Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Habarini za wakati huu wanajamvi.
Kuna suala hapa la rafiki yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikalini, lakini kuna suala ambalo linanishangaza sana kila ninapozungumza naye, wakati mwingi yeye anakua anadai kwamba pamoja na hayo yote aliyonayo ila moyo wake unapenda sana kulitumikia taifa katika idara ya usalama. na kwamba ndio kazi ya kwanza anayoipenda sana kuliko zote maishani mwake, na anaipenda kiasi cha kutaka kuwafuata hadi ofisi zao zilipo kwaajili ya kuweza kuzungumza nao kinaga ubaga. na yeye ni muhandisi katika serikalini.

nimeshindwa kumshauri kwakua sielewi kwa kuanzia, na ndio maana nikalileta hili suala mbele yenu.
Endelea kulitumikia Taifa wewe usijipigie debe humu
 
Sio kila unachokitaka hapa duniani lazima ukipate mwambie alizike na uhandisi
 
NI kama ile habari eti kuna malaika wawaka tamaa waliwavamia binadamu na kuwapiga mimba wakazaa mapande ya watu
 
Unapotimiza
Habarini za wakati huu wanajamvi.
Kuna suala hapa la rafiki yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikalini, lakini kuna suala ambalo linanishangaza sana kila ninapozungumza naye, wakati mwingi yeye anakua anadai kwamba pamoja na hayo yote aliyonayo ila moyo wake unapenda sana kulitumikia taifa katika idara ya usalama. na kwamba ndio kazi ya kwanza anayoipenda sana kuliko zote maishani mwake, na anaipenda kiasi cha kutaka kuwafuata hadi ofisi zao zilipo kwaajili ya kuweza kuzungumza nao kinaga ubaga. na yeye ni muhandisi katika serikalini.

nimeshindwa kumshauri kwakua sielewi kwa kuanzia, na ndio maana nikalileta hili suala mbele yenu.
unapotimiza wajibu wako barabara kama RAIA unakuwa umesaidia kufanikisha usalama wa Taifa kisiasa, kiuchumi na kijamii, kuajiriwa kama mwana usalama Luna vigezo vingi na mchakato mrefu. Kuwa na shauku, hamu, nia au utashi tu haitoshi. Tena hizosip sifa za mwana usalama aliye bora. Hugo ana nia ya kujinufaisha kupitia kazi hiyo hivyo hatafaa na hawezi kamwe. Mwambie ajiendeleze na kujiimarisha katika fani yake ili ikionekana anakidhi atapenya vinginevyo asilazimishe ataishia kubaya
 
Habarini za wakati huu wanajamvi.
Kuna suala hapa la rafiki yangu ambaye yeye ni muajiriwa wa serikalini, lakini kuna suala ambalo linanishangaza sana kila ninapozungumza naye, wakati mwingi yeye anakua anadai kwamba pamoja na hayo yote aliyonayo ila moyo wake unapenda sana kulitumikia taifa katika idara ya usalama. na kwamba ndio kazi ya kwanza anayoipenda sana kuliko zote maishani mwake, na anaipenda kiasi cha kutaka kuwafuata hadi ofisi zao zilipo kwaajili ya kuweza kuzungumza nao kinaga ubaga. na yeye ni muhandisi katika serikalini.

nimeshindwa kumshauri kwakua sielewi kwa kuanzia, na ndio maana nikalileta hili suala mbele yenu.
Mwambie kuwa 'Eagle' anamuona na kumnanyakua amtakae kutokea angani.
 
Fazil,

Binafsi sina uwezo wa kufanya connection yoyote huko (wewe na Usalama)

Lakini naamimi wahusika wapo humu na kama wanaona inafaa basi watakutafuta kwa hiyo namba yako...

Lakini kuwa makini na matapeli.!!

Kwa kweli hata mimi napenda sana kuwa usalama wa taifa hivyo namuomba mungu siku moja niwe miongoni mwa wapiganiaji wa taifa letu maana tuliko bado hatujasogea tufike penyewe....
 
Back
Top Bottom