Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Unahitaji kuwa Afisa Usalama? Give it a try

Humo wengi wamejaa watoto wa watu wenye vinasaba vya CCM tu ukweli ndio huo.

Katika kukuchukua huwa wanakuja mpaka mtaani kwako, watauliza majirani na hata raia wa kawaida wanaokufaham ili wahakikishe ww ni damu ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kutumikia taifa sio lazima uwe huko TISS,unaweza kua hata mkulima/mwl/daktari etc.
 
Tuma laki nikupe namna lasivyo usiku zungukia kila mtaa ulinde watu utakuwa unafanya usalama wa taifa pia.
 
Hawanitaki vipi wakati watanzania wengi sana na wale hawajawahi kunifanyia interview wakaproove kuwa sifa. Ndo maana nikauliza sifa zao hasa ni zipi
Nimesema hawakuhitaji, sijasema hawakutaki. Hawakufahamu sasa watakukataaje? Wakiwa na mahitaji wao hutafuta watu wanaowahitaji tuu. Wewe juwa hawakuhitaji, na siku wakikuhitaji hutakuja humu kusema usalama wa taifa wanakuhitaji.
 
Tatizo hapa ni mambo mawili aidha unatamani kuwa Sterling kama Vandame n.k
au unatamani Mshahara, Wenzio wazalendo wa kweli tunafanya kazi za usalama
wa Taifa bila kuajiriwa tena hata hao walioajiriwa tunawasaidia bila kutufahamu
Yaani ni kama kusema tenda wema usingoje shukrani.

NI KAZI RAHISI ZAIDI KUIFANYA IWAPO HAUTAHITAJI KUINGIZWA KWENYE
MFUMO WA MSHAHARA.

Wewe ungemuuliza yuko tayari kushikiwa akili (brain washed)?
Mwambie Tanzamia italindwa na raia wote hasa wenye moyo na upendo kwa nchi yao, yaani wazalendo.
 
Duuh hii kwa sie ambao sio maarufu hata kidogo katika social media nadhani itakuwa ngumu, huyo Millard tu unamconvince vipi akupost mtu ata huna influinfluence
Mkuu tatizo ni kukosa udhubutu ndo shida lakn ww unahisi Dr shika hapo kabla alikuwa maarufu ?hao akina Mirrad ayo watakuposti kama wakiona una trend,ww huoni MTU kama Pierre yule mlevi wa mamaaa nakufa kama maarufu,jiongeze uone vua aibu zote uone unavyo trend fasta kwa kiki ya kumsifia mtukufu raisi,fasta tu wale jamaa watakucheki ukawe mwana usalama!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari wana Jamii forum. Kiukweli nimekuwa na ndoto kwa muda mrefu sasa ya kulitumikia taifa hili katika nyanja ya usalama wa taifa. Nimekuwa muumini mkubwa wa kuangalia Korean series na ndizo ambazo zimenivutia sana kufanya kazi ya ukachero. Tatizo kubwa ni kwamba cjawahi ona tangazo la nafasi za kazi hii ya ukachero hata siku moja, cjui recruitment procedures zao zikoje? sifa zikoje wadau ili mtu aweze kuqualify kuwa kachero? Naomba mnijuze angalau wapi naanzia kuweza kutimiza hii ndoto yangu. Kwa sasa ni muajiriwa katika taasisi muhim hapa nchini lakini naamini haitakuwa kikwazo ya kuweza kufanya kazi hizo za ukachero.
Wengine hatuitaki hiyo kazi wewe ndiyo unahitaji.
kuwa afsa usalama
lazima uwe na connection nzuri Sanaa spirituality (Eye awakening,3D view etc)

now usalama wameamishia magoli..
spirtuality... karibia dunia ya leo Nchi nyingi sanaa hata USA na Russia
wao wana deal na watu wenye Nguvu za rohoni unajua kwa nini?
matokeo ya mwilini yamekwisha pangwa rohoni.
so kama taifa likiwa stable rohoni basi mwilini (physical) haliwezi kuteteleka
mf now Taifa Lina vita ya kiroho na
Russia&USA sasa hapo Vita kabambe ipo huko..matokeo ya Vita yataonekana miaka ya mbeleni.
lakini kama idara inakuwa inajua jinsi ya Ku solve physical

labda la mwisho nigusie mf.mwaka 2020 Rohoni wameshindwa kuleta pandikizi Lao sasa hapo Vita imeandaliwa 2025 yaani ni mambo mengi sana
lakini ujasusi wa Nchi unaanzia rohoni.then mwilini hiyo kuwa na degree mara nini ni mbwembwe tu

sasa hivi naona wapo busy kuzima
mashambulizi yaliyopangwa kule
Zanzibar.ziwa Victoria etc...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Humo wengi wamejaa watoto wa watu wenye vinasaba vya CCM tu ukweli ndio huo.

