Car4Sale Kama unahitaji gari zuri usiache kupitia huu uzi

Master of the game

JF-Expert Member
Sep 1, 2016
5,858
2,680
Habari za masiku wakuu? Natumai nyote mpo salama, kwa wale waliotangulia mbele za haki tuwaombee kwa Mungu awaweke pema, na wale wagonjwa Mungu awape ponyo.

Tulipoteana kitambo kirefu kidogo baada ya uzi wetu pendwa wa “Wapenzi Wa Magari Mazuri” kupata misukosuko, kabla ya uzi wetu kupotea tulifanikiwa kutengeneza jamii kubwa sana na ndani ya hiyo jamii nilipata marafiki ambao nipo nao karibu mno kama ndugu zangu wa damu.

Sio vibaya kuanza moja, vibaya ni kukata tamaa, sijakata tamaa wakuu na sijawaacha, nitawapostia kazi nzuri zaidi, tutafanya kazi kwa uaminifu na tutafanya kila linalowezekana kukidhii mahitaji yako.

Usiache kupitia huu uzi nakuhakikishia gari ya ndoto yako ipo humu, kama usipoiona kwenye huu uzi mawasiliano yangu ni 0658124554 napatikana pia WhatsApp kwa namba hiyo hiyo nitafute uniambie ni gari gani unahitaji.
 
TOYOTA RUMION FOR SALE

Year: 2008
Engine Cc: 1490
Engine No: 1 N Z
Mileage: 52,415+
Colour: Black
Transimission: Auto
Fuel Used: Petrol
Imported From: Japan

Price +Reg: Tzs 16.8M
Contact:0658124554

IMG-20220108-WA0037.jpg
IMG-20220108-WA0039.jpg
IMG-20220108-WA0035.jpg
IMG-20220108-WA0036.jpg
IMG-20220108-WA0037.jpg
 
TOYOTA RUMION FOR SALE

Year: 2008
Engine Cc: 1490
Engine No: 1 N Z
Mileage: 52,415+
Colour: Black
Transimission: Auto
Fuel Used: Petrol
Imported From: Japan

Price +Reg: Tzs 16.8M
Contact:0658124554

View attachment 2073725View attachment 2073726View attachment 2073727View attachment 2073728View attachment 2073729
Ipo kwa 15mil. Tatizo nini, mbona bei tofauti?
 
Toyota Hilux Vigo
Model Year:2014
Engine capacity:2494
Engine type:2kd
Fuel: Diesel
Transmission: Manual
Price:38M
Contact:0658124554
IMG-20220109-WA0055.jpg
IMG-20220109-WA0054.jpg
IMG-20220109-WA0058.jpg
IMG-20220109-WA0060.jpg
IMG-20220109-WA0061.jpg
 
Toyota Crown athletes chassis (50th anniversary)
Model Year:2005
Engine capacity:2490
Km 56000+
Velvet seat
Steering button
Power seat

Price:16.5M + registration
Contact:0658124554

IMG-20220107-WA0097.jpg
IMG-20220107-WA0101.jpg
IMG-20220107-WA0096.jpg
IMG-20220107-WA0101.jpg
IMG-20220107-WA0104.jpg
IMG-20220107-WA0099.jpg
IMG-20220107-WA0105.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom