Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

Yah huo ndio ukweli wenyewe. Ila mwanaume anapokutana na MWANAMKE SAHIHI katika maisha yake.....normally lazima furaha izidi mkoba wa furaha ulipo moyoni, so kufunguka ipo, we mwenyewe si umeprov hapo juu vidume vinavyomwagika!!!!

Me hadi kuna tyme nilikuwa naonekanaga as chizi fulani hivi.....mamy we acha tu, MAPENSI MAPENSI MAPENSI YANA RAHA YAKE BHANA. Ila yakikugeukia.....wafwaaaah kabisa.

Cc: acha tu nitunze kadi ya usenior bachela.....no way napumulia machine now.

Sent using Jamii Forums mobile app
Duh! But I believe you can still turn things around
 
Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.

I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).

She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.

Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.

Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.

Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.

Acha niishie hapa hebu

More happiness to you Bro
Keep it up Big up
 
Niliwahi soma kitabu Fulani sina hakika ni cha Gary Chapman (pengine nimechanganya madesa) lakini mwandishi mmoja aliwahi ongea kuhusu ugumu wanaume kufunguka kihisia!
Unaona vile watoto wa kiume wakiwa wadogo wakilia tunawaambia "WANAUME HAWALIII" , wakikua wakiumia "WANAUME WANAJIKAZA"
mwandishi wa hicho kitabu, anasema hii ndo inafanya wanaume hata wakiwa watu wazima!
hawafunguki hisia zao.
Wengi wetu hua tunaamini hawapendi lakini ukwlei ni kwamba KUJIELEZA KIHISIA alishaambiwa sio UANAUME!
kuonesha hisia SIO UANAUME
So ndo mana wanaume hawalii hadharani, hawasemi neon I LOVE I MISS YOU kwa mara nyingi kama wanawake.
Wanaume weng wana solid/physical language of love tofauti na wanawake , wengi tunatumia soft part of love language.
HATA MASOMO TUNAYOCHAGUA TUKIWA SHULENI, wavulana will go for mechanical na wasichana will focus kwenye arts. Mana huko ndiko kuna feelings feelings, hizi mambo za nyundo na mashine za mbao. HAPANA!

Mwandishi ndiyo yeye huyo Gary Chapman
 
Back
Top Bottom