Unafiki wa Wamarekani

Unafiki wa Wamarekani

Status
Not open for further replies.
Kwani marekani kazi yake kusimika viongozi wa kiarabu???Basi kama ni hivyo basi na wananchi wanaomkubali ni MABOZONGO
Wacha kulewa gongo hao viongozi wa Iraq nani kawaleta kama sio huyo mmarekani.
 
Mzee wa kurushia watu mizigo kila tatizo linapotokea US tu ama kweli mlishakosa la kusingizia hata udhaifu wenu mnasema US MNA TAABU NINYI.

Commonder mustafu wa JWTZ, hebu wewe kwanza fikiria kabla ya USA kuvamia Iraq, uliona kuna matatizo ya Sunni na Shia, au wakati USA na vibaraka wake hawajapeleka majeshi ya unafiki wa dini Syria kulikuwa na matatizo ya shia na sunni, nani kayaleta kama sio hawa wajinga. Mackain alienda mpaa kupiga nao picture wafuasi wa ISIS. Presdent wa Syria alwambia hawa ISIS na Al Nusra ni wauwaji wao wakasema hapana hawa ni Free Syria Army, kibao kilipo wageukia saa wamekuwa maadui wao sio.
 
Mkuu, comment zako ni nzuri. Zinafundisha na kuwafungua watu macho. Suala dogo tu nakuomba husionyeshe mambo ya udini ili tuendelee kuwafumbua macho watu wote especially watanzania wengi ambao wakisikia BBC CNN etc wanaamini 100%
 
Mkuu mimi huwa sianzi mambo ya udini mpaa pale naona wafuasi wa kina Paulo wanashambulia dini yetu.
 
[h=2]Inasikitisha kuona wale wote 15 walioshuhudia mauji ya balozi wa marekani kule Benghazi yakifanywa na CIA wote wameuawa ili kuficha ukweli! Marekani ni magaidi number moja duniani... 15 Benghazi Witnesses Killed Unable to Testify[/h]

(CT) With Congress officially in recess, Americans are anticipating the return of the House to Washington and the resumption of Congressman Trey Gowdy’s committee hearings on the September 11, 2012 terror attacks against a U.S. diplomatic mission and nearby CIA annex in Benghazi, Libya that killed four Americans, including Ambassador Christopher Stevens.
A number of previous investigations have taken place, but failed to uncover all of the relevant facts that Americans want and deserve to know. Gowdy has promised to uncover the truth surrounding the attacks and their immediate aftermath, and the number and fame of some of the witnesses he may call to do so could be remarkable.
Unfortunately, however, there are 15 witnesses that he might like to call but cannot. All 15 of them have been killed in the two years since the attacks under investigation.
Talking Points Memo cites a delayed Senate report as saying that 15 “cooperating Libyan sources” are no longer available to assist in the investigation because they are now dead.
The report also says that it’s “unclear” whether those killings have anything to do with the ongoing investigation by the United States.
Blaming “inadequate cooperation and a lack of capacity by foreign governments,” the report says the FBI investigation is “slow and insufficient” to bring the murderers to justice.
Perhaps more importantly, the report also concludes that the terrorist attacks were “preventable,” and blames both the State Department and America’s intelligence community for failing to adequately protect U.S. personnel on the ground in Libya.
It’s unclear how much the 15 dead witnesses knew about the attacks, whether Gowdy planned to call them, or what their unavailability means for his investigation, but it certainly seems unlikely that their absence will assist the committee’s efforts to uncover all the facts.
Also unclear is how many Libyan witnesses remain alive and available to testify. If 15 witnesses out of, say, 300 have been killed over two years in a nation wracked by civil war, that is sad, but not terribly surprising.
On the other hand, if the original total was more like 30, that’s quite a different story.
Please share this article on Twitter and Facebook if you support Trey Gowdy’s investigation to finally get to the bottom of the Benghazi scandal.
 
