Unafiki au Ulimbukeni?

Mwafrika hapo sasa unatudanganya. Jee unalinganisha na bei za mwaka gani? Hakuna hata nchi moja bei za vitu huwa zinashuka.

Nalinganisha na mwaka 2004.

Bei ya mafuta mwaka 2004 - ilikuwa dola 4 na ushee, sasa hivi ni dola 2 na ushee
Bei za nyumba zimeshuka kishenzi katika eneo langu - toka 200,000 hadi 130,000
Bei za laptops au desktops zimeshuka toka 900/600 hadi 700/400

Unataka niendelee?
 
Ndugu zangu;
Kuna mtu alikuwa analalamika kwamba serikali imesababisha bei ya bia kupanda toka 900/-TZS mpaka 1,500/-2004 to 2010.Nikamuuliza bei ya soda ya Coke nchini Kenya,Afrika Kusini au Marekani ilkuwa kiasi gani mwaka 2004 na leo ni kiasi gani???

Hizi ni siasa,ulimbukeni au ushabiki???Mfumuko wa bei katika ulimwengu wa utandawazi serikali ya ndani pekee ndo huwajibika??Au ni sisi tunawajaza ndugu zetu maarifa na taarifa nusunusu.????

Tutazidi kuachwa kwa style hii.

Nakuomba nikuuliza unataka kuuliza bei za nchi nyengine ili iweje? Kwanza ukae ukijua kama mdau aliyelalamika hapo nyuma tatizo sio bei za vitu bali purchasing power ya pesa ya Tanzania na gharama za maisha za mtazania. Sasa kama mkate US ni $2 halafu ukadai eti na tanzania ni shilingi 1000 ukadai eti Tanzania ni bei rahisi sana nadhani utakuwa umelewa kama sio kudata kabisa. Hesabu hizi zinafanya kazi in theory kama unaweka assumption ya vitu vengine havihold (Law of one Price) ili ikusaidie kupata exchange rate. Lakini ukitaka kucompare bei za nchi lazima uangalie sarafu uwezo wake marekani $2 unapata nini na mmarekani wa kawaida anaweza kuwa na dola 2 kila siku kumuwezesha kununua mkate? Unakuta jibu ni ndiyo hata ombaomba barabarani hakosi dola japo 10 katika shughuli zake za kuomba. Tuje Tanzania leo mfanyakazi wa ofisini anakosa hata Tshs 2000 ya kununulia mkate. Ukienda vijijini ndio hali ni ya kusikitisha mtu anakosa hata 500 ya nauli aende hospitali akajitibu wakati akina riz one wanaendesha mabmw yeye na wapambe wake tukiwauliza wameyapata wapi hakuna anayeweza kutwambia.

Kuzidiwa tushazidiwa tayari safaru inaporomoka kila siku kama sarafu ya zimbabwe , tunamfumuko wa bei usioleweka kichwa wala miguu, pesa za maendeleo zinaenda katika sekta zisizokuwa na natija kwa taifa na matumboni kwa watu sasa unadhani tutakuwa na maendeleo hapo!!!! Sijui labda baada kwisha kuchinjana ndio tutaamka na kutambua umuhimu wa utaifa wetu na maendeleo
 
Asante kwa kulielimisha *****...aache kuleta upupu humu.
Saa nyingine sio lazima kuandika. kama hana kitu akae kimya kama mimi.

eti ndimu na chungwa sawa....what????
 
Hivi,how do you talk of these two things separately?(Price levels & Purchasing power)???Tuache unafiki jamani!Tujadili kwa maendeleo ya taifa letu.
 
Walewale.
 
Nalinganisha na mwaka 2004.

Bei ya mafuta mwaka 2004 - ilikuwa dola 4 na ushee, sasa hivi ni dola 2 na ushee
Bei za nyumba zimeshuka kishenzi katika eneo langu - toka 200,000 hadi 130,000
Bei za laptops au desktops zimeshuka toka 900/600 hadi 700/400

Unataka niendelee?

Hapa nilimaanisha 2008
 
Hivi,how do you talk of these two things separately?(Price levels & Purchasing power)???Tuache unafiki jamani!Tujadili kwa maendeleo ya taifa letu.

