Unafurahia mahusiano yako?

Unafurahia mahusiano yako?

Nafurahia ndoa yangu vilivyo, I am one of the luckiest and happiest guy when we talk about relationship.

I met my wife when I was in form five and married her some 7 fucking years later. In between I met too many girls but she was special and unique. She is my sapphire (open and loud).

She is that religious, she knows her God and fear him as well. Yeye ni Lulu ambayo Niko tayari kufanya lolote lakini nisimpoteze. Haimaanishi kwamba ndio siongei na wadada wengine, NO! I do, big times but yeah my wife is special.

Nshawahi kuamka saa nane usiku nkamkuta kakaa kwenye mswala analia, nkajifanya kama nimelala maana moyo ulinishtuka sana. Kumuuliza baadae imekuwaje bibie ananiambia nimeona msg zako ulizokuwa unachat na flani, imeniuma sana mume wangu nkaamua niamke nimuombe Allah akulinde mume wangu. I cried a lot na kuomba msamaha tele tele.

Kutokana na kazi zetu tunalazimika kukaa mbali mbali kama 55kms hivi mpaka Friday ndio tunakuwa pamoja, kwa namna anavyonipenda na kunijali amenishauri mara kadhaa kwa nini nisioe mke wa pili ili nisipate tabu?? Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureeee.

Amenichanganya, ananikanga roho, ndio maana nafanya nifanyalo kila end of year mtoto lazima nimpeleke mamtoni.

Acha niishie hapa hebu
Mpe salam shemeji yangu asee ,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Achia moyo huo!
kujibana bana ya nini, mwisho urudishe namba ufe na utamu wako!
Unafikiria napenda basi!!!! Ni basi tu kamoyo kamekondeana kwa kukosa virutubisho vya upendo, hadi nakaonea huruma jomoniiii.....bora tu nijipende mwenyewe.

Maana kila nikitazama huku na huku, najiona sina haki ya kupendwa kabisaaaaah

Hata ungekuwa wewe, nadhani si rahisi kukaa na mtu kama mimi, yaani china pesa, china fyucha, face makobazi, urefu fut 3, kichwani pelege, ndani ki**mia, mwili moja etc so naomba niache tu....wala usiniponze snowhite, wasije wakunikula na kuniacha ahahahahahahah

ahahahahhahhaahhaa hujapata wa kutokutizama yote hayo!
Huwa nawaambia watu, love is seeing beyond what others sees!
So kujipenda kwanza ni sahihi, wala usitafyte mapenzi!
YENYEWE HUJA TU, unajistukia umo ndani!
upo kwenye raiti track, SELF LOVE NI MUHIMU SANA KWENYE KUPENDA WENGINE!
huwezi penda mtu kama hujipendi!
ukijipenda utapenda kuupa moyo wako ulichopenda!
ukijipenda utajua kulinda ukipendacho mana ndicho moyo wako unaoupenda unapenda!
ukijipenda utajua kuenzi na kuthamini upendacho!
LAKINI kubwa zaidi ukijipenda UTAJUA KUJILINDA IWAPO MOYO WAKO UNAUMIZWA NA KUSEMA HAPANA , NAUPENDA MOYO WANGU ZAIDI YA NIKUPENDAVYO NIKUPENDAYE!
 
Well, it reached a point nkaona inafaa kuoa mke wa pili kwa sababu za kidini zaidi. Hapo kwenye kitafuta mke sasa, manungaembe watupu na naona Bora nsioe nisije nkamletea mke wangu zimwi ndani bureee...
Hongera sana mkuu if you are really happy.
Nakumbuka one time tumepishana kwenye threads zako kama 3 za wewe kumsifu a good friend of yours, promising to give her everything there is to offer in this world.
I told you, you pressed it wrong, too fast for it to work out.
New year ulikuja na thread ya maadhimio ya mwaka mpya, promising to be good to your wife and so. Nakumbuka issue ya side chick na girls in JF who took you for granted.
And then, there was that thread in Feb, which I thought you had made it and you are online.
Unfortunately, readind this from you, inaniambia kwamba you are somehow relaying information to her that you are trying to move forward.
I know how it feels to be turned down, na in a way of comforting ourselves we call names to those who turn their backs to us.
Najua as good as you are, you probably have approached a good number of girls hapa JF, so neno Manungayembe linaenda moja kwa moja kwa wahusika humu.
That is very insensitive of you.
Ushauri: Try to be confidential man, siyo all girls watafurahi matangazo ya kuji-expose kwa relationship ambayo bado iko on initial stages, wengine hata upper stages.
Jaribu kujitahidi kutopenda kuanika taarifa zako zote hivyo, some of us read too much into these, na si wote watakushangilia hapa wanamaanisha.
Hope am as clear as I wanted to be clear.
No hard feelings man.
 
ahahahahhahhaahhaa hujapata wa kutokutizama yote hayo!
Huwa nawaambia watu, love is seeing beyond what others sees!
So kujipenda kwanza ni sahihi, wala usitafyte mapenzi!
YENYEWE HUJA TU, unajistukia umo ndani!
upo kwenye raiti track, SELF LOVE NI MUHIMU SANA KWENYE KUPENDA WENGINE!
huwezi penda mtu kama hujipendi!
ukijipenda utapenda kuupa moyo wako ulichopenda!
ukijipenda utajua kulinda ukipendacho mana ndicho moyo wako unaoupenda unapenda!
ukijipenda utajua kuenzi na kuthamini upendacho!
LAKINI kubwa zaidi ukijipenda UTAJUA KUJILINDA IWAPO MOYO WAKO UNAUMIZWA NA KUSEMA HAPANA , NAUPENDA MOYO WANGU ZAIDI YA NIKUPENDAVYO NIKUPENDAYE!
Ahahahahah chawa somo wangu....acha niingie field...

Naomba nibaki kuwa MUPENSI MUTAZAMAJI wa hiyo dunia yenu.....nikirudisha ticket mapema, chawa tyu, kuliko kuliwa kizembe zembe hivyo....Akuh naogopa mwenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom