Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

Hong
Nayafurahia sana, naomba Mungu azidi kumjalia mme wangu maisha marefu yenye baraka na amani.
Napenda anavyojali familia, jinsi alivyo muwazi kwangu. Kiasi fulani yuko na hofu ya mwenyezi Mungu. Ni mwanaume mpole asiependa makuu wala kelele.

Sent using Jamii Forums mobile appHongeraaaaa mwaya!!
Mungu awape neema zaidi
 
Pole sana my dear. Sema ningekuwa Mimi.....nadhani ningeamua kuloanisha leso nikiwa chumbani mwenyewe, kuliko kutoa sauti ya uinjiania wa mapenzi kwa mtu asiye sahihi.

Cc:
Nadhani umenipata, kazi kwako Dada....kumbuka love haina equation.

Sent using Jamii Forums mobile app
hahahah lol jf imekuw sehem ya furaha yangu asantee kwa ushauri hatoyaona tena machozi yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa wazoef wa hiz kazi,nakuhakikishia kiongoz huyo mwanamke ana akili kukushinda wew,...na analiwa bila wew kujua..fatilia kwa undan haya nayokwambia...sabab hakuna mwanamke aishie hvyo na awe comfortable had akushaur et uoe ,..huyo mwanamke nimempigia magot,ana akil sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Hujui ulisemalo mzee baba
 
Na ndio uhalisia wa maisha yetu yalipo hapo.

Binafsi namrespect sana kiumbe anayeitwa MWANAMKE, huyu kiumbe anaweza kukufanya mwanaume kuwa weak au strong ndani ya NOCK OUT 3 ndani ya mshale.

Mwanamke mwema ni tunu bhana......hata ningekuwa mimi, ningeimba na mapambio kabisa humu ndani na hivi ninavyopenda YANGA-IGBO nadhani ningesumbua visima vya WIVU wa viumbe humu ndani. So tuwaache tu watambe mabrah....

Sent using Jamii Forums mobile app
Respect bro!

Wanawake wema wapo sanaaaaa
 
Maneno mazuri, except yanae muhusu hajui hata id yako.. Utakua a real gentleman kama right now(baada ya kusoma maandishi yangu) utachukua sim yako, call ur wife and tell her wat u've just written here..

Sent using Jamii Forums mobile app
Thanks Bob!

What if there is a better way?? What if I can tell all of these face to face??

Dont worry bro, all is well
 
Back
Top Bottom