Unadhani Sekta ya Afya inahitaji maboresho gani nchini Tanzania na je, ukiteuliwa kuwa Waziri wa Afya utafanya nini cha tofauti?

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,517
8,445
Kwa mtazamo wangu, Wizara ya Afya ya Tanzania inaweza kuboresha huduma za afya kwa wananchi kupitia maeneo kadhaa:

  • 1Miundombinu: Kujenga na kukarabati hospitali, vituo vya afya, na zahanati; kuwekeza katika vifaa tiba na teknolojia za kisasa.
  • Rasilimali Watu: Mafunzo endelevu kwa wahudumu wa afya; kuajiri wahudumu zaidi; kutoa motisha na kuboresha mazingira ya kazi.
  • Upatikanaji wa Dawa: Kuhakikisha upatikanaji wa dawa na vifaa tiba; kuboresha mifumo ya usambazaji na usimamizi.
  • Bima ya Afya: Kupanua wigo na kuboresha huduma za bima ya afya ili ziwe nafuu na zenye ufanisi.
  • Huduma za Msingi: Kuwekeza katika huduma za kinga kama chanjo na elimu ya afya; kuimarisha programu za afya ya mama na mtoto.
  • Taarifa za Afya: Kuboresha mifumo ya kidijitali ya ukusanyaji na uchambuzi wa data; kuhifadhi rekodi za afya za kielektroniki.
  • Elimu na Uhamasishaji: Kuhamasisha wananchi kuhusu afya, lishe bora, usafi, na mazoezi.
  • Utafiti na Maendeleo: Kuwekeza katika utafiti wa afya na kushirikiana na taasisi za utafiti.
  • Usimamizi na Uwajibikaji: Kuboresha usimamizi, kuongeza uwajibikaji, na kupunguza ufisadi katika sekta ya afya.
Maboresho haya yanaweza kusaidia kuboresha huduma za afya nchini Tanzania na kuinua kiwango cha afya kwa wananchi.
 
Binafsi kitu cha kwanza ningeimarisha Nidhamu Kazini na kuongeza uwajibikaji Kwa kuweka sheria kali za kuwezesha hayo. Baada Ya Nidhamu ningeongeza budget Ya wizara Kwa kumshauri Rais kuondoa budget Ya ununuzi wa silaha za kivita Kwa miaka 10. Ningemshauri Rais pia kuondoa kabisa pesa zinazotengwa Kwa ajili Ya wizara Ya mipango ili serikali ijikite kwanza kutekeleza mipangp iliyopo.. Pesa zote hizo tunazipeleka kuongeza madawa, vifaa tiba na kuboresha stahiki za watumishi wa Afya. Lkn kubwa zaidi ningeweka utaratibu wa kila mtu kupata matibabu kwanza bila kujali km pesa anayo au la. Na wale watakaokopeshwa matibu watalipa pesa hizo kupitia luku zao au meter za maji Kwa kuweka mifumo imara Ya kielekitroniki.. Tutaboresha zahanati zote mpaka hospital za rufaa!
 
Wajenge hospital au vituo vya afya kila mkoa
Waweke vifaa Bora kila wilaya kama Kuna zahanati
Wasambaze madawa ya kutosha kila hospital
Waongeze madokta wabobezi pia waongeze wahudumu wa afya
Watoe huduma stahiki na ZeNye uhitaji mkubwa Kwenye kila mkoa kama Kuna hospital kubwa yenye vifaa na madokta wabobevu.
Walipe mishahara mizuri ili kazi zifanywe vizuri
 
Hapa tunatoa mawazo yetu kama watanzania ila sio KWA KUSEMA UKITEULIWA KUWA WAZIRI WA AFYA?? MBONA TEUZI ZENYEWE ZINA MIZENGWE YA KILA AINA AU MPAKA UWE CHAWA KWELIKWELI NDIO UNAWEZA KUNUSA TEUZI HIZO NKNK..

Ila KWA maoni ni kuwa inasikitisha sana kuona SIASA ZA TANZANIA ZIMEJIKITA KWENYE AFYA TIBA KULIKO AFYA KINGA, HILI NI TATIZO KUBWA SANA.AFYA TIBA INATUKUZWA KAMA KIINI CHA AFYA NCHINI.TUMEACHA HATA AFYA KINGA NKNKNK.
TAFITI MBALIMBALI HAZIFANYIKI IPASAVYO ILA TUMEJIKITA TU NA AFYA TIBA , YAANI KUAGIZA MIMADAWA NKNK BADALA TUJIFUE NA TAFITI MBALIMBALI ZA MADAWA HATA HAYA YA MITISHAMBA KUONA NAMNA YA KUBORESHA AU KUWA NA MWENDELEZO WA TAFITI KAMA ILIVYO NCHI NYINGINE.
Kwa KUWA siasa zimechagua kipaumbele AFYA TIBA hivyo TAFITI nyiiingi zipo nyuma NA HATA maabara kwaajili ya TAFITI hakuna.
Tunatakiwa kutengeneza DAWA WENYEWE LAKINI FEDHA KWAAJILI YA TAFITI ZIPO KWAAJILI YA WANASIASA NKNKNK.
 
Tanzania Kuna uhaba wa maabara mfano Kwa Tanzania nzima maabara za udongo ziko kama SI tatu mbili kama SI Tanga na sua basi na Arusha tengeru.imagine uone ugumu hpo n upnde wa upimaji udongo Kwa Shamba la mkulima hpo sua ukipeleka udongo kupimwa subiria foleni za walio tangulia usishangae miezi miwili hujapata majibu ya udongo wako.
Nikija hoja yako uko sahihi ila changamoto hata hizo maabara na wataalam na vifaa bado ni changamoto kwenye taifa je tutajitatuaje kama tuna udhaifu huo Kuna muda nchi unatumia njia za mikato maisha ya songe tu
 
Truth. Lakini tunatakiwa kuona kipaumbele chetu NI kipi? Ukiangalia KWA macho yoote mawili vizuri utaona KWA NCHI za afrika ikiwemo TANZANIA kipaumbele kikubwa NI siasa tena KWA asilimia kubwa sio siasa safi..Hivyo hatuwezi kuendelea KWA satili hiyo milele.
 
Siasa ni maisha na maisha ni siasa hpo kuvitenganisha ni sawa na utoe kichwa useme kiwiliwili n mwili.ila kikubwa na kupata wawajibikaji sahihi na watu wenye usisi na sio umimi kwenye taifa letu.
Ishu ya vipaombele vipo ila shida watendaji wenye dhamana kuu ndio tatizo kuu bila kuwajibishana hapa tuta uzunguka mbuyu mpka kufa.tusiupate mzizi mkuu

Back
Top Bottom