Unahitaji spare kwa ajili ya gari lako? Usiache kupitia huu uzi

Hii corolla bado sijaijua nifahamishe vizuri mkuu ni corolla gani
Wanapenda kuiita corolla X
20190502_103051.jpeg
 
Side mirrors za corolla sprinter na kile kioo kidogo cha pembeni
 
Sina uhakika kama uko serious,nilichukua namba yako nikakupgia spare,kila mara unaniangalizia mpaka leo,nadhani leo nikiuliza hapa ndio nitapata majibu directly
Una water pump ya hizi subaru?impreza 2004
 
Na power window
 
Water pump ni 280,000 lakini nitahitaji kujua kama ni turbo au non turbo na kama ni STI au ya kawaida.

Power window set yote ni 500,000/=

Hilo swala la kuchelewa kukujibu naomba unisamehe boss wangu , biashara haikosi madhaifu hasa ikiwa changa.

Kikubwa kupitia wewe nimejifunza kwamba mtu akipiga simu na kuulizia kitu natakiwa ni note sehemu ili baadae niwe na kumbukumbu kama nishamhudumia au la
 
Mkuu bampa la mbele la premio ya mwaka 2003 (japo wengine wanasema premio new model) ni sh ngapi?

Na side mirrors zake zote mbili ni sh ngapi?
 
Back
Top Bottom