Unafikiri yuko wapi hapo?

Unafikiri yuko wapi hapo?

Indume Yene

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
2,968
Reaction score
727
Ukiangalia hii picha kwa haraka, je unafikiri huyo jamaa aliyevaa shati jeupe kulia katika picha yuko wapi hapo?

WADAU+WA+SEKTA+YA+UTALII+WAKIFURAHI+JAMBO+WALIPOKUWA+WAKISIKILIZA+HOTUBA+YA+MHE.+EZEKIEL+MAIGE.jpg

 
Atakua kafanya zahma gani sijui! Manake mahakamani si pingu zafungulia?
 
Hapo si mahakamani, jamaa alikuwa anasikiliza mada ikitolewa.
 
Kama ni mahakamani mbona huyo wa kushoto kakenua meno na mijicho kuashiria kucheka? Mahakamani hauruhusiwi kucheka. Mi nadhani ni pozi tu la jamaa kuweka mikono nyuma
 
Back
Top Bottom