Unafiki wa Wamarekani

Unafiki wa Wamarekani

Status
Not open for further replies.
Well said ndugu yangu,, kwanza nikwambie ukweli Palestine watu wote sio waislam japo majority ni waislam,,, mimi nimefanya kazi midle east na wakristu wa palestine,,, mmoja naweza hata kumtaja anaitwa #Nidal huyu anaishi kama mkimbii canada na familia yake ,, na ni waisrael ndo alikimbia... ikumbukwe kua bado hakuna technologia ya mabomu ambayo inaweza bagua mtu kwa dini yake... na mjue pia wayahudi dini yao ni tofauti kabisa na ukristo. mashariki ya kati kuan wakristu wengi tu ngoja nikutajie nchi chache ambazo mimi nimefika na zingine kwenda kanisani na kupiga picha . Jordan. Lebanon, Iraq, Dubai Turkey (ulaya) sasa zuzu wa Tanzania ambaye hajui hili akisikia marekani inashambulia Jordan atashangilia eti bora waislam wanagongwa kumbe hata wa dhehebu lake pia wanagongwa... let us stabd together tupinge mauwaji ya watu wasio na hatia,,,, ISISI kule iraq hawatuwakilishi waislam,, ni pandikizi la wale wale
Asante mkuu kwani mengi uliyoyasema yana mantiki kwa freethinker, ila mwisho msumeno wako ulikuwa hauleweki unakata upande gani kati ya Israel na Hamas.. ukikosea pa kukata ujue utaendeleza arguments.
Hams wamesema wao ndio wataamua vita viishe ama viendelee. Israel imesema haiwezi kujadili ikiwa rocket zinaendelea kushambulia nchi yake. hivyo kama tuonavyo vita vinaendelea.
kama wewe ni mpatanishi wa kimataifa wa huu mgogoro ukiwa na lengo la kuzuia mauaji zaidi nasisitiza mauaji zaidi na si vinginevyo. utamfuata nani na kumkemea kati ya Hamas na Israel. elekeza msumeno wako ili tujue utakapo kata ni wapi.
 
Msimamo wangu ni ule ule wa Mw. Nyerere , Mandela, Rev Destimund Tutu... na wapenda amani duniani kote ,, tunaona ni haki ya Wapelistine kuwa huru,, kutoka kwenye #large Open Prison. na hii ndo chanzo ya haya yote,, kuto liona hili ndo shida kubwa,, hawa wapelistine ni kama mimi na ww ni wasomi na wanajua nini wanataka.... AMANI na UHURU.. imagine kwa mfano watu wa mwananyamala wawekewe kizuizi cha kutoka katika eneo lao na wazuiliwe huduma za kiutu.. then utgemee watu hawa wakae kimya tu wasijitetee?? wapalestine wanajua who is behid all this.. na wanajua wanapambana na mwenye nguvu duniani .. lakini wanaona wanahaki ya kutetea utu wao hata kwa mawe..hawa ni mfano wa kuigwa kwa wapenda haki.... they firmly stand for their rights....... I fully surport #GAZA
 
Mkuu kauli yako inajichanganya: kwani haina lengo kuzuia umwagaji wa Damu unaoenendelea.
Hamas kwa mujibu wa Katiba yao inalengo kuu la kuliangamiza taifa la israel.Pia kutokana na hili Israel mara nyingi imekuwa ikitaka palestina kutokushirikiana na Hamas kwenye majadiliano, kwani Israel haina maelewano mazuri na kundi hili. Miaka yote Palestina walikuwa hawashambuliwi huko Gaza na Tangu Hamas wamejiunga na Palestina tunashuhudia vita hii kubwa. Hamas ameshika rungu na wanasema wao ndiyo watakaoamua vita iendelee ama iishe.

tukirudi kwenye njia kuu:
Mgogoro wa Palestine na Israel haujaanza leo wa jana, na wameshakuwa wakijadili kwa njia ya Amani kwa miaka sasa. Na njia hii waarabu waliikubali walipoona ina usalama kwao kuliko ile ya vita ambayo walikuwa wakipokea vipigo vikali sana. Iweje leo utetee uhuru wa wapalestina bia kuangalia usalama wa Israel tena kwa kundi wanaloona lina madhara kwao?Israel inajiona haiko salama hivyo haitaki majadiliano. Nani alaumiwe.
Kumbuka Hamas ndio waliochimba zile tunnels ili kuishambulia Israel na usisahau hii iko kwenye katiba yao.Na usisahau Israel inayo haki kikatiba kujilinda dhidi ya Adui.
Je Hamas wakisitisha mashambulizi dhidi ya Israel watakua wamekosea kitu gani?
kwa msimamo wako haujaungana na Mandela, nyerere, Hilary Clinton, Dalai lama, Martin luther king jr, Yesar Arafat, Yizak rabin na wapenda amani wote.
 
