wa stendi
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 26,507
- 29,289
Aisee
Nenda pale kijitonyama watakuelekeza nn cha kufanya
Nenda pale kijitonyama watakuelekeza nn cha kufanya
Nafazi zimeja endelea kuota zinduka ndotoni na uende ukalimeHabari wana Jamii forum. Kiukweli nimekuwa na ndoto kwa muda mrefu sasa ya kulitumikia taifa hili katika nyanja ya usalama wa taifa. Nimekuwa muumini mkubwa wa kuangalia Korean series na ndizo ambazo zimenivutia sana kufanya kazi ya ukachero. Tatizo kubwa ni kwamba cjawahi ona tangazo la nafasi za kazi hii ya ukachero hata siku moja, cjui recruitment procedures zao zikoje? sifa zikoje wadau ili mtu aweze kuqualify kuwa kachero? Naomba mnijuze angalau wapi naanzia kuweza kutimiza hii ndoto yangu. Kwa sasa ni muajiriwa katika taasisi muhim hapa nchini lakini naamini haitakuwa kikwazo ya kuweza kufanya kazi hizo za ukachero.
Nenda feri kuna zile boti ndogo zinaitwa tag uazime halafu urudi kutuambia tukupe more directionsMimi ni new member bado cjajua kutag, nisaidie tafadhali.
Weka number yako nikupe utaratibu Wa kulipia formHabari wana Jamii forum. Kiukweli nimekuwa na ndoto kwa muda mrefu sasa ya kulitumikia taifa hili katika nyanja ya usalama wa taifa. Nimekuwa muumini mkubwa wa kuangalia Korean series na ndizo ambazo zimenivutia sana kufanya kazi ya ukachero. Tatizo kubwa ni kwamba cjawahi ona tangazo la nafasi za kazi hii ya ukachero hata siku moja, cjui recruitment procedures zao zikoje? sifa zikoje wadau ili mtu aweze kuqualify kuwa kachero? Naomba mnijuze angalau wapi naanzia kuweza kutimiza hii ndoto yangu. Kwa sasa ni muajiriwa katika taasisi muhim hapa nchini lakini naamini haitakuwa kikwazo ya kuweza kufanya kazi hizo za ukachero.
Kama unataka kuwa huko usalama wa Taifa jitaidi kuweka mambo yako yote Siri. Maana, Mambo sio salama kabisa ukoMimi ni new member bado cjajua kutag, nisaidie tafadhali.
Kama hujawahi ona tangazo ujuwe hawakuhitaji. Wanawatangazia wale tu wanaowahitaji. kwa sasa endelea kutazama hizo picha za kikorea itakutosha.Mimi nipo tayari kufuata taratibu na miiko ya kazi hii ya ukachero kwa kuwa naipenda.
Zombi ni mtu alie hai au mtu?
Uko kwani hawastaafu? Jamani wengine tuko serious hatupo kufurahisha barzaNafazi zimeja endelea kuota zinduka ndotoni na uende ukalime
Hadi sasa sina mtu ambae nimethibitisha kuwa ni kachero, japo yupo mmoja namhisi tu kuwa huenda akawa yupo huko.Kuna mtu unayemjua huko?- huko unaingia kwa "kamlete". Yaani who knows who brings who!!
Zamani walikuwa wanaangalia vijana wenye vipaji vya akili, nidhamu, upeo etc
Hawanitaki vipi wakati watanzania wengi sana na wale hawajawahi kunifanyia interview wakaproove kuwa sifa. Ndo maana nikauliza sifa zao hasa ni zipiKama hujawahi ona tangazo ujuwe hawakuhitaji. Wanawatangazia wale tu wanaowahitaji. kwa sasa endelea kutazama hizo picha za kikorea itakutosha.
Mshahara ninapata mbona na ukiangalia wale makachero kwenye hizo series sio kwamba ndo movie star hapana wapo kawaida sana. Hivyo siwazi ustar wa Vandame hali kazi yenyewe ndo naipendaTatizo hapa ni mambo mawili aidha unatamani kuwa Sterling kama Vandame n.k
au unatamani Mshahara, Wenzio wazalendo wa kweli tunafanya kazi za usalama
wa Taifa bila kuajiriwa tena hata hao walioajiriwa tunawasaidia bila kutufahamu
Yaani ni kama kusema tenda wema usingoje shukrani.
Nafasi zimejaaa kwa sasa hawaajiri mpaka kipindi cha mpito kipiteUko kwani hawastaafu? Jamani wengine tuko serious hatupo kufurahisha barza
Boya KaziniUtamlinda n kumtetea jiwe maisha yako yote ? Upo tayari kuwa naye mpaka kifo kitapowatenganisha ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mzee baba mm nipo serious ujue sasa citizen of United states vipi.Minimum requirements for TISS agent jobs with the NCS include:
*Must be 18 years old
*Must be a Tanzania citizen
*Must possess a bachelor’s degree with a minimum GPA of 3.0
Mkuu your sound like you among them,mpe kijana ajira ya kulitumikia taifa.Minimum requirements for TISS agent jobs with the NCS include:
*Must be 18 years old
*Must be a Tanzania citizen
*Must possess a bachelor’s degree with a minimum GPA of 3.0
Duuh hii kwa sie ambao sio maarufu hata kidogo katika social media nadhani itakuwa ngumu, huyo Millard tu unamconvince vipi akupost mtu ata huna influinfluenceMkuu kama kweli una nia ya kuwa usalama wa taifa,jitoe ufahamu itisha waandishi wa habari naamanisha akina mirrad ayo and the alike,toa pongezi kwa mtukufu raisi halafu pretend una furaha ya ajabu kwa kupata raisi mchapakazi na pia sifia Ccm kuwa ni chama cha kipekee kwa Africa kwa kujali wanainchi wake,hakika nakwambia utafanya hvo mara mbili Mara tatu tiari jamaa watakuja kukuomba ujiunge nao kwan ww ndo utaonekana mzalendo halisi wa taifa hili..naishia hapo!
Sent using Jamii Forums mobile app