Unafiki wa Wamarekani

Unafiki wa Wamarekani

Status
Not open for further replies.
Maneno hayo kamuulize MUDDY anaweza kukupa jibu zuri sana.
Ngoja niwaulize wakristo.Jamani mpinga hajatinga duniani?wakrito wanakatwa shingo zao kwa kuwa ni wakrsto?tusemeje sasa?pia mbona watetezi wa wakristo wameadimika.Maaskofu mnasemaje kuhusu haya huko duniani?
 
Waarabu ni wazi na sio ajabu kuwapigia magoti wamarekani in this case,power na madaraka ni matamu sana.IsIS ndio bench mark ya siasa uchumi,utawala transparent ndani ya nchi zote za waislam duniani,ukiliangalia jeshi au wapiganaji wengi utagundua kuwa wengi wao ni watu wa dunia nzima na wala sio waarabu isipokuwa baadhi ya viongozi wao ndio waarabu tu.
Nimetumia word benchmark,ni kweli strategies wanazotumia watu wa ISIS ziko universaly zaidi kama ukilinganisha na vikundi kama vile Alqaeda,Boko Haram au Elshabab n.k wao wamekuja fanya total perfection ya uongozi wa waarabu na kingdom zao zote za kinafiki.
Binafsi sijawahi shabikia hivi vikundi vinavyojiita au kujinasibu kuwa vinaupigania uislam,lakini hili la ISIS nimelikubali sana kutokana na malengo na misimamo yake.
Turudi kwa wanafiki waarabu,kumbukeni vita karibu zote watu wanapigia kelele USA karibu zote zinakuwa financed na wanafiki waarabu kwa ajili ya manufaa yao binafsi pamoja na kujilinda wao pamoja na madaraka wanayohodhi.
Shahid Saddam Hussein kauwawa through mikono ya waarabu wenziwe na sababu kubwa ilikuwa ni jinsi alivyokuwa amejijenga militarily so kwa sababu hiyo waarabu walimuona kuwa yeye ni threat kubwa kwa utawala wao,na hivyo basi kupelekea kufanya finance kubwa na ya kutisha dhidi yake ambayo ilipelekea USA pamoja na allies wake kufanya invasion kubwa sana ya kumuondoa nchi ya kuwait na hatimaye kupinduliwa na hatimaye kuuwawa kikatili.Hapa sioni ni kwanini tunawalaumu wamarekani kwa kufanya hili,Haya hebu tuje kwa kiongozi mwingine,Moammar Ghadaff pia kauwawa na wanafiki waarabu wakati alipoonekana anaegemea zaidi kwa Afrika na waafrika,waarabu viewed him kama ataweza kuamsha umma wao na kwenda kinyume nao.so kwa misingi hiyo walishirikiana na USA/Obama administration kumuondoa madarakani,kumbukeni pia huyu jamaa alikuwa na vision moja kubwa sana kuhusu Africa,aliwahi kuwaita viongozi wote wa Afrika na alishauri kuliko kukaa na kuitegemea dollar ya kimarekani kwanini tusitumie gold tuliyokuwa nayo kuunda pesa moja itakayo kuja shindana na dollar ya kimarekani,yaani kwa lugha nyepesi dollar ya kiafrika ambayo ingekuwa measured na gold,waarabu na western world walishtuka sana kwa hilo wazo na chuki kubwa na visasi viliundwa dhidi yake so ilipotokea arab spring struggles wakaona mwanya wa kumpata na walifanikiwa kweli.Kwa hiyo ISI isiogopewe sana ,hizi zote propaganda katika TV ni kujenga case dhidi yao na ni kutafuta pretext ya kuingia ndani ya nchi za watu kwa nia ya kufanya udhalimu na unyang'anyi wa mali za watu(hapa mali inayozungumziwa ni mafuta)ISIS wamekuja kupigania hii haki yao ambayo wanafiki viongozi waarabu wameamua kushirikiana na nchi za magharibi kuhujumu mali za waislam wa middle east,lo leo nimeandika kwa kirefu kuna mengi sana yatafuatiya huko mbeleni.ISIS ni breakthrough ya strugles zote za kiimani na haikuja kusilimisha watu kwa nguvu ka inavyotangazwa mitandaoni,hawa watu wamekuja tufundisha hata sisi wanyonge tunaofanyiwa udhalimu katika nchi zetu nini cha kufanya wakati mambo yakizidi dhidi yetu nchini mwetu hapa siongelei kutumia mbinu ka zao hapa nyumbani kwetu(wala msinichanganye mimi na mtu muoga),nazungumzia duniani kote kwenye waislam wa kutosha(waislam wa bongo bado hatutoshi kufikia hatua ka hiyo labda tujichanganye na wenzetu toka Kenya pamoja na sehemu zingine za karibu na kwetu ndio tutakuja fanya kitu ka cha ISIS hapa ninasoma matusi na chuki za ajabu dhidi ya waislam ,sasa mambo ka haya ndiyo yaliyochangia vikundi kama hivi vya ISIS kuibuka na kuanza strugles,hii inawezekana kwani hata mnyama paka ambaye ni mdogo sana compared na binadamu kuna siku utakuwa unamuonea huyo paka kwa muda mrefu lakini ipo siku paka huyo mdogo atakuja kukugeukia na kulipiza kisasi,mimi hayo yaliwahi kunikuta wakati bado mdogo nikilelewa na grand father wangu kule Mwanza,mimi nilikuwa nina cousin wangu na kulikuwepo na paka wa grand mother wetu,tulikuwa na tabia ya kumpiga na kumchukia na kumtesa yule paka siku ya siku baada ya zoezi lile kuendelea kwa muda mrefu siku moja tulimkuta chumbani kwetu na tukaanza kumfanyia yale manyanyaso tuliyozoea kumfanyia,paka alivyoona hana njia ya kutorokea ali strike back na instead yeye kuwa victim picha iligeuka na sisi wababe tukawa ndio victims ,tulipiga kelele tukiomba msaada mpaka tukaja okolewa toka mikononi mwa mnyonge wetu paka.Kwa hiyo tusitukanane na kuchukiana bure hapa kwani experience niliyoipata toka kwa yule paka inaweza ikamtokea mtu yeyote yule mahali au katika mazingira yeyote yale.Aman iwe juu yenu,wasalaam M/Mpamba.End.
 
