Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 7,004
- 9,263
Ooh OK OK ngoja nitaitafuta
Upo wapi
Ooh OK OK ngoja nitaitafuta
Asante mkuu mshana Jr, huku mtaani vijana wenye degree, diploma, masters tunadhararuliwa sana na wenzetu wale walioshia form four halafu wametoboa![emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]nakuombea.. Pambana usikate tamaa siku hazigandi
Jr[emoji769]
Asante mkuu mshana Jr, huku mtaani vijana wenye degree, diploma, masters tunadhararuliwa sana na wenzetu wale walioshia form four halafu wametoboa!
[emoji120][emoji120][emoji120]Hayo mambo yapo kikubwa ni kumuomba Mungu akupe afya njema na nguvu ya kufanya kazi
Sent using Jamii Forums mobile app
Nice ideaView attachment 411685
Ni asubuhi ya siku nyingine tena, harakati zimeshaanza na nyingi Zikiwa ni kuwahi kazini au mishemishe pamoja na uchovu wa jana lakini huna budi kuamka na kujiandaa ili uwahi kazini
Ni katika kipindi hiki kwenye hizi harakati za kuwahi kibaruani kuna mtu yuko kitandani muda huu si kwa kupenda la hasha! Anaumia hana kazi naye angetamani muda huu awe anapasi nguo za kazini au yuko barabarani kuwahi
View attachment 411686
Anaumia sana akikumbuka alivyosoma kwa tabu na sasa ni mwaka wa tatu huu hana ajira huku washkaji zake wakipeta(mawazo mabaya huanzia hapa)kwanini na si mimi?kwanini wao wapate na mimi nikose? Kwani tunatofautiana nini? INAUMIZA SANA
Huwezi kuendelea kulala siku nzima utaumwa unaamua kutoka uende kijiweni au ukajaribu bahati yako popote lakini du mfukoni huna hata mia!inauma sana.
Siku yako inapita hivyo hivyo kimungu Mungu na jioni inapokaribia unaanza kuwaona watu wakirudi toka makazini, kwenye magari yao na wengine kwenye usafiri wa jumuiya wengine wamechoka wengine wanapiga story inaumiza mno unatamani na wewe ungekuwa mmoja wao
Unavuta picha jinsi ulivyochomekea na tai yako jinsi ulivyohudumia wateja wako kazini changamoto ulizokutana nazo..unajikuta kabisa ukitumika na kuhudumia kwa furaha unapotelea kabisa mawazoni mpaka unatabasamu, na ghafla unashtuka kumbe uko kijiweni honi ya mshikaji uliyesoma naye inakushtua yuko kwenye altezza anatoka job INAUMIZA SANA
View attachment 411684
tatizo la ajira ni la dunia nzima lakini hii isiwe kisingizio cha serikali...kila mwaka vijana wetu wanamaliza elimu zao wakitegemea kupata ajira...na idadi inaongezeka kila mwaka.. ! Hili linapaswa kuangaliwa kwa umakini zaidi hali ni mbaya sana mitaani
Kujiajiri hapa Tanzania inataka mtaji kama huna kitu utabaki kuota.Kujiajiri sio dhana rahisi kama inavyochukuliwa na wanasiasa...imagine wewe ni fresh graduate huna mbele huna nyuma huna chochote unaambiwa sio lazima kuajiriwa unaweza kujiajiri
Unapozungumzia kujiajiri unahitaji mtaji , nenda kakope bank uone
Kaka mshana na bado hapo kuna upendeleoWanaotakiwa hawazidi 20...
Jr[emoji769]