa kanyigo au?..jibu kwanza hili..
   
 4. CHAI CHUNGU

  CHAI CHUNGU JF-Expert Member

  #4
  Apr 21, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 7,164
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 145
  ntarudi hapa baadae!
   
 5. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #5
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,000
  Likes Received: 5,162
  Trophy Points: 280
  heading yako......nilipoisoma nikajua umejiunga na fani ya sheikh yahya
   
 6. sijui nini

  sijui nini JF-Expert Member

  #6
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 29, 2010
  Messages: 2,336
  Likes Received: 231
  Trophy Points: 160
  yale yale.....
   
 7. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #7
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ilikiwa viganja vya jinsia zote, mara imegeuka kuwa wanamme.

  Anyway, mie niko namba 5.
   
 8. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #8
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  ....yepi...?
   
 9. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #9
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,375
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  Bee?
  Namba 5 inasemaje vile?
   
 10. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #10
  Apr 21, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,134
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  inasema mkono haujalishi ukoje ili mradi unaweza fanya kazi za mkono.

   
 11. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #11
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,382
  Likes Received: 307
  Trophy Points: 180
  hii imekaa kama utabiri wa nyota
   
 12. Kigarama

  Kigarama JF-Expert Member

  #12
  Apr 21, 2012
  Joined: Apr 23, 2007
  Messages: 2,479
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Siyo utabiri kabisa huu ni mchanganyiko wa utafiti na sayansi ya mwili!!
   
 13. Bukanga

  Bukanga JF-Expert Member

  #13
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 13, 2010
  Messages: 2,863
  Likes Received: 713
  Trophy Points: 280
  :humble:
   
 14. Remmy

  Remmy JF-Expert Member

  #14
  Apr 21, 2012
  Joined: Jun 9, 2009
  Messages: 4,689
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mhhhhhhhhhhhh.
   
 15. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #15
  Apr 21, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,022
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  hapo namba 3 uongo
   
 16. M

  Mmwaminifu JF-Expert Member

  #16
  Apr 21, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 1,095
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  mmh mbona Nimeona kama kaishia namba 4 vile?
   
 17. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #17
  Apr 21, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,168
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Ungeweka na vipimo mkuu, maana mie sijui kama changu ni kirefu au kifupi.
   
 18. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #18
  Apr 21, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,375
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  We huoni vizuri............
   
 19. SALOK

  SALOK JF-Expert Member

  #19
  Apr 21, 2012
  Joined: Sep 20, 2011
  Messages: 2,386
  Likes Received: 593
  Trophy Points: 280
  zote tu!
   
 20. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #20
  Apr 22, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Dushelele ndo nini?
   
Loading...