Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,056
- 10,342
Dah....
Dah....
Ya pajero jr600,000/=
Mkuu nahitaji engine ya PASSO, piston 3 aina ya 1KR. Ofisi zenu ziko sehemu gani mkuu hapa Dar nijeIna fit lakini haita sense vizuri, ni bora uchukue tu ya 2NZ bei ndio hiyo hiyo
250,000/=
Ni Milioni 1.8 pia inakua alternater , water pump, compressor na starterMkuu engine ya Nissan Extrail ni sh ngap boss wangu je inakuja na nini na nini?
Nahitaji cv joint na kioo cha mbele cha kia carens
Nimepata jibu hapa mkuu je inakuwa na gearbox?Ni Milioni 1.8 pia inakua alternater , water pump, compressor na starter
500,000/= mkuuMkuu bei ya bampa la mbele ya Noah Sr 40.
35000/= kwa mojaMimi nahitaji shock absorber za SUZUKI SWIFT je ni bei gani , mimi nipo hapa Dar es Salaam?
Used
Yote full pamoja na saa yake ni 480,000Mkuu shoo ya dashboard ya carina si l8 naweza pata?, bei gani? Na dashboard yake bei gani?
Ya gari ganiNahitaji Disk original