Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 4,902
- 19,648
- Thread starter
- #41
Sawa nakutakia mafanikio mema Kwa ulipangaloUnajua Lema leo yupo wapi?
Unajua leo mimi nipo wapi?
Hii ni Strategy Mpya.
Tumepangana hasa
Kitanuka
Sawa nakutakia mafanikio mema Kwa ulipangaloUnajua Lema leo yupo wapi?
Unajua leo mimi nipo wapi?
Hii ni Strategy Mpya.
Tumepangana hasa
Kitanuka
Tatizo mnapenda kusikia mnayoyatakaWewe ndiyo uchwara wenyewe, huna akili.
Pole sana😃😂We ng'ombe wa SAMIA kabisa... Akili finyu kama hizi ziwe zimefanya jambo Taifa ? , Au nyie ng'ombe wa samia mna Taifa lenu sisi hatujui?.
Ni vile tu kwakuwa hupendi kusikia habari hizi ila ukweli ni huu,Umeandika utoto Mkuu kwa Leo
Hawa wanazidi kupoteza kundi la vijana huku wao wakitulia na familia zaoJF ina keyboards warriors wengi sana..
Watoke nje wawe frontline siyo kutuma watuKwani hao waliopo mitandaoni sio watu wa Tanganyika?
Umebeba propaganda kila unayemuona anakemea uhuni wa policcm ni muoga au hayupo Tanganyika.
Taratibu wasikusikieChadema wengi ni Mbumbumbu
NilishawazoeaTaratibu wasikusikie
Tumieni sasa Majina Yenu halisiKwani hao waliopo mitandaoni sio watu wa Tanganyika?
Umebeba propaganda kila unayemuona anakemea uhuni wa policcm ni muoga au hayupo Tanganyika.
Ni vile tu kwakuwa hupendi kusikia habari hizi ila ukweli ni huu,
Hilda Newton kakamatwa ,
Na baadhi ya viongozi wa chadema wanaotambulika,
Swali la kujiuliza vipi kuhusu mamia ya wasiojulikana ambao mtu anaweza kumaliza miezi sita ndani ,halafu asijulikane kama alikuwa na harakati za kudai No reforms
Wewe afande kilaza wa division 4 umeshamaliza zile pesa ulizolipwa kwa kazi ya kumuondoa Ole Mushi?Tumieni sasa Majina Yenu halisi
Ni upotevu wa muda na Majanga ya kujitakia kushindana na Dola , hata Uislamu umesisistiza watu wasitoke dhidi ya mtawala hata akiwa muovu kutokana na madhara ya Hilo jambo kwa mtu mmoja mmoja , machafuko na kuondoka kwa Amani katika eneo husika.Hawa wanazidi kupoteza kundi la vijana huku wao wakitulia na familia zao
Kwanza unatype ukiwa wapi isije kuwa upo ofisini ama nyumbani kwako?Unataka kusemaje kwamba No reform is useless Agenda?
Usichoelwa ni kuwa mabadiliko au changes huambatana na price .
Yeyote anayeumia , anyefungwa , kuuliwa n.k ni sehemu ya price .
Usikatishe watu tamaa na kuandika mambo ya kufikirika .
Mbona wewe hujaenda kuandamana ?Wewe baba yako au mama yako walijitokeza wakati Nyerere anapigania Uhuru??
Wote wanaopigania uhuru hawagi wengi, ila sasa hivi wewe unakula matunda ya Uhuru ambao Nyerere alipigania.
Lisu ana nia na atafika-----------hamna wa kumzuia lbda muueni na hauliki!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Aende wapi,yeye furaha yake ni kuona wengine wanaumiaMbona wewe hujaenda kuandamana ?