Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

Unafiki wa mitandao,na nguvu yao ya soda

Sahihi kabisa, ukipita mitandaoni unaweza kudhani Kisutu imejaa malaki ya watu, na pengine Lissu alitaka aje ili wamlaki.

Lahaula kumbe ni mtu mmoja JF ana akaunti kumi, anaandika na kujijibu, insta na twitter ana akaunti 10.sasa jichanganye udanganywe na mtu anayepost amelala kwa shemeji wewe ujipeleke Kisutu
Umenielewa vizuri sana
 
Bro we endelea kutoa stori zako za wanawake na pombe!! Uhuru wa kweli huletwa na kikundi cha watu wachache baadae nchi nzima .
 
Nakuuliza hivi wakati Nyerere anataka kufungwa na wakoloni wewe babu yako au baba yako alijitokeza kutoa zile Shillingi za faini? au kuandamana? Si John Rupia tu ndiyo alitoa?

Mashujaa wote huwa wanapigana wenyewe na watu kama nyie wasaliti mpo sana, tangu zama za enzi.
Sawa tuseme Mimi ni msaliti,.
Je wewe umefanya nini Kwa CDM hadi muda huu unatype hapa
 
Bro we endelea kutoa stori zako za wanawake na pombe!! Uhuru wa kweli huletwa na kikundi cha watu wachache baadae nchi nzima .
Tatizo unadhani unanijua Sana kupitia threads za pombe na wanawake.

Wee endelea kureply hapa jamiiforum huna ulijualo kwenye hii nchi
 
Wazazi

wako wangekupiga nyeto .....ng'ombe ww.
Uzuri wazazi wangu walipanga kabisa kuzaa mtoto za kiume,yaani wakijadiliana na kukubaliana Mungu akatia wepesi miaka zaidi mingi iliyopita nikazaliwa,

Taifa linanijua na nimelifanyia mengi ya kutosha sasa ask yourself nini umefanya kwenye hii Dunia.
 
Hakuna haja ya maandamano, kesi iko Mahakamani. Watu ilikuwa twende kumpa sapoti ya kusikiliza kesi, wao ndiyo waoga wakabadilisha usiku kuwa itatumia kuendesha kesi mtandaoni.

Hakuna aliyetaka kuleta vurugu, kwenda kusikiliza kesi kuna ubaya gani? Wewe ulitaka maandamano yafanyike ya nini? Wao waliogopa hiyo sapoti tungeionyesha pale Kisutu.

Hawana lingine, fikiria pesa zilizotumika wiki nzima kwa policcm kabla ya kesi, zingetumika kwenye mambo ya kutatua kero za kijamii. Waache uoga na kuona TAL ataonekana anapendwa ni anapendwa kuliko yeye.
 
Sawa tuseme Mimi ni msaliti,.
Je wewe umefanya nini Kwa CDM hadi muda huu unatype hapa
Hujui? Kwa nini sasa kila siku mnashambulia watu? Simngekaa kimya? Sisi ndiyo tunahamasisha watu, na vilevile watoaji wa Strategy, wewe kula ulale. Maana ni mfu. Sisi tunaangalia miaka ya Watoto wetu na wajukuu. Sisi hatutaki kumpa mali asili muarabu, wala mchina. Sisi tunataka Watoto wetu na vizazi vijavyo vya Tanzania visiwe na taabu.

Nyie mmeridhika, na hiyo ndiyo laana yenu. Kama Lisu angekuwa kama nyie ange-join na kula nao, lakini amekataa. He will not in his life sell "Mother Country Tanzania"- that is why now he is in prison!!!!!!!!!!
 
Naomba kuuliza ?

Are Majority Always Right ?; Argumentum ad Populum

  • Hata kama kila mtu anakubishia na upo peke yako kama unasimamia Haki je hio sio Haki au jambo jema ?
  • Huenda unasimamia Haki au Hausimamii Haki ila ni haki yako kupatiwa Haki YAKO ya kusikilizwa (taratibu zisivunjwe)?
  • Hata kama watu hawakuungi mkono wewe sio kwamba unachozungumza hawakubaliani na wewe huenda hawakuamini wewe au jinsi unavyokiwakilisha unakiwakilisha kama chako na sio kama cha jamii

In short Uchama / Vyama kume dilute issues kwahio watu wengine kuchukua issues kama zao na wengine kuona kwamba wanachofanyiwa wengine ni sawa sababu ni wao na sisi ni SISI...

In short Watawala kama enzi zile wanaendelea na Divide and Rule...
 
Hujui? Kwa nini sasa kila siku mnashambulia watu? Simngekaa kimya? Sisi ndiyo tunahamasisha watu, na vilevile watoaji wa Strategy, wewe kula ulale. Maana ni mfu. Sisi tunaangalia miaka ya Watoto wetu na wajukuu. Sisi hatutaki kumpa mali asili muarabu, wala mchina. Sisi tunataka Watoto wetu na vizazi vijavyo vya Tanzania visiwe na taabu.

Nyie mmeridhika, na hiyo ndiyo laana yenu. Kama Lisu angekuwa kama nyie ange-join na kula nao, lakini amekataa. He will not in his life sell "Mother Country Tanzania"- that is why now he is in prison!!!!!!!!!!
Kama unadai rasilimali za taifa Kwa kujificha nyuma ya keyboard sasa utapataje.

Ungana na wenzako hadharani ,nenda kashitaki mahakamani mpatiwe hizo reforms
 
Uzuri wazazi wangu walipanga kabisa kuzaa mtoto za kiume,yaani wakijadiliana na kukubaliana Mungu akatia wepesi miaka zaidi mingi iliyopita nikazaliwa,

Taifa linanijua na nimelifanyia mengi ya kutosha sasa ask yourself nini umefanya kwenye hii Dunia.
😃😂We ng'ombe wa SAMIA kabisa... Akili finyu kama hizi ziwe zimefanya jambo Taifa ? , Au nyie ng'ombe wa samia mna Taifa lenu sisi hatujui?.
 
Ukiitazama mitaa Kwa haraka haraka imetulia Sana yaani watu wapo makazini kama kawaida,wengine wamelewa asubuhi tu, wengine wanasafiri, wengine wanaingia misikitini n.k

Yaani ni kama hakuna kinachoendelea lakini ukweli ni kwamba ukiingia mtandaoni unaweza sema Tanzania itahamia kisutu.
Kila mtu anaongea kama vile kanywa maji ya bendera.

Rai yangu ni kwamba kuna muda kunyamaza ni Bora zaidi kuliko kukaa kwenye PC na kuamrisha watu waandamane ikiwa wewe upo nje ya nchi au upo hapa nchini lakini huwezi kujitokeza kudai hicho unachokiita haki.

Mwenyekiti wa CDM Mh Tundu Lissu yupo ndani na Leo hii kagoma kesi isiendeshwe Kwa njia ya mtandao lakini atatoka tu.

Makamu mwenyekiti CDM Mh John Heche naye alikamatwa juzi akaachwa ,pia leo alikamatwa asubuhi lakini ataachiwa tu.

Katibu mkuu wa CDM John Mnyika naye amekamatwa asubuhi wakati akielekea huko mahakamani kisutu kusikiliza kesi ya mwenyekiti wa CDM taifa.lakini ataachiwa tu,

Hawa ni watu wanajulikana na ni vigumu kusota mahabusu Kwa muda mrefu. Hao ni unaowajua.

Lakini ukweli ni kwamba selo zimejaa watoto wa masikini wanaodanganywa na kundi la watu wachache wanaoendesha harakati kinadharia huku mbwa Koko na vijana wapenda sifa wakizolewa na kuwekwa Lockup haijulikani watatoka lini.

Watanzania wenzangu tuache harakati uchwara huku wenzenu wanaumia na nyinyi mnaendelea Kula maisha mtaani.

Tuseme wajinga ndiyo waliwao
Wewe ndiyo uchwara wenyewe, huna akili.
 
Back
Top Bottom