@MSHERWAMPAMMBA Ulianza vizuri sana uchambuzi wako mimi nimekuelewa vizuri sana lakini umemaliza na pumba tupu unaposema kuwa kuna chuki dhidi ya Uislamu hii si kweli na kwamba mnaonewa sana hii si kweli,Tatizo ninyi Waislamu hamuishi kulalamika kama watoto wadogo ninyi mna Inferiority complex kila wakati wanajisikia tu mmeonewa hii nchi ni ya wote si waislamu peke yao.Na unajigamba eti mtakuja kuunda na ninyi kikosi kama cha ISIS mkishirikiana na Kenya maana eti waislamu wa Tanzania hajafikia kiwango cha kufanya Ugaidi ila Waislamu wa Kenya wewe unawaona wanafaa kwa kuwa Labda kwa Ugaidi wanaoufanya huko Lamu na Mombasa,Kwa akili yako hiyo jaribu muone kilichomtoa kanga manyoya,Tatizo lenu ni kuigaiga mambo ya kipuuzi,Yanayofanywa na ISIS huko Iraq na Syria wewe unafurahi sana watu Wa kabila la YAZIDI imebidi wakimbilie milimani watu wamebakwa na kusilimishwa kwa kwa nguvu wewe unaona ni Ushujaa Take note kama kwa akili yako unategemea hayo kuwa hapa basi wewe Hufai kuitwa Mtanzania maana huna nia nzuri na nchi hii.
 
Duh kumbe imekuuma eh...itakuwa umeshindwa kufanya hivyo...omba msaada tu...tuko humu kujifunza pia.

'huko' neno sahihi ni 'uko'.
Nilisema naisapoti Israel lakini siko ''huko upande wa Israel'' siko huko.

Nina hakika hujaelewa mada. Heading ya thread inaashiria which side the writer ameegemea. Na content yanyumbua ulalamishi wake dhidi ya matendo ya israel kuwa si sahihi. Na comments zangu nafafanua jinsi gani watu kama wewe walivyowashabiki kwa kufuata kelele za wengine pasipo utafiti.

Naona sasa umeanza kupayuka kwa jazba na kashfa. Natetea ukweli na kamwe siambatani na wapotoshaji kama wewe.

