vposterior
JF-Expert Member
- Jul 19, 2018
- 732
- 1,232
Mkulima anaelima kwa mapenzi yake anaifanya vizuri na kwa ufanisi kazi yakeKutumikia taifa sio lazima uwe huko TISS,unaweza kua hata mkulima/mwl/daktari etc.
Kadi ni kitu ambacho muda wowote naweza pata maana utaratibu wa kujiunga na chama cha siasa upo wazi na ni haki ya kila mtuUna kadi ya chama? Tuanzie hapo