Mzigua90
JF-Expert Member
- Sep 23, 2014
- 38,405
- 88,870
Ni kweli lakini nataka maamuzi yangu yanipe furaha mimi na mwenza wangu kama wewe na mama Abou.. sote tufurahie mahusiano yetu.Si suala la kuamua na kuingia tu jamani
Sent using Jamii Forums mobile app