Mother Confessor
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 18,684
- 45,613
Na wewe kama mimi PoH??Umeniwahi fundi wangu.
Nadhani tunapaswa kuwa WAPENSI WATAZAMAJI!!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe kama mimi PoH??Umeniwahi fundi wangu.
Nadhani tunapaswa kuwa WAPENSI WATAZAMAJI!!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
Safiiiiii. Big up sanaaa brooNinafurahia sana maisha yangu ya ndoa, natumai na mwenzangu pia!
Nilijifunza kupitia mahusiano niliyopitia kabla, namshukuru na mzee wangu kuna siku alinipa neno lililonipa akili!! "Mke si sura wala umbo, tabia na hakikisha nafsi yako imemridhia haswa"
Nukatafuta mwanamke kichwa balaa, kwa elimu ya darasani nikiamini na mengine atakuwa kichwa pia! Sikukosea, kwanza hana mambo mengi, ana reasoning ya hali ya juu then anajua anakokwenda (kimaisha)!
Nikamjenga nilivyotaka, naenjoy maisha kwa kweli!! Lake langu na langu lake zaidi ya yote ndiye msela wangu namba mojà!!
MI NIMEAMUA KUFURAHI KUPITIA HISIA NA FURAHA ZAO!Umeniwahi fundi wangu.
Nadhani tunapaswa kuwa WAPENSI WATAZAMAJI!!!.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji106][emoji106][emoji106][emoji106]Nimependa unavyomwelezea alivyo wa pekee, but hukatai ukweli kuwa una vimeo unajua unazingua lakini unajirekebisha na unawajibika kufanya awe na furaha!
SAFI SANA!
HATULAZIMIKI KUWA WAKAMILIFU, (KWANZA HAYUPO MWANADAMU MKAMILIFU) ILI KUWA NA FURAHA KWENYE MAHUSIANO YETU!
Ahahaha nitaenda wapi na hela sina, sura makobazi, urefu fut 3, kichwani bwawa la samaki na ndani kipilipili kama sio k***mia!!!Na wewe kama mimi PoH??
Aamyn aamyn!!RAHA NASKIA MIMI HUKU!
ahahahhahahahah MUNGU AWATUNZE ASEE!
Mmmh jamaniii huko simooo...pambaneni tuu na hali zenyuuu😛😛😛 InnaBasi na mie natulia maana naona Mother Confessor
Kashaanza kukuchimba
[emoji122][emoji122][emoji122]Ninafurahia sana maisha yangu ya ndoa, natumai na mwenzangu pia!
Nilijifunza kupitia mahusiano niliyopitia kabla, namshukuru na mzee wangu kuna siku alinipa neno lililonipa akili!! "Mke si sura wala umbo, tabia na hakikisha nafsi yako imemridhia haswa"
Nukatafuta mwanamke kichwa balaa, kwa elimu ya darasani nikiamini na mengine atakuwa kichwa pia! Sikukosea, kwanza hana mambo mengi, ana reasoning ya hali ya juu then anajua anakokwenda (kimaisha)!
Nikamjenga nilivyotaka, naenjoy maisha kwa kweli!! Lake langu na langu lake zaidi ya yote ndiye msela wangu namba mojà!!
Sio chaiiiiiiii. HahahahaahahahahChaiiiiiiiiii. Una bahati sana kupata mke kama huyo mkuu.. Mlindee na umpende zaidi na zaidi.
Ila usimuongezee mke tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
😂😂😂😂unan'zingua bhanaaaAhahaha nitaenda wapi na hela sina, sura makobazi, urefu fut 3, kichwani bwawa la samaki na ndani kipilipili kama sio k***mia!!!
Naomba usinikumbushe uchungu fundi wangu.....
Cc: vipimo vyote ni sawa fundi wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaa nae myajenge mkuu muongeeMi hovyo hovyo tu, leo OK kesho mtiti basi tu siku mbili raha siku tano balaa wiki inakata
Sent using Jamii Forums mobile app
Si suala la kuamua na kuingia tu jamani
Sijamaanisha chai mkuu hiyo ni chaiiiiiiiiii kama kushangaa kwa furaha..Sio chaiiiiiiii. Hahahahaahahahah
Sure sure lakini si unajua majanga yanatokeaga. Siku tano bila bila nyingi ujue
Na kuwakomentia wale wenye furaha😃kuzidi kuwatia moyo wasonge mbele,.
Ntakupa siri flani hivi juu ya moyo wako huo. Sema tu sasa hivi siko free sanaMI NIMEAMUA KUFURAHI KUPITIA HISIA NA FURAHA ZAO!
wakati Fulani maisha ya wengine yanaweza kukupa furaha ukiyatizama kwa furaha zao nawe unajiambukiza!
Zuri zaidi wanaofuguka mioyo hivi ni wanaume!
Tumezoea kuona walio huru kushiriki hadithi nzuri za mapenzi nia wanawake, well kutokana na aina zetu za kurespond kihisia.
Sa ukikutana na jamaa anaielezea ndoa au mahusiano yake vizuri hivi!
safi sana!
mi nna kaujinga ka kufurahia mapenzi ya watu kiasi daah!