Ndugu Tandaleone kwa kukusaidia Purchasing Power ni uwezo wa sarafu kununua kitu yaani kwa ufupi thamani ya shilingi. Price level ni bei za bidhaa ndugu they can be also a good indicator of measuring of cost of living katika sehemu husika. sasa tuje kwa mtazamo wako wewe unaangalia bei kama ndio uwezo wa sarafu kununua kitu (which is wrong). Sarafu ni thamani ya shilingi katika kumudu mahitaji ya mmiliki wa shilingi husika wakati bei ni thamani ya kitu husika. Kwa msaada bei ya soda US ni around $2 ukiangalia bei ya $2 dollar kwa maisha ya mmarekani wa kawaida hata ombaomba hawezi kukosa $2 , Sasa tukiangalia bei ya soda Tanzania au Zimbabwe it is a shamble, Tanzania soda ni shilingi 1500 au mpaka 2,000, Zimbabwe unaweza kukuta ni mpaka Zimbabwe dola milioni pengine sasa unataka kuniambia nani ataweza kununua. Tanzania mtu nauli ya basi ya shilingi 500 tu inamshinda sembuse soda ya 1500 au 2000?

Tatizo CCM na their likes mnachukulia kama kufanananisha bei za bidhaa eti ndio maendeleo na inasababishwa na mfumuko wa bei duniani. This is completely wrong thamani ya shilingi ya Tanzania inashuka na pesa imekuwa haina thamani tena Tanzania. Na ndio maana wapangaji siku hizi karibia wote wanaanza kuchaji in dollars, ukienda katika baadhi ya makampuni malipo in dollars kwasababu the shillingi is worthless!!!!
 
I'm an economist by profession.Nakuonea huruma sana.Unajua exact determinants za purchasing power ya currency???
 
Tell me the determinants of purchasing power??? Economist are known by the ability to build their argument based on solid theory and not kujisifia in economics tunasema no research no right to speak!!!!! Mie mkulima anyway who happened to know a lot of economics but your argument are wrong and misleading usitake kutudanganya mzee
 
There's nothing substantial hapa.Hivi kwa nini tumekuwa hivi watanzania?
 
Kwasababu watanzania wengi wameelimika hakuna mjinga hapa Zamani nyerere akituhadithia tunamkubalia kwasababu tunajua ni kiongozi karne hii!! mzee hadanganywi mtu watanzania wengi wamesoma hivyo huna la kutudanganya mkuu. Again narudia tell me the main determinants of purchasing power and relate na vp inarelate na hoja yako hapo juu mkuu.
 
Ndugu Tandaleone kwa kukusaidia Purchasing Power ni uwezo wa sarafu kununua kitu yaani kwa ufupi thamani ya shilingi. Price level ni bei za bidhaa ndugu they can be also a good indicator of measuring of cost of living katika sehemu husika. sasa tuje kwa mtazamo wako wewe unaangalia bei kama ndio uwezo wa sarafu kununua kitu (which is wrong). Sarafu ni thamani ya shilingi katika kumudu mahitaji ya mmiliki wa shilingi husika wakati bei ni thamani ya kitu husika. Kwa msaada bei ya soda US ni around $2 ukiangalia bei ya $2 dollar kwa maisha ya mmarekani wa kawaida hata ombaomba hawezi kukosa $2 , Sasa tukiangalia bei ya soda Tanzania au Zimbabwe it is a shamble, Tanzania soda ni shilingi 1500 au mpaka 2,000, Zimbabwe unaweza kukuta ni mpaka Zimbabwe dola milioni pengine sasa unataka kuniambia nani ataweza kununua. Tanzania mtu nauli ya basi ya shilingi 500 tu inamshinda sembuse soda ya 1500 au 2000?

Tatizo CCM na their likes mnachukulia kama kufanananisha bei za bidhaa eti ndio maendeleo na inasababishwa na mfumuko wa bei duniani. This is completely wrong thamani ya shilingi ya Tanzania inashuka na pesa imekuwa haina thamani tena Tanzania. Na ndio maana wapangaji siku hizi karibia wote wanaanza kuchaji in dollars, ukienda katika baadhi ya makampuni malipo in dollars kwasababu the shillingi is worthless!!!!

CCM ipi?Hivi unajua kuna wataalamu pale BoT hawana kadi ya CCM??
 
Wataalamu wanaoshindwa kuzuia sarafu inayoporomoka kila siku!!! BOT wanapika figures hivi unajua mwezi wa tatu- wa tano mwaka huu uchumi uliporomoka kwa asilimia nne figures zilipopelekwa kwa mzee akangaka kama pilipili kutaka zibadilishwe kuonyesha uchumi umekuwa (hili nimelisikia kwa mtu aliyehumohumo ndani BOT).

Wataalamu wa BOT ni wataalamu wa kutengeneza figures and nothing else. Hivi unajua nje ya BOT kuna wataalamu wengi sana na ni watanzania mbona hawawaiti??? wanaogopa au hawawahitaji?? Usitupeleke siko mzee economist tupe argument mzee za unachokisema na validity yake katika hali halisi ya mndanganyika
 
Back
Top Bottom