Hata hao wapalestina si ndugu zako pia.
Ukitoa views za kibwege yes nakuita mjinga kwani unastahili...waingereza wanasema 'stupid' ila bongo unatakulirefushaa...JINGA TENA.

Naona unataka ukiranja mkuu humu JF, utasubiri sana.

Wachangiaji wote humu ni watu.

Yes nina amani kama ile itafutwayo na waisrael kule Gaza...Go Israel!!!

Duh! mkuu unaonekana una hasira sana.....LOL
Unatakiwa uwe msikivu na unapochangia thread, jaribu kumjibu mtu mmoja mmoja na siyo multple quote kama ulivyofanya hapo awali. Mi ndo nilisema hivyo mkee. Suala la kuweka multiple quotations mi ni ki ishu kidogo sana mkuu. I program in a server, sasa ukitaka kulingishia mbwembwe za text editing nakuona ni limbukieni. ok,
At least tumekubaliana mimi na wewe wote siyo wapalestina na ma jews.
Punguza jazba na tueleze kwanini una isapoti Israel with reference........
Kuwa na amani mkuu.........ehehehhe! enjoy JF
 
Namie apo ndo wanapinishangaza, dhambi kazibeba Mungu wao, sasa ndo nini kwenda kufanya confession? :-D
Mimi ningekuwa Mkristo yanini kusali au kufanya mazuri na Yesu kisha beba mzigo wangu, kwa hio mkristo kwenda kanisani ni kupoteza wakati tu, hahaha.

Au wanawasiwasi kama bibilia inasema uwongo nini, ndio mana wanajitahidi kumtafuta Mungu wa waisrael pale kanisani labda watamuona. Wamulize kwanini kabeba dhambi zao na kwanini wao wakristo na Mungu wa wakristo anasema wayahudi tu ndio wataingia peponi, sa hapo wamechanganyikiwa wanamtega kanisani labda atatokeza wamulize.
 
That's why nilisema Allah can't save ya'll a.s.s.e.s. Knowledge is far stronger than belief, cause it leaves all the delusional minds behind the presented facts. At the end of daily tread knowledge will dominate the faith in Allah.
i find it so ironic that If you can't fight and Allah can't save you then why keep fighting?.Why have faith in Allah while doing all the work without Allah's help?

The fascination with virgins must be the result of your attraction to blood.

Swala la Israel kumiliki nuclear halizungumzwi na Russia, China, India, Cuba, wala North korea, wala hiyo Iran, linasemwa na weak minded Arab countries. Hayati Sadam hussein na vikundi vyote vyenye kuiogopa Israel ndio vinataja kuwa Israel ina nyuklia. Hii ni dalili mbaazi ikikosa maua usingizia jua. Israel iliwachapa hata kabla huu uvumi wa nyuklia haujakuwepo.Israel haijawahi kutumia nuclear kwa waarabu. Allah ni shahidi!!

Tuko hapa kujadili amani ambayo bwana yesu anaisisitiza sio killings according to Muhammad teachings. As far as concern Allah has prepared a paradise for you-not this world the one you are craving for.. so You better blow up, Save the place for others who will follow you to enjoy 72 virgins cunts & liquor.

Hahaha sa wewe vipi mimi nimsikilize Jesus wakati kasema alitumwa kwa kondoo tu wa kiyahudi, mimi si kondoo dogo, we kama kondoo ni wewe tu.If Jesus said He was not sent except to the lost sheep of the house of Israel, then that is certainly true. If we don't accept Jesus' own words as true, then it would be difficult to imagine what the qualifications for acceptance would be.

Matthew 15:24 KJV
But he answered and said, I am not sent but unto the lost sheep of the house of Israel

Hahaha kijana mimi si muisrael kwa hio sina Mungu, tazama bibilia yenu unayo taka ni ifate inasema nini.Yani Mungu tu waIsrael ndio nafanya miujiza, na Mungu wa warabu na wafrika, wahindi wa china anafanya nini hahaha.

Psalm 72:18; Thank the LORD God, the God of Israel, who alone does miracles.

​
 
Si Rebels tu hata serikali ya Iraq wanajitahidi sana kuwalamba miguu Marekani usiwe mvivu wa kusoma angalia ile link ya pili utawaona waarabu wakijikomba.
Wewe unatuleta ujinga tena, hao marebels si ndio USA aliwatuma kule Syria, walipo kiona cha mtema kuni wakaomba USA awasaidie akawawacha kwenye moto:cool2:
 
Mimi ningekuwa Mkristo yanini kusali au kufanya mazuri na Yesu kisha beba mzigo wangu, kwa hio mkristo kwenda kanisani ni kupoteza wakati tu, hahaha.