Hivi we kiakili yako haswa Israel anaweza kupigana vita na Syria au Egypt bila kusaidiwa na USA ? Siku akijaribu kupigana vita na Jordan bila USA hapo tutamini wanaume, Israel anacho tishia warabu ni hizo nuclear tu na hata weza kuzitumia kabisa katika vita yoyote ile, ndio sababu Syria akaamua kuzitoa chemical weapon kwenye stock zake alijuwa zinatawadhuru wao siku wakisubutu kuzitumia. Mtabaki kuimba nyimbo zilizo pitwa na wakati, leo, Israel vita hawezi bila USA kuanzia kuhongwa silaha na hata kusaidiwa kijeshi. Vikosi tu vya Hazbullah na Hamas kavishindwa ataweza kuingia vita na warabu huyu kwa sasa.
 
Mzee wa kutupia mzigo US Waarabu wakishindwa vita wewe unasema US Hamas kapata kipigo US kasababisha Ebola huko Magharibi mwa Afrika US inahusika ISIL US inahusika lolote kuanguka ndege ya Iran US inahusika ama kweli ninyi ni Wazee wa kutupia watu Mizigo

Wacha kuyumbisha maneno lini Israel kaingia vita bila ya USA, hata hio vita wanajidai ya siku sita ni USA ndio alikuwa anapigana wanaficha tu, afu lazima muelewe hiyo vita warabu hawakusurrender mpaka mseme mlishinda walicho fanya ni ceasefire ndio Israel akajidai kashinda uwongo mtupu. Uzuri wa warabu wameisha msoma Israel vizuri yani wameisha mjua hajui kupigana vita anacho jua ni kubomoa majumba, afu fatilia vizuri utajua safari hii Israel alikuwa mtumwa wa warabu katumwa na Saud Arabia na UAE kupigana na Hamas. Wamenikumbusha ule msemo wao wakuwacheka warabu eti watoto wamjakazi, sa safari wamerudia ule ujakazi wao au vipi, nilidhani wamesahau wao pia ni katika lile kundi lililo toka kwa Prophet Jacob (Yaqub) na vyo jua Prophet Jacob had relations with his wives slaves, Bilhah and Zilpah sa hao watakuwa ndio hao,kina Natanyahau na Sharon au sio mwanajeshi mstafu na wewe ni katika wajukuu wa Jacob pia au.
 
You are Doomed:majani7:
 
wewe huelewi,bible inamtaja muislaeli kuwa namba moja duniani bado inasema atakaye mlaani amelaaniwa,chukua hiyo

Kweli, basi tangu leo siiamini Bible. Hakuna ukweli unaopingana na akili timamu!
 
Wacha kuyumbisha maneno lini Israel kaingia vita bila ya USA, hata hio vita wanajidai ya siku sita ni USA ndio alikuwa anapigana wanaficha tu, afu lazima muelewe hiyo vita warabu hawakusurrender mpaka mseme mlishinda walicho fanya ni ceasefire ndio Israel akajidai kashinda uwongo mtupu. Uzuri wa warabu wameisha msoma Israel vizuri yani wameisha mjua hajui kupigana vita anacho jua ni kubomoa majumba, afu fatilia vizuri utajua safari hii Israel alikuwa mtumwa wa warabu katumwa na Saud Arabia na UAE kupigana na Hamas. Wamenikumbusha ule msemo wao wakuwacheka warabu eti watoto wamjakazi, sa safari wamerudia ule ujakazi wao au vipi, nilidhani wamesahau wao pia ni katika lile kundi lililo toka kwa Prophet Jacob (Yaqub) na vyo jua Prophet Jacob had relations with his wives slaves, Bilhah and Zilpah sa hao watakuwa ndio hao,kina Natanyahau na Sharon au sio mwanajeshi mstafu na wewe ni katika wajukuu wa Jacob pia au.
vita sio maneno bali vitendo. Arab world wanajua wazi mwanaume Israel akichapa bakora si kitoto kazi pevu. History is the best teacher.hivi unajua neno 6days War waarabu wamelipa jina jingine ili kuepuka humiliation?
Mtu huwezi kujidai-kwani ukishinda umeshinda. Ndo unatakiwa ujue namna ya kutenganisha ukweli na uwongo. Hakuna cha Allah wala msalie mtume aliyewaokoa waarabu na haya majanga. Waarabu wakasaidiwa na taifa la kipagani-Urusi! wamshukuru sana mrashia manake kama si yeye!! wangeshahamia Afrika wote. Ramani mpya ilishachorwa na wa-israel. Tena haya mambo yameandikwa kwenye kuruani yako. Sijui kwanini husomi? Mtumwa ni mtumwa tu na Guru ni Guru tu kama kule India.
 
Msimamo wangu ni ule ule wa Mw. Nyerere , Mandela, Rev Destimund Tutu... na wapenda amani duniani kote ,, tunaona ni haki ya Wapelistine kuwa huru,, kutoka kwenye #large Open Prison. na hii ndo chanzo ya haya yote,, kuto liona hili ndo shida kubwa,, hawa wapelistine ni kama mimi na ww ni wasomi na wanajua nini wanataka.... AMANI na UHURU.. imagine kwa mfano watu wa mwananyamala wawekewe kizuizi cha kutoka katika eneo lao na wazuiliwe huduma za kiutu.. then utgemee watu hawa wakae kimya tu wasijitetee?? wapalestine wanajua who is behid all this.. na wanajua wanapambana na mwenye nguvu duniani .. lakini wanaona wanahaki ya kutetea utu wao hata kwa mawe..hawa ni mfano wa kuigwa kwa wapenda haki.... they firmly stand for their rights....... I fully surport #GAZA
Na wasomi wenye fikra kama zako ndiyo watengenezaji wazuri wa tanuru la maangamizi ya Wapalestine (Hamas),Hamas wana maono ya kuifuta Israel katika Ramani ya dunia, huo ni msimamo wao ambao uko wazi. Hawa watu ambao lengo lao la maisha ni kuiondoa Israel katka ramani ya dunia, na moja ya mbinu zao ni kutuma vijana wao wakiwa wamevaa milipo na kulipua Waisreal popote walipo, kwa kuwa Waisrael sio wasomi kama wewe wakagundua njia ya kuwadhinbiti ili kupunguza maafa ni kuwazuilia kwenye maeneo yao,hata pale ambapo hamas walifanikiwa kuwaumiza Waisrael kwa kutumai makombora bado Israel kwa kuwa hawana akili waliwasogeza zaidi na kukalia maaeneo zaidi ili kupunguza umbali wa makombora kufika Israel, hii yote ni kutokana na kukosa elimu kwa Waisrael,maana wengekuwa na elimu wasomi kama wewe na wapofu kama Desmond Tutu et al. wangekaa kimya wasubiri Muujiza wa Mungu utaolainisha roho za Hamas ili waache kujitoa muhanaga na kurusha makombora.
Mfano wako wa watu wa Mwananyamala, wawe wanawaua watoto wa mikocheni, kwa nini wazazi wa mikocheni wawaache watu wa mwanayamala waendeleze mauaji wakati uwezo wa kuwadhiti na kufanya mwananyamala ndiyo gereza lao wanao wasikamate fursa hiyo kwa faida na amani ya watoto wao ?

Hili swala la who is behind this ni la kitoto sana,makombora yanapiga Israel na Israel ndiyo inawajibika kulinda watoto wake, hili la who is behind linaiingiaje ?
Kama HAMAS kwako ndiyo mfano wa kuigwa no wonder unawasifia kwa ujinga wa kujiletea maangamizi yao.
Wanaitikadi kwamba WAO hawaogopi KIFO,wamepelekewa kifo badala ya kuchekelea watafuta sympathy ya jumuia ya kimataifa...
I fully support # ISRAEL
 
Eti baada ya machafuko ya Iraq Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa United States of Amerika wapo against any genocide hapa duniani hivyo wakaenda Iraq kutuliza amani.

