Kupata Ajira serikalini ni Kwa kujuana. Si unaona vijana wa Zanzibar Sasa hivi ni 50:50 kwenye Ajira zote za vyombo vya Dola iwe Usalama wa Taifa, UHAMIAJI, JW, Polisi, MAGEREZA, n.k. Sasa hivi ni 50 kwa 50 na ili upate hiyo Ajira lazima uwe UVCCMTakwimu za kukua kwa uchumi
Takwimu za kuongezeka pato la Taifa
Takwimu za kuanza kulipa deni la Taifa
Habari za kuhakiki watumishi hewa
Habari za kusitisha ajira nknk
Haya mambo yote haya ni kizungumkuti kwa kijana graduate asiye na ajira na mwenye kutegemewa na wazazi pale kijijini achilia mbali changamoto zake mwenyewe