Nakumbuka matatizo ya Sunni na Shia yalikuwepo mpaka Marehemu Sadam Hussein aliamua kuwapiga kwa silaha za sumu ili wafe wote kabisa,Wakurdi mpaka leo wanakumbuka hiyo ndiyo kumbukumbu yangu mkuu.
Commonder mustafu wa JWTZ, hebu wewe kwanza fikiria kabla ya USA kuvamia Iraq, uliona kuna matatizo ya Sunni na Shia, au wakati USA na vibaraka wake hawajapeleka majeshi ya unafiki wa dini Syria kulikuwa na matatizo ya shia na sunni, nani kayaleta kama sio hawa wajinga. Mackain alienda mpaa kupiga nao picture wafuasi wa ISIS. Presdent wa Syria alwambia hawa ISIS na Al Nusra ni wauwaji wao wakasema hapana hawa ni Free Syria Army, kibao kilipo wageukia saa wamekuwa maadui wao sio.
 
Wamevuna walichopanda.
[h=2]Inasikitisha kuona wale wote 15 walioshuhudia mauji ya balozi wa marekani kule Benghazi yakifanywa na CIA wote wameuawa ili kuficha ukweli! Marekani ni magaidi number moja duniani... 15 Benghazi Witnesses Killed Unable to Testify[/h]

(CT) With Congress officially in recess, Americans are anticipating the return of the House to Washington and the resumption of Congressman Trey Gowdy's committee hearings on the September 11, 2012 terror attacks against a U.S. diplomatic mission and nearby CIA annex in Benghazi, Libya that killed four Americans, including Ambassador Christopher Stevens.
A number of previous investigations have taken place, but failed to uncover all of the relevant facts that Americans want and deserve to know. Gowdy has promised to uncover the truth surrounding the attacks and their immediate aftermath, and the number and fame of some of the witnesses he may call to do so could be remarkable.
Unfortunately, however, there are 15 witnesses that he might like to call but cannot. All 15 of them have been killed in the two years since the attacks under investigation.
Talking Points Memo cites a delayed Senate report as saying that 15 "cooperating Libyan sources" are no longer available to assist in the investigation because they are now dead.
The report also says that it's "unclear" whether those killings have anything to do with the ongoing investigation by the United States.
Blaming "inadequate cooperation and a lack of capacity by foreign governments," the report says the FBI investigation is "slow and insufficient" to bring the murderers to justice.
Perhaps more importantly, the report also concludes that the terrorist attacks were "preventable," and blames both the State Department and America's intelligence community for failing to adequately protect U.S. personnel on the ground in Libya.
It's unclear how much the 15 dead witnesses knew about the attacks, whether Gowdy planned to call them, or what their unavailability means for his investigation, but it certainly seems unlikely that their absence will assist the committee's efforts to uncover all the facts.
Also unclear is how many Libyan witnesses remain alive and available to testify. If 15 witnesses out of, say, 300 have been killed over two years in a nation wracked by civil war, that is sad, but not terribly surprising.
On the other hand, if the original total was more like 30, that's quite a different story.
Please share this article on Twitter and Facebook if you support Trey Gowdy's investigation to finally get to the bottom of the Benghazi scandal.
 