Swali

Kinachotokea huko Gaza sio genocide? kwanini Marekani Polisi wa dunia ameshindwa na hatuoni meno yake katika kutuliza au kuwapunish Israel kwa wanayoyafanya?

Imani yetu binadamu inatufanya tusiwaone wale watoto na wazazi wanaofariki Gaza kama ni wanadamu, utakuta mkristo anasema waache wafe tu.

Mimi ni mkristo kwa imani ila kamwe sintokubali haya mauaji ya waisrael wanayoyafanya eti kisa imani kwanza wewe kama ni mkristo halafu unasupport mauaji kwa kweli wewe ni mkristo jina.

Tuupinge huu unafIki wa Wamarekani na washirika wake katika kutuliza amani na demokrasia ya dunia.

Kama wewe ni Mkristo kweli na unamaanisha huruma ya kweli kwa Hamas, lililo la busara ni kufunga na kuomba kwamba makombora yanayorushwa kwende Israel yawe yanabadilika na kuwa maji ya kunyweshea bustani katika Israel. Kinyume chake kama yatakuwa yanarushwa na kufika Isreal kama makombora na mengine yakipenye wigo wa ulinzi yanaleta madhara kwa watoto wenye haki ya kudungwa kwa makombora wa Israel tegemea maafa ziadi.
 
Hivi we kiakili yako haswa Israel anaweza kupigana vita na Syria au Egypt bila kusaidiwa na USA ? Siku akijaribu kupigana vita na Jordan bila USA hapo tutamini wanaume, Israel anacho tishia warabu ni hizo nuclear tu na hata weza kuzitumia kabisa katika vita yoyote ile, ndio sababu Syria akaamua kuzitoa chemical weapon kwenye stock zake alijuwa zinatawadhuru wao siku wakisubutu kuzitumia. Mtabaki kuimba nyimbo zilizo pitwa na wakati, leo, Israel vita hawezi bila USA kuanzia kuhongwa silaha na hata kusaidiwa kijeshi. Vikosi tu vya Hazbullah na Hamas kavishindwa ataweza kuingia vita na warabu huyu kwa sasa.
That's why nilisema Allah can't save ya'll a.s.s.e.s. Knowledge is far stronger than belief, cause it leaves all the delusional minds behind the presented facts. At the end of daily tread knowledge will dominate the faith in Allah.
i find it so ironic that If you can't fight and Allah can't save you then why keep fighting?.Why have faith in Allah while doing all the work without Allah's help?

The fascination with virgins must be the result of your attraction to blood.

Swala la Israel kumiliki nuclear halizungumzwi na Russia, China, India, Cuba, wala North korea, wala hiyo Iran, linasemwa na weak minded Arab countries. Hayati Sadam hussein na vikundi vyote vyenye kuiogopa Israel ndio vinataja kuwa Israel ina nyuklia. Hii ni dalili mbaazi ikikosa maua usingizia jua. Israel iliwachapa hata kabla huu uvumi wa nyuklia haujakuwepo.Israel haijawahi kutumia nuclear kwa waarabu. Allah ni shahidi!!

Tuko hapa kujadili amani ambayo bwana yesu anaisisitiza sio killings according to Muhammad teachings. As far as concern Allah has prepared a paradise for you-not this world the one you are craving for.. so You better blow up, Save the place for others who will follow you to enjoy 72 virgins cunts & liquor.

Eti baada ya machafuko ya Iraq Rais wa Marekani Barack Obama amesema kuwa United States of Amerika wapo against any genocide hapa duniani hivyo wakaenda Iraq kutuliza amani.

Swali

Kinachotokea huko Gaza sio genocide? kwanini Marekani Polisi wa dunia ameshindwa na hatuoni meno yake katika kutuliza au kuwapunish Israel kwa wanayoyafanya?

Imani yetu binadamu inatufanya tusiwaone wale watoto na wazazi wanaofariki Gaza kama ni wanadamu, utakuta mkristo anasema waache wafe tu.

Mimi ni mkristo kwa imani ila kamwe sintokubali haya mauaji ya waisrael wanayoyafanya eti kisa imani kwanza wewe kama ni mkristo halafu unasupport mauaji kwa kweli wewe ni mkristo jina.