Katika kukuchukua huwa wanakuja mpaka mtaani kwako, watauliza majirani na hata raia wa kawaida wanaokufaham ili wahakikishe ww ni damu ya CCM

Sent using Jamii Forums mobile app
Hii ni kweli kabisa yaani bila kuwa ccm huwezi kuwa usalama hata siku moja,vijana wengi wa usalama wametokea uvccm na ndo wanaendelea kutokea huko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesema hawakuhitaji, sijasema hawakutaki. Hawakufahamu sasa watakukataaje? Wakiwa na mahitaji wao hutafuta watu wanaowahitaji tuu. Wewe juwa hawakuhitaji, na siku wakikuhitaji hutakuja humu kusema usalama wa taifa wanakuhitaji.
Mkuu kama hujui recruitment procedures na sifa zao zinakuaje bora usubiri pengine wapo wajuzi watasaidia. Unaniambiaje hawanihitaji wakati cjakuwa recruited, yawezakana na amini hivyo nina vigezo vyakuwa kachero lakini kwa vile cjui utaratibu ukoje pengine ndiyo sababu cjapata hiyo kazi. Naomba msaada nianzie wapi kuingia huko
 
Wengine hatuitaki hiyo kazi wewe ndiyo unahitaji.
kuwa afsa usalama
lazima uwe na connection nzuri Sanaa spirituality (Eye awakening,3D view etc)

now usalama wameamishia magoli..
spirtuality... karibia dunia ya leo Nchi nyingi sanaa hata USA na Russia
wao wana deal na watu wenye Nguvu za rohoni unajua kwa nini?
matokeo ya mwilini yamekwisha pangwa rohoni.
so kama taifa likiwa stable rohoni basi mwilini (physical) haliwezi kuteteleka
mf now Taifa Lina vita ya kiroho na
Russia&USA sasa hapo Vita kabambe ipo huko..matokeo ya Vita yataonekana miaka ya mbeleni lakini kama idara inakuwa inajua jinsi ya Ku solve physical

labda la mwisho nigusie mf.mwaka 2020 Rohoni wameshindwa kuleta pandikizi Lao sasa hapo Vita imeandaliwa 2025 yaani ni mambo mengi sana
lakini ujasusi wa Nchi unaanzia rohoni.then mwilini hiyo kuwa na degree mara nini ni mbwembwe tu

sasa hivi naona wapo busy kuzima
mashambulizi yaliyopangwa kule
Zanzibar.ziwa Victoria etc...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mh!
 
Mkuu naendelea kulitumikia hili taifa katika sector nyengine, ila kazi inakuwa na ufanisi zaidi ikiwa unaipenda kutoka moyoni kabisa. Ukachero ni kazi ambayo naifeel sana tena sana labda ni kutokana na ule usiri mkubwa uliopo katika kufanya kazi hii.

Hamna kazi isiyokuwa na siri,,,endelea kutunza siri za kazi unayofanya kwa sasa. Wengi wanajiunga na usalama wa Taifa wakitokea mashuleni, esp Special schools.
 
Habari wana Jamii forum. Kiukweli nimekuwa na ndoto kwa muda mrefu sasa ya kulitumikia taifa hili katika nyanja ya usalama wa taifa. Nimekuwa muumini mkubwa wa kuangalia Korean series na ndizo ambazo zimenivutia sana kufanya kazi ya ukachero. Tatizo kubwa ni kwamba cjawahi ona tangazo la nafasi za kazi hii ya ukachero hata siku moja, cjui recruitment procedures zao zikoje? sifa zikoje wadau ili mtu aweze kuqualify kuwa kachero? Naomba mnijuze angalau wapi naanzia kuweza kutimiza hii ndoto yangu. Kwa sasa ni muajiriwa katika taasisi muhim hapa nchini lakini naamini haitakuwa kikwazo ya kuweza kufanya kazi hizo za ukachero.
Subiri wakikuhitaji watakuita
 
Back
Top Bottom