Fanya tafiti zaidi Mkuu, Saadam Hussein Enzi zile alikuwa anatumiwa na USA kuishambulia Iran! a moment alipoingia deal na Urusi Wamarekani wakaanza chokochoko ya kunyonya mafuta kupitia Kuwait! Vita vya kwanza vya Ghuba Bush Sr aliaibishwa sana pamoja na kwamba waliua maelfu ya wairaq wasiokuwa na hatia... Baada ya hapo walianza kumdhoofisha thru economical sanctions huku wakiwatumia wakurdi kufanya ugaidi... elewa kuwa USA haina rafiki wala adui wa kudumu, PM wa Iraq waliomtoa Malik aliandaliwa na USA toka 1979 ... I wish mngejua kuwa USA hawana cha haki za binadamu wala democracy wao ni maslahi tu!!! Middle East ikiwa destabilized kwao ni faidi maana watahitaji silaha, watahitaji protection ya USA in exchange of black gold (mafuta) ... Sisi huku Africa ndo kabisa hatustahili kuishi maana ni the only part of this planet Earth ambayo haijaharibiwa pollution ni ndogo, hali ya hewa nzuri, rasilimali za kila aina tumejaaliwa, wanasema tatizo la manyani yanazaliana sana ndiyo maana wana program kabambe ya kuwapunguza Manyani via HIV AIDS, EBOLA, Chanjo za Watoto, Vyakula vyenye sumu, Net za Mbu na Silaha kwa baadhi ya Manyani ili yaendelee kuua Manyani wenzao!!! Kule Kwao kila siku wanaua Manyani walowezi (African American) Pamoja na Kwamba wamemuweka Nyani Chotara kwenye Ikulu yao ili awape burudani huku wakishangilia michezo ya hatari kule Gaza...
Nakumbuka matatizo ya Sunni na Shia yalikuwepo mpaka Marehemu Sadam Hussein aliamua kuwapiga kwa silaha za sumu ili wafe wote kabisa,Wakurdi mpaka leo wanakumbuka hiyo ndiyo kumbukumbu yangu mkuu.
 
haha,, hebu weka imani pembeni shirikisha ubongo wako, kwahyo bible inasema ni ruksa kwa waisrael kuwaua wengine wasiokuwa wayahudi...kwani Mungu si Mungu wa wote iweje apitishe kikundi kimoja cha watu kiwauwe wengine na kiwe juu na kipewe heshima zadi ya wote???kwann asingewaumba waisrael peke yao

Sasa ninyi watumwa mnataka haki sawa na Bwana zenu?Taifa teule la Mungu ni Israeli,ninyi mkiuana mbona mmpo kimya?Huo unafiki na uongo uacheni hakuna haki ya kuwa Gaza
 
Fanya tafiti zaidi Mkuu, Saadam Hussein Enzi zile alikuwa anatumiwa na USA kuishambulia Iran! a moment alipoingia deal na Urusi Wamarekani wakaanza chokochoko ya kunyonya mafuta kupitia Kuwait! Vita vya kwanza vya Ghuba Bush Sr aliaibishwa sana pamoja na kwamba waliua maelfu ya wairaq wasiokuwa na hatia... Baada ya hapo walianza kumdhoofisha thru economical sanctions huku wakiwatumia wakurdi kufanya ugaidi... elewa kuwa USA haina rafiki wala adui wa kudumu, PM wa Iraq waliomtoa Malik aliandaliwa na USA toka 1979 ... I wish mngejua kuwa USA hawana cha haki za binadamu wala democracy wao ni maslahi tu!!! Middle East ikiwa destabilized kwao ni faidi maana watahitaji silaha, watahitaji protection ya USA in exchange of black gold (mafuta) ... Sisi huku Africa ndo kabisa hatustahili kuishi maana ni the only part of this planet Earth ambayo haijaharibiwa pollution ni ndogo, hali ya hewa nzuri, rasilimali za kila aina tumejaaliwa, wanasema tatizo la manyani yanazaliana sana ndiyo maana wana program kabambe ya kuwapunguza Manyani via HIV AIDS, EBOLA, Chanjo za Watoto, Vyakula vyenye sumu, Net za Mbu na Silaha kwa baadhi ya Manyani ili yaendelee kuua Manyani wenzao!!! Kule Kwao kila siku wanaua Manyani walowezi (African American) Pamoja na Kwamba wamemuweka Nyani Chotara kwenye Ikulu yao ili awape burudani huku wakishangilia michezo ya hatari kule Gaza...

