Unadhani hawajisikii vibaya?

Unadhani hawajisikii vibaya?

Mshana Jr hii mada uliandika October 2016. Kipindi hicho nilikuwa nasoma form six ila leo nimekuja kuisoma nikiwa nimebakiza wiki 4 tu kuhitimu chuo kikuu. Kweli ni mada moja inaumiza sana huku tukiwa tumeisha onja joto la kitaa wakati wa Corona. Sema kweli nina stress sana ila basi tu mpaka nimeanza kulewa hata kabla sijaingia kitaa.

Ni bora nisingesoma tu. Au bora kukimbia chuo ili nijue moja kuwa Sina cheti
 
Hapana hupaswi kukata tamaa ..elimu ni urithi bora..achana na ajira...niliwahi kupiga dayworker kwa seven leaver kipindi cha Mwinyi jamaa alikuwa ananicheka na kuninyanyapaa sana..leo niko hatua 100 mbele yake...
 
Saveya wasikukatishe tamaa ngoja nikupe kisa changu cha kweli
Nilimaliza chuo mwaka 1993.. Sisi ndio intake ya kwanza ambayo haikukwenda jeshini kwa ajili ya ukata wa serikali, hivyo tukakaa mwaka mzima na zaidi wa 1993/94
Hicho ndio kipindi cha Mwinyi akikaribia kumkabidhi Mkapa kijiti.... Pesa ilikuwa nje nje... Baada ya kusotea sana ajira bila mafanikio nikaamua kuomba kazi kwa wajenzi kama saidia FUNDI... Siwezi kusahau yale manyanyaso na masimango na kejeli
Wale mafundi walikuwa seven leaver.. Lakini kutokana na kupata kazi nyingi za ujenzi walikuwa vizuri kiasi chake... Wakatucheka sana wasomi tulioenda kupoteza muda shuleni.... Nikaifanya ile kazi kwa uvumilivu mkubwa
Lakini bwana asikwambie mtu ukiwa umesoma umesoma tu.. Siku isiyo na jina tajiri akaja na kuniona... Akanihoji Maswali mengi akagundua mimi ni msomi
Siku iliyofuata nikapewa kitengo cha msaidizi wa fundi mkuu upande wa manunuzi na baada ya mwezi nikakabidhiwa kusimamia miradi yote ya mzee... Unaweza ku guess wale ma boss wangu wa kwanza walivyokuwa wakinuna... NIKAWA BOSS WAO

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe tatizo la ajira lilikuwepo tokea hata sijazaliwa.

Kuanzia leo nakuwa nakupa heshima yako Shikamoo Mshana Jr
 
Mshana Jr hii mada uliandika October 2016. Kipindi hicho nilikuwa nasoma form six ila leo nimekuja kuisoma nikiwa nimebakiza wiki 4 tu kuhitimu chuo kikuu. Kweli ni mada moja inaumiza sana huku tukiwa tumeisha onja joto la kitaa wakati wa Corona. Sema kweli nina stress sana ila basi tu mpaka nimeanza kulewa hata kabla sijaingia kitaa.

Ni bora nisingesoma tu. Au bora kukimbia chuo ili nijue moja kuwa Sina cheti
Acha ujinga! Kwanini unakata tamaa? Unaijua kesho yako? Ni kweli mtaani hapaeleweki lakini kila mtu na bahati yake!

Milango hufunguka pale usipotarajia wala kudhania..

Kaa ukijua aliyesoma, kasoma tu! Nikutakie masomo mema.
 
Mshana Jr hii mada uliandika October 2016. Kipindi hicho nilikuwa nasoma form six ila leo nimekuja kuisoma nikiwa nimebakiza wiki 4 tu kuhitimu chuo kikuu. Kweli ni mada moja inaumiza sana huku tukiwa tumeisha onja joto la kitaa wakati wa Corona. Sema kweli nina stress sana ila basi tu mpaka nimeanza kulewa hata kabla sijaingia kitaa.

Ni bora nisingesoma tu. Au bora kukimbia chuo ili nijue moja kuwa Sina cheti
Usije kuwa wewe ndie umomi mwenyewe
 
Takwimu za kukua kwa uchumi
Takwimu za kuongezeka pato la Taifa
Takwimu za kuanza kulipa deni la Taifa
Habari za kuhakiki watumishi hewa
Habari za kusitisha ajira nknk
Haya mambo yote haya ni kizungumkuti kwa kijana graduate asiye na ajira na mwenye kutegemewa na wazazi pale kijijini achilia mbali changamoto zake mwenyewe
 
View attachment 411685
Ni asubuhi ya siku nyingine tena, harakati zimeshaanza na nyingi Zikiwa ni kuwahi kazini au mishemishe pamoja na uchovu wa jana lakini huna budi kuamka na kujiandaa ili uwahi kazini

Ni katika kipindi hiki kwenye hizi harakati za kuwahi kibaruani kuna mtu yuko kitandani muda huu si kwa kupenda la hasha! Anaumia hana kazi naye angetamani muda huu awe anapasi nguo za kazini au yuko barabarani kuwahi

View attachment 411686
Anaumia sana akikumbuka alivyosoma kwa tabu na sasa ni mwaka wa tatu huu hana ajira huku washkaji zake wakipeta(mawazo mabaya huanzia hapa)kwanini na si mimi?kwanini wao wapate na mimi nikose? Kwani tunatofautiana nini? INAUMIZA SANA

Huwezi kuendelea kulala siku nzima utaumwa unaamua kutoka uende kijiweni au ukajaribu bahati yako popote lakini du mfukoni huna hata mia!inauma sana.

Siku yako inapita hivyo hivyo kimungu Mungu na jioni inapokaribia unaanza kuwaona watu wakirudi toka makazini, kwenye magari yao na wengine kwenye usafiri wa jumuiya wengine wamechoka wengine wanapiga story inaumiza mno unatamani na wewe ungekuwa mmoja wao

Unavuta picha jinsi ulivyochomekea na tai yako jinsi ulivyohudumia wateja wako kazini changamoto ulizokutana nazo..unajikuta kabisa ukitumika na kuhudumia kwa furaha unapotelea kabisa mawazoni mpaka unatabasamu, na ghafla unashtuka kumbe uko kijiweni honi ya mshikaji uliyesoma naye inakushtua yuko kwenye altezza anatoka job INAUMIZA SANA
View attachment 411684

tatizo la ajira ni la dunia nzima lakini hii isiwe kisingizio cha serikali...kila mwaka vijana wetu wanamaliza elimu zao wakitegemea kupata ajira...na idadi inaongezeka kila mwaka.. ! Hili linapaswa kuangaliwa kwa umakini zaidi hali ni mbaya sana mitaani
Kama serikali isinge jikita ktk mega project ingekuwa na uwezo kuajiri watu wengi Sana na kupunguza hali ya SASA huwo ndio ukweli mchungu.
 
Hii hali inaumiza sana. Inabidi tuangalie na kushauri pia namna bora zaidi ya kuboresha mifumo yetu ya elimu angalau iendane na hali halisi ya maisha ya sasa na mahitji ya jamii yetu. Ahsante Mshana
 
"Anaumia sana akikumbuka alivyosoma kwa tabu na sasa ni mwaka wa tatu huu hana ajira huku washkaji zake wakipeta(mawazo mabaya huanzia hapa)kwanini na si mimi?kwanini wao wapate na mimi nikose? Kwani tunatofautiana nini? INAUMIZA SANA"
 
Hii hali inaumiza sana. Inabidi tuangalie na kushauri pia namna bora zaidi ya kuboresha mifumo yetu ya elimu angalau iendane na hali halisi ya maisha ya sasa na mahitji ya jamii yetu. Ahsante Mshana
[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1534][emoji1548]
 
Kama serikali isinge jikita ktk mega project ingekuwa na uwezo kuajiri watu wengi Sana na kupunguza hali ya SASA huwo ndio ukweli mchungu.
Na hii hali ya kuendelea kuwapa wazee wastaafu kazi inawaumiza sana vijana...hawa wangebaki kuwa washauri tu kwasasa na hizo nafasi zao wakapewa vijana
 
Angalia jinsi wasomi wa Vyuo Vikuu wanavyopigwa na maisha mtaani
 
tatizo la ajira ni la dunia nzima lakini hii isiwe kisingizio cha serikali...kila mwaka vijana wetu wanamaliza elimu zao wakitegemea kupata ajira...na idadi inaongezeka kila mwaka.. ! Hili linapaswa kuangaliwa kwa umakini zaidi hali ni mbaya sana mitaani
 
View attachment 411685
Ni asubuhi ya siku nyingine tena, harakati zimeshaanza na nyingi Zikiwa ni kuwahi kazini au mishemishe pamoja na uchovu wa jana lakini huna budi kuamka na kujiandaa ili uwahi kazini

Ni katika kipindi hiki kwenye hizi harakati za kuwahi kibaruani kuna mtu yuko kitandani muda huu si kwa kupenda la hasha! Anaumia hana kazi naye angetamani muda huu awe anapasi nguo za kazini au yuko barabarani kuwahi

View attachment 411686
Anaumia sana akikumbuka alivyosoma kwa tabu na sasa ni mwaka wa tatu huu hana ajira huku washkaji zake wakipeta(mawazo mabaya huanzia hapa)kwanini na si mimi?kwanini wao wapate na mimi nikose? Kwani tunatofautiana nini? INAUMIZA SANA

Huwezi kuendelea kulala siku nzima utaumwa unaamua kutoka uende kijiweni au ukajaribu bahati yako popote lakini du mfukoni huna hata mia!inauma sana.

Siku yako inapita hivyo hivyo kimungu Mungu na jioni inapokaribia unaanza kuwaona watu wakirudi toka makazini, kwenye magari yao na wengine kwenye usafiri wa jumuiya wengine wamechoka wengine wanapiga story inaumiza mno unatamani na wewe ungekuwa mmoja wao

Unavuta picha jinsi ulivyochomekea na tai yako jinsi ulivyohudumia wateja wako kazini changamoto ulizokutana nazo..unajikuta kabisa ukitumika na kuhudumia kwa furaha unapotelea kabisa mawazoni mpaka unatabasamu, na ghafla unashtuka kumbe uko kijiweni honi ya mshikaji uliyesoma naye inakushtua yuko kwenye altezza anatoka job INAUMIZA SANA
View attachment 411684

tatizo la ajira ni la dunia nzima lakini hii isiwe kisingizio cha serikali...kila mwaka vijana wetu wanamaliza elimu zao wakitegemea kupata ajira...na idadi inaongezeka kila mwaka.. ! Hili linapaswa kuangaliwa kwa umakini zaidi hali ni mbaya sana mitaani
Braza kumbe ukiachana na ulozi tu una madini adimu ya drop forged 😅 kwa ajili ya spana kama hizi
 
Back
Top Bottom