Tuupinge huu unafIki wa Wamarekani na washirika wake katika kutuliza amani na demokrasia ya dunia.

i wonder why this fakestine is trying to defend the desert rats in gaza.
 
Mimi binafsi nakushangaa sana kwa kila jambo unataja Wakristo najua maana yako ni kutaka Wakristo wawachukie wayahudi naona utakuwa umechelewa sana maana sera za chuki Wakristo hawana,na Biblia tunaielewa vizuri maana ni kitabu chetu wala hatusoni kama hadithi kama unavyosema,Wakristo si watu wa kukariri kama ninyi.
wakristo wengi haatutaki kufuatilia ukweli halisi nje ya biblia, tunasoma biblia kama hadithi halafu tunashabikikia mauaji ya wenzetu, hii ni aibu maana huko middle east pia kuna wakristo kibao
 
ni washenzi sana ha wa U.S.A
Kama kweli wewe ni Mkristo basi wewe ni FALISAYO tena yule Mkubwa,maana wakristo hawana roho mbaya kama yako,maana mdomo wako umejaza matusi kama wale watoto wa Mjakazi na ndivyo ulivyo.
 
Wewe kupinga au kukubali hakubadilishi chochote kule Gaza. Hata hapa TZ tu nchi yako haikusikilizi wala kukujali chochote usemacho ndio US iendeshwe kwa maneno ya watu tena wasio wamarekani

Siungi mkono mauaji kule Gaza na popote pale duniani ila tuache kujidanganya kwa kudhani harakati zetu sisi wamatumbi zitabadili mtazamo wa hayo mataifa
 
America na mataifa yote duniani yanayofuata ubepari ni wanafiki na unafiki wao mkubwa si wao ni UBEBERU na UBEPARI wao...ukeshe unawatetea haiondoi unafiki huu

nashangaa mnavyotaoana kamasi hapa...kutetea uozo wa MABEBERU
 
Mimi binafsi nakushangaa sana kwa kila jambo unataja Wakristo najua maana yako ni kutaka Wakristo wawachukie wayahudi naona utakuwa umechelewa sana maana sera za chuki Wakristo hawana,na Biblia tunaielewa vizuri maana ni kitabu chetu wala hatusoni kama hadithi kama unavyosema,Wakristo si watu wa kukariri kama ninyi.

We mgalatia Wacha kudanganya watu.
Biblia imejaa chuki na mauwaji yasio na mfano.

ngoja watu wakuone ulivyokuwa huna aibu kusema UONGO.

2 mambo ya Nyakati 15:13

13.-na ya kwamba ye yote asiyemtafuta Bwana, Mungu wa Israeli, atauawa, akiwa mdogo au mkubwa, kwamba ni mwanamume au mwanamke.-

Hapo mnaambiwa asiekubali huuo mungu wenu wa Kiyahudi AUWAWE!
sasa hapo kuna AMANI hapo??

Kumbukumbu la TORATI 13:6

Atakapokushawishi kwa siri ndugu yako, mwana wa mamaako, au mwana wako, au binti yako, au mke wa kifuani mwako, au rafiki yako aliye kama moyo wako, akikuambia, Twende tukaabudu miungu mingine usiyoijua wewe wala baba zako;-
7-katika miungu ya mataifa yaliyo kando-kando yenu karibu nawe au mbali nawe, tokea ncha moja ya dunia hata ncha ya pili ya dunia;-
8-usimkubalie wala usimsikize; wala jicho lako lisimwonee huruma, wala usimwache, wala usimfiche;-

9-mwue kweli; mkono wako na uwe wa kwanza juu yake katika kumwua, na baadaye mikono ya watu wote.-

Nyie WAKRISTO mmeamrishwa KUUA kila Asiye kubaliana na NYIE

Na Ni bahati tu kuwa Wengi wenu Hamfanyi mnavyoamrishwa Ispokuwa hao Waisraeli na wazungu.
Manake wale ndio wanaoongoza KUUA Wasiokuwa WAKRISTO.

Halafu jitu zima km wewe na vinyeleo mpaka kwenye makalio Huna Hata Aibu kusema UONGO!
 
Wewe ni kipofu wa maandiko ya Biblia najua umekaririshwa na viongozi wako pole sana atakaye kufata mtadumbukia wote shimoni.Maana hata domo lako ni chafu kama choo linatoa matusi ovyo.

Back
Top Bottom