Mkuu huu unaoongea ni ukweli wa mambo yalivyo. Lakini ni vipi tuwaambie ndugu zetu ambao tayari wako brainwashed? especially viongozi wetu? Kuna ndugu yangu mmoja yuko huko America alikuwa ananiambia the same story. Jamaa wanataka kutupunguza ili waje huku waishi wenyewe. HIV AIDS imetengenezwa kwa lengo kuu lakuwaangamiza ma black huku africa.
Nasisitiza America hakuna haki na demokrasia, kuna kulinda interests zao tu.
 
ABOMINATION!!!! uchambuzi wako ni mzuri ila umeleta lugha ya kuudhi sana tena kabisa tena mno kwa karne hii kuita watu wengine nyani au Chotara la Nyani yuko Ikulu mara Manyani walowezi haya ni mambo ya ajabu kufanywa na mtu mwenye kudhamini utu wa mtu ROCKSPIDER umeniangusha sana na umedhalilisha utu wa watu
Fanya tafiti zaidi Mkuu, Saadam Hussein Enzi zile alikuwa anatumiwa na USA kuishambulia Iran! a moment alipoingia deal na Urusi Wamarekani wakaanza chokochoko ya kunyonya mafuta kupitia Kuwait! Vita vya kwanza vya Ghuba Bush Sr aliaibishwa sana pamoja na kwamba waliua maelfu ya wairaq wasiokuwa na hatia... Baada ya hapo walianza kumdhoofisha thru economical sanctions huku wakiwatumia wakurdi kufanya ugaidi... elewa kuwa USA haina rafiki wala adui wa kudumu, PM wa Iraq waliomtoa Malik aliandaliwa na USA toka 1979 ... I wish mngejua kuwa USA hawana cha haki za binadamu wala democracy wao ni maslahi tu!!! Middle East ikiwa destabilized kwao ni faidi maana watahitaji silaha, watahitaji protection ya USA in exchange of black gold (mafuta) ... Sisi huku Africa ndo kabisa hatustahili kuishi maana ni the only part of this planet Earth ambayo haijaharibiwa pollution ni ndogo, hali ya hewa nzuri, rasilimali za kila aina tumejaaliwa, wanasema tatizo la manyani yanazaliana sana ndiyo maana wana program kabambe ya kuwapunguza Manyani via HIV AIDS, EBOLA, Chanjo za Watoto, Vyakula vyenye sumu, Net za Mbu na Silaha kwa baadhi ya Manyani ili yaendelee kuua Manyani wenzao!!! Kule Kwao kila siku wanaua Manyani walowezi (African American) Pamoja na Kwamba wamemuweka Nyani Chotara kwenye Ikulu yao ili awape burudani huku wakishangilia michezo ya hatari kule Gaza...
 
ABOMINATION!!!! uchambuzi wako ni mzuri ila umeleta lugha ya kuudhi sana tena kabisa tena mno kwa karne hii kuita watu wengine nyani au Chotara la Nyani yuko Ikulu mara Manyani walowezi haya ni mambo ya ajabu kufanywa na mtu mwenye kudhamini utu wa mtu ROCKSPIDER umeniangusha sana na umedhalilisha utu wa watu

Mkuu kaongea hivyo kwa mantiki kwamba wenyewe wanatuona kama manyani. Believe me. Labda siku hizi wanaanza kubadilika, lakini walikuwa wanatuona sawa na manyani. Mi binafsi nimemuelewa.
 
Hiyo kauli ni ya kibaguzi na ni kudhalilisha utu wa watu,huwezi kuita watu Manyani simply tu wako Ughaibuni huo ni udhalilishaji mimi siungi mkono kauli chafu kama hizi,kama wao wanatuona hivyo isiwe sababu ya sisi kuwaona watu wengine MANYANI hii ni ABOMINATION kabisa.
Mkuu kaongea hivyo kwa mantiki kwamba wenyewe wanatuona kama manyani. Believe me. Labda siku hizi wanaanza kubadilika, lakini walikuwa wanatuona sawa na manyani. Mi binafsi nimemuelewa.
 
Maandko ktk bblia hayatafsriw kama unavyoelewa ww,xo ucjdai kuelewa saana Bible while ur not!!!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom