Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

kitu kikubwa kabisa katika mahusiano.....haswa yanayopelekea ndoa.......wengi husahau kitu "URAFIKI", wajua at the beginning first point ilikuwa urafiki....mkapendana kupitia huo urafiki....mkafunda ndoano pia......then mnauvua ule urafiki wenu kabisa....kosa kubwa sana....hamtaniani tena.....hamchezi lovely games tena....kisa ni wanandoa.......urafiki tupa kule......outing ni za kubangaiza.....sio kama zilee...kisa majukumu......mnasahau furaha yenu ilianzia kwenye "URAFIKI", mnaanza na ubinafsi....hamfiki mbali hakika.........mkiweza wote kwa pamoja....na kuzungumza pia kuwa tukishaoana tutakuwaje....itasaidia hiki kizazi.......urafiki ukolee zaidi na zaidi...mpaka watoto wenu wawashangae......kila siku iwe mpya....japo kuna sometimes iblisi atachovya kdg....pambaneni nae......mtafurahi mpaka uzeeni.....
 
Back
Top Bottom