Au wanawasiwasi kama bibilia inasema uwongo nini, ndio mana wanajitahidi kumtafuta Mungu wa waisrael pale kanisani labda watamuona. Wamulize kwanini kabeba dhambi zao na kwanini wao wakristo na Mungu wa wakristo anasema wayahudi tu ndio wataingia peponi, sa hapo wamechanganyikiwa wanamtega kanisani labda atatokeza wamulize.

Jamani mnaonaje tukijadili mambo ambayo hayamkwazi mtu kwenye imani yake? ili tujitambue tuko wapi na tunaenda wapi? tukianza kuchambuana mambo ya imani. basi tunabakia kutukanana na kufanya kufru...
Ni pendekezo tu
 
Si Rebels tu hata serikali ya Iraq wanajitahidi sana kuwalamba miguu Marekani usiwe mvivu wa kusoma angalia ile link ya pili utawaona waarabu wakijikomba.
Mwanajeshi mstafu, kwani huyo kiongozi wa Iraq nani alimleta si USA na wanafiki wa kiarabu, angekuwepo Saddam sidhani angeomba msaada wa USA hata siku moja kuwamaliza hao ISIS, umeona Assad alivyo wafanya.
 
Jamani mnaonaje tukijadili mambo ambayo hayamkwazi mtu kwenye imani yake? ili tujitambue tuko wapi na tunaenda wapi? tukianza kuchambuana mambo ya imani. basi tunabakia kutukanana na kufanya kufru...
Ni pendekezo tu
Sawa hatukatai uancho sema wewe kizuri, lakini fatilia nani anaye anza kushambulia wenzake kama si hawa wenye dini ya kikristo, wakati wao hata dini yao Yesu haitambui. Wao siku zote kuleta mada zinahusu warabu na waislam tu, ili kukashifu uislam. Wakati dini yao ni ya kujitungia tena kaitunga Paulo wala sio Yesu.
 
Duh! kazi kweli kweli. Unajua marekani ni mnafiki. na kwa nchi yetu hatutakiwi kuwa naye karibu. Sasa utakuta humu ndani watu wanamshabikia kwa sababu eti ana wadhibiti ISI sijui na al quaida. Lakini in real sense, yeye anaimarisha maslahi yake. Dini kwake siyokitu kabisa.
 
Duh! mkuu unaonekana una hasira sana.....LOL
Unaniona? aje? nikoje kimtazamo?

Unatakiwa uwe msikivu na unapochangia thread, jaribu kumjibu mtu mmoja mmoja na siyo multple quote kama ulivyofanya hapo awali. Mi ndo nilisema hivyo mkee. Suala la kuweka multiple quotations mi ni ki ishu kidogo sana mkuu.
Msikivu??? Sijaona wala kusikia ambatisho la sauti kwenye uzi huu!!
Naona unataka kazi ya uongozaji wa matumizi JF...washauri waondoe vitufe vya multiple quotes kwa sababu wewe bwana 'kujifanya kujua' hupendi.
Jaribu kusoma na kuelewa comments,epuka kurefusha mambo.

I program in a server, sasa ukitaka kulingishia mbwembwe za text editing nakuona ni limbukieni. ok,
neno nililo-bold sijakuelewa,nifafanulie.
Usitake ushindani pasipo washindani. Katazame tena maana ya neno 'limbukeni' katika sentesi yako haliko sahihi.
Usiwe muongo, hunioni wewe...hata ukikaza macho pima!

At least tumekubaliana mimi na wewe wote siyo wapalestina na ma jews.
Hakuna sehemu niliyokubaliana nawe. Hunijui-sikujui...tubaki hivyo!

Punguza jazba na tueleze kwanini una isapoti Israel with reference........
Nikueleze mara ngapi kichwa ngumu kuelewa? Re-visit my comments and you will find where i gave an authority for my stand.

Kuwa na amani mkuu.........ehehehhe! enjoy JF
siko vitani...mimi sio mkuu tafadhali...!
 
Unaniona? aje? nikoje kimtazamo?

