Tukiwa tunasema kwamba watu wajitahidi kuandika vizuri na kwa ufasaha wanasema oohh watu mliosoma HKL mnajulikana mtadhani mnakula muandiko! Sasa ona amekosa kazi.Sometimes kazi tunajikosesha wenyeweView attachment 2371193
Xbir, xaxa, mishe vp..Tukiwa tunasema kwamba watu wajitahidi kuandika vizuri na kwa ufasaha wanasema oohh watu mliosoma HKL mnajulikana mtadhani mnakula muandiko! Sasa ona amekosa kazi.
Wengi wako hivi hata meseji za kawaida kuulizia mchongo wa kazi, biashara,connections wanakosea sana,inamkosesha mtu umakini wa kumpa kazi.
Vijana wengi siku hizi ni wabishi ,hawataki kurekebishwa, miandiko yao kama Lugha za biashara za matangazo.

Humo humo kakaXbir, xaxa, mishe vp..![]()



,xaxa boxi hile kaxi vp jomoni!!


anamkolozea na makopa kabisa.Hatari kaka

Aise siku shemeji yako akiachishwa kazi labda akili zako zitakaa sawa endelea kula bure!Ndiyo muisome namba
Muhindi katema madini sana.
Kuna mhitimu mmoja anaendesha bajaji ya mtu, masimango kibao, mara chuma imeloga, jamaa yupo frustrated sana, hofu ya kunyang'anywa chombo huku hana ajira yani ni tafrani mazee![]()
![]()
nimecheza anga zote mbili..jaribu kuanzisha biashara yako leo hii ili ujikwamue kimaisha baada ya kukosa ajira uone mziki wake
Kupata tu nyaraka za kukutambua kama mjasiriamali unaweza kukata tamaa na kurudi kijiweni ukavute bangi
Michakato migumu kuanzia kupata mtaji mpaka kusimamisha biashara imewashinda wengi