Unafiki au Ulimbukeni?

Unafiki au Ulimbukeni?

kipi bora basi?kupanua wigo wa kodi za ndani au kuongeza utegemezi wa bajeti kwa wahisani?
unamwuliza nani? Ndio maana wanakuita kilaza.bora ni kuitoa ccm madarakani kwa sababu tatizo limeshaonekana ni ccm.na wewe kura yako tunaiomba ili tuweze kubadili katiba.
 
Nina picha za Kibera,nitampa aniwekee then aseme ni za Manzese au Kwa Tumbo.

Ha ha ha wameanza kukimbia vivuli vyao na kukana picha... of course kama kawaida ya mafisadi wote duniani:

ya+bwatta+2.jpg


wewe madrassa al sul, does this look like kibera to you?
 
My question is:kipi ni bora,kuongeza wigo wa kodi kwa vyanzo vya ndani au kukimbilia wahisani?Kweli usingizi unatunyemelea

Wewe kweli kilaza! Kwa hiyo umeona option hizo mbili tu! :lol: Utaongeza wigo wa kodi hadi lini sasa? Mwishoni utaua biashara, then what?
 
So you think that is the correct way of moving the economy kuendelea kuwabamiza sekta pekee za uzalishaji zilizobakia na kuwaachia sekta zengine zikipeta tu. Fiscal policy has to a flexible policy kutokana na mahitaji ya nchi husika kwasababu in the long run hizo sekta wanazozibamiza tax zitakuja kushindwa kumudu kwasababu wateja watashindwa kununua bia na viwanda vitafungwa na huku zile rasilimali tunazoziacha zikayoyoma tutakuwa hatuna tena.

Binafsi kama wanaongeza kodi za vinywaji basi kuweko na long term plan ya kutoa subsidies kwa viwanda vidogo vidogo ili nao waweze kuzalisha bia za ubora. ili wakija kupunguza kodi baadae tunaweza kuwa tumeongeza viwanda na kuongeza mapato. Serikali yetu inafikiria njia moja pandisha kodi wanasahau kuna njia nyingi za kuongeza mapato moja wapo ni kupunguza matumizi ya serikali.

I dont think its the correct way ila thats whats happening. Creativity ni zero kwenye serikali yetu, na long term plan ndo hakuna kabisa, wanafikiria kushiba leo tu huko mbele tunaenda kuumia.
 
I dont think its the correct way ila thats whats happening. Creativity ni zero kwenye serikali yetu, na long term plan ndo hakuna kabisa, wanafikiria kushiba leo tu huko mbele tunaenda kuumia.

Can you justify this sort of argument?If people are investing in a universtity project at about 1 trillion shillings today (UDOM) aren't they thinking about tomorrow?
 
Back
Top Bottom