Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Nimekutana na story ya kuumiza hisia ya binti mmoja kuhusiana na ahadi ya kazi inasikitisha mno! Nitaisimulia muda mwafaka ukifika
Hukusimulia tena
Nimekutana na story ya kuumiza hisia ya binti mmoja kuhusiana na ahadi ya kazi inasikitisha mno! Nitaisimulia muda mwafaka ukifika
Tuna shida kidogo kwenye vipaumbele vyetu kama kile cha kujenga reli kwenda Rwanda yenye watu milioni kumi badala ya kujenga reli kwenda DRC Congo yenye watu zaidi ya milioni mia moja
Ni wazi kuwa kila kimoja kina umuhimu wake lakini kwasasa nchi haina tatizo kubwa la usafiri wa anga! Pengine zile pesa za Bombardier zingetosha kujenga viwanda vidogo vidogo zaidi ya 20 na kuleta ajira zisizopungua 500...nina hakika ajira zitakazotokana na bombardier mbili haziwezi kuzidi miamoja nchi nzima
Vile vile ile project ya kuua upinzani nchini kupitia bwana yule na wengineo pesa yake ingetosha kujenga walau kiwanda kimoja cha matunda mkoani Tanga na kuzalisha ajira zisizopungua 100 kuanzia kukusanya kuuza kuprocess matangazo kutawanya na kuuza
Kwa njia hii tungewapunguzia vijana wengi stress za maisha bila ajira
Aisee mshana mbona pm hujajibu?Takwimu za kukua kwa uchumi
Takwimu za kuongezeka pato la Taifa
Takwimu za kuanza kulipa deni la Taifa
Habari za kuhakiki watumishi hewa
Habari za kusitisha ajira nknk
Haya mambo yote haya ni kizungumkuti kwa kijana graduate asiye na ajira na mwenye kutegemewa na wazazi pale kijijini achilia mbali changamoto zake mwenyewe
Broh unakumbuka ile statement yako kuhusu ajira?Viwanda[emoji144][emoji144][emoji144][emoji144]
Hii siku nauona huu uzi ilikua ni alfajiri ya saa 11 nilikua najiandaa kutoka mkoani kuja Dar kwa ajili ya training ya kazi. Soon baada ya kuujibu huu uzi tumbo likaanza kunishika vibaya sana.Aaamen
Mmh naomba unikumbushe tafadhali
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]kwanini... So sorry pole sanaHii siku nauona huu uzi ilikua ni alfajiri ya saa 11 nilikua najiandaa kutoka mkoani kuja Dar kwa ajili ya training ya kazi. Soon baada ya kuujibu huu uzi tumbo likaanza kunishika vibaya sana.
Nikaazimia kuja Dar hivyo hivyo. Nikafika kwenye training lakini sikua msikivu kutokana na tumbo kuuma, pia hata kula sikuweza nikihofia kuzidi kulitibua.
Anyway, I failed.
Ooh OK OK ngoja nitaitafuta
Shukrani.[emoji15][emoji15][emoji15][emoji848][emoji848][emoji848]kwanini... So sorry pole sana