Msikivu??? Sijaona wala kusikia ambatisho la sauti kwenye uzi huu!!
Naona unataka kazi ya uongozaji wa matumizi JF...washauri waondoe vitufe vya multiple quotes kwa sababu wewe bwana 'kujifanya kujua' hupendi.
Jaribu kusoma na kuelewa comments,epuka kurefusha mambo.

neno nililo-bold sijakuelewa,nifafanulie.
Usitake ushindani pasipo washindani. Katazame tena maana ya neno 'limbukeni' katika sentesi yako haliko sahihi.
Usiwe muongo, hunioni wewe...hata ukikaza macho pima!

Hakuna sehemu niliyokubaliana nawe. Hunijui-sikujui...tubaki hivyo!

Nikueleze mara ngapi kichwa ngumu kuelewa? Re-visit my comments and you will find where i gave an authority for my stand.

siko vitani...mimi sio mkuu tafadhali...!

Ehehehe! nafikiri kungekuwa kuna jinsi ya kurusha ngumi kupitia comment ungeshatuumiza sana. Hapa tunatumia lugha nyepesi mkuu. Haina haja ya ku sahihisha grammar!
Nimesema hivyo kwamba uepuke kutumia multiple comment kwenye hoja ya mtu mmoja ili na sisi tusikie nini unachotaka kueleza kuhusu thread hii. Kwakufanya hivyo unamshambulia mtu binafsi bila wewe kutoa point zako.
Punguza jazba mkuu, utazeeka mapema......LOL
Enjoy JF
 
Wewe nawe sijui unasema nini wakati kila kukicha Rais wako Mguu na njia kwenda kuomba misaada Marekani harafu wewe unasema tukae mbali nao hizo chuki binafsi tu wangekuwa waarabu hata usingesema hivyo
Duh! kazi kweli kweli. Unajua marekani ni mnafiki. na kwa nchi yetu hatutakiwi kuwa naye karibu. Sasa utakuta humu ndani watu wanamshabikia kwa sababu eti ana wadhibiti ISI sijui na al quaida. Lakini in real sense, yeye anaimarisha maslahi yake. Dini kwake siyokitu kabisa.
 
Unaruka mkojo unakanyaga CHOO KUBWA unakataa nini na unakubali nini wakati kiongozi wa Iraq kaomba msaada Marekani ili asaidiwe,wewe unawatetea Waarabu lakini ujue kuwa Waarabu si kama unavyowafikiria, Wapalestina Wamepewa DOZI ya kutosha pale Gaza na nchi zote za kiarabu wanaangalia tu huo MNYUKANO wakati wana Majeshi makubwa tu na silaha za kumwaga wanabaki kupiga kelele tu za kusema watoto wanauwawa huko Gaza,Badala ya kuingia vitani na kuifuta kabisa Israel,Wewe jiulize Israel ina watu karibu au kuzidi kidogo million sita lakini Muziki wao nchi zote za waarabu wanaujua. mmebaki ninyi tu kupiga kelele hapa lakini waarabu wenyewe wanazo habari na hawajaribu na wakijaribu watakiona cha Moto.
Mwanajeshi mstafu, kwani huyo kiongozi wa Iraq nani alimleta si USA na wanafiki wa kiarabu, angekuwepo Saddam sidhani angeomba msaada wa USA hata siku moja kuwamaliza hao ISIS, umeona Assad alivyo wafanya.
 
Unaruka mkojo unakanyaga CHOO KUBWA unakataa nini na unakubali nini wakati kiongozi wa Iraq kaomba msaada Marekani ili asaidiwe,wewe unawatetea Waarabu lakini ujue kuwa Waarabu si kama unavyowafikiria, Wapalestina Wamepewa DOZI ya kutosha pale Gaza na nchi zote za kiarabu wanaangalia tu huo MNYUKANO wakati wana Majeshi makubwa tu na silaha za kumwaga wanabaki kupiga kelele tu za kusema watoto wanauwawa huko Gaza,Badala ya kuingia vitani na kuifuta kabisa Israel,Wewe jiulize Israel ina watu karibu au kuzidi kidogo million sita lakini Muziki wao nchi zote za waarabu wanaujua. mmebaki ninyi tu kupiga kelele hapa lakini waarabu wenyewe wanazo habari na hawajaribu na wakijaribu watakiona cha Moto.
Wacha kulewa gongo hao viongozi wa Iraq nani kawaleta kama sio huyo mmarekani.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom