Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

Hahahaa... hapo kwenye ubinafsi ninako ka ubinafsi kwenye mahusiano. Furaha yangu kwanza yeye mwenzangu nae aitafute yake kupitia mimi. Lakini furaha yake ni furaha yangu kwahiyo nitahakikisha anakua na furaha ili na mimi pia niwe na furaha.

Sent using Jamii Forums mobile app
Lugha gonganaaaaaa🤣🤣🤣🤣🤣
 
Wala sio kaujinga mamy, for real inafurahisha kusikia maneno mazuri kiac hiko....in one way or another kuna kitu kinajijenga kwa psychology yako.

Issue ya mwanaume kufunguka as brothers hapo juu, hii kwangu naiona ni impact ya kuwa na MKE BORA.....katika maisha yangu yote, I beliv "MAISHA YA MWANAUME, YAPO MIKONONI MWA MWANAMKE WAKE"....so acha tu watambe, na maneno kama yote. Hongera yao bhana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Niliwahi soma kitabu Fulani sina hakika ni cha Gary Chapman (pengine nimechanganya madesa) lakini mwandishi mmoja aliwahi ongea kuhusu ugumu wanaume kufunguka kihisia!
Unaona vile watoto wa kiume wakiwa wadogo wakilia tunawaambia "WANAUME HAWALIII" , wakikua wakiumia "WANAUME WANAJIKAZA"
mwandishi wa hicho kitabu, anasema hii ndo inafanya wanaume hata wakiwa watu wazima!
hawafunguki hisia zao.
Wengi wetu hua tunaamini hawapendi lakini ukwlei ni kwamba KUJIELEZA KIHISIA alishaambiwa sio UANAUME!
kuonesha hisia SIO UANAUME
So ndo mana wanaume hawalii hadharani, hawasemi neon I LOVE I MISS YOU kwa mara nyingi kama wanawake.
Wanaume weng wana solid/physical language of love tofauti na wanawake , wengi tunatumia soft part of love language.
HATA MASOMO TUNAYOCHAGUA TUKIWA SHULENI, wavulana will go for mechanical na wasichana will focus kwenye arts. Mana huko ndiko kuna feelings feelings, hizi mambo za nyundo na mashine za mbao. HAPANA!
 
Back
Top Bottom