Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,096
Nsamehe basi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Mara ya tatu namwaga mboga

Hahaha "kutu" basi niseme hivyo...Hapa kwenye "janguuu" umeniacha fundi wangu.....
Cc: Vipimo vyote, vipo sawa.....kazi kwako fundi wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhh🙈🙈
Noted, with thanksRemind me then
Hahaha woza wozaah
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo kwny zimwi jamani kha!!Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Hongera Mkuu nadhani katika mia ya wanawake atakuwa kabaki yeye tu na mimi hahaha utani bwana, ila unatakiwa umpende sana ni wanawake wachache wenye moyo kama wakeNafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Kwa wazoef wa hiz kazi,nakuhakikishia kiongoz huyo mwanamke ana akili kukushinda wew,...na analiwa bila wew kujua..fatilia kwa undan haya nayokwambia...sabab hakuna mwanamke aishie hvyo na awe comfortable had akushaur et uoe ,..huyo mwanamke nimempigia magot,ana akil sanaNafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Mtume Muhammad aliwahi kusema miongoni mwa zawadi Bora atakazopewa mwanamme ni mke mwema
Noooooo , not here bana!Kwa wazoef wa hiz kazi,nakuhakikishia kiongoz huyo mwanamke ana akili kukushinda wew,...na analiwa bila wew kujua..fatilia kwa undan haya nayokwambia...sabab hakuna mwanamke aishie hvyo na awe comfortable had akushaur et uoe ,..huyo mwanamke nimempigia magot,ana akil sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Labda kwa wanaume ila naona chache sanaFor real. Na ndio maana mpaka Leo sijaoa mke wa pili wala nini.
Ila acha kutetea, Siku tano nyingi sana
Maneno mazuri, except yanae muhusu hajui hata id yako.. Utakua a real gentleman kama right now(baada ya kusoma maandishi yangu) utachukua sim yako, call ur wife and tell her wat u've just written here..Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.
I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).
She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.
Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.
Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.
Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.
Acha niishie hapa hebu
Vijana wana upungufu wa nguvu,.
Yah huo ndio ukweli wenyewe. Ila mwanaume anapokutana na MWANAMKE SAHIHI katika maisha yake.....normally lazima furaha izidi mkoba wa furaha ulipo moyoni, so kufunguka ipo, we mwenyewe si umeprov hapo juu vidume vinavyomwagika!!!!Niliwahi soma kitabu Fulani sina hakika ni cha Gary Chapman (pengine nimechanganya madesa) lakini mwandishi mmoja aliwahi ongea kuhusu ugumu wanaume kufunguka kihisia!
Unaona vile watoto wa kiume wakiwa wadogo wakilia tunawaambia "WANAUME HAWALIII" , wakikua wakiumia "WANAUME WANAJIKAZA"
mwandishi wa hicho kitabu, anasema hii ndo inafanya wanaume hata wakiwa watu wazima!
hawafunguki hisia zao.
Wengi wetu hua tunaamini hawapendi lakini ukwlei ni kwamba KUJIELEZA KIHISIA alishaambiwa sio UANAUME!
kuonesha hisia SIO UANAUME
So ndo mana wanaume hawalii hadharani, hawasemi neon I LOVE I MISS YOU kwa mara nyingi kama wanawake.
Wanaume weng wana solid/physical language of love tofauti na wanawake , wengi tunatumia soft part of love language.
HATA MASOMO TUNAYOCHAGUA TUKIWA SHULENI, wavulana will go for mechanical na wasichana will focus kwenye arts. Mana huko ndiko kuna feelings feelings, hizi mambo za nyundo na mashine za mbao. HAPANA!
She is one of a kind, i know her.Kwa wazoef wa hiz kazi,nakuhakikishia kiongoz huyo mwanamke ana akili kukushinda wew,...na analiwa bila wew kujua..fatilia kwa undan haya nayokwambia...sabab hakuna mwanamke aishie hvyo na awe comfortable had akushaur et uoe ,..huyo mwanamke nimempigia magot,ana akil sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha "kutu" basi niseme hivyo...
Kazi ntaiweza kweli???
"Being a woman/man is never a privilege but a responsibility".. Sijawah kufurahia maana sijawahi pata mwanamke anaeelewa phyilosophy yanguUnafurahia mahusiano yako na kimapenzi, Ndoa,Urafiki,Ama unajutia.????
Kama ndiyo kwa nini ?
Hapana kwa nini ?
Ninyi wenye mahusiano yaliyofanikiwa ni Mambo gani/Hatua mlizopitia mpaka kufurahia mahusiano yenu.
Mnaojutia mli/Mmekosea wapi mpaka mnajutia?
Sent using Jamii Forums mobile app
Inna vipi we hufurahii au ni junia bachela???[emoji113][emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]