Unabii wa T.B Joshua na yanayotokea South Sudan

wakuu kuna nchi za jumuiya ya afrika mashariki na kuna nchi za africa mashariki.

nchi za afrika mashariki ni
Burundi
Comoros
Djbout
Eritrea
Ethiopia
Tanzania
Uganda
Rwanda
Kenya
Madagascar
Malawi
Mauritius
Mayotte
Msumbiji
Reunion
Seychelles
Somalia
Zambia
Zimbabwe

hivo rais atatekwa kwenye nchi hizo msije mkajua nchi jumuiya za EAC tu

Morroco yatuma ombi kujiunga east africa
 
He he heee! Kuna watu walikuwa wanasema wamesali sana ndiyo maana hayo majanga hayajatokea kwamba Mungu kajibu Dua zao. Sasa mnaleta tena Porojo za South Sudan wakati mlituambia ni nchi ya Africa Mashariki sasa tuelewe nini?
 
TB Joshua ni tapeli tu! Kama anaponya wagonjwa si aende hospital akaponywe wote madokta wapumzike?eti anoited water? Anawaingiza wengi kweli chaka.
 
T.B Joshua alitabiri mauaji na kutekwa kwa Rais wa nchi. Tunakoelekea inaonekana unabii unaenda kutimia maana damu imeshamwagika kwa zaidi ya watu 500 kuuawa. Ngoja tuona maana biblia inasema neno langu halitarudi bure bila kutimiza kusudi lake. Nguvu ya waasi imekuwa kubwa kiasi cha kupiga ndege za Marekani zilizoko kwenye shughuli za amani.

Hana jipya!
 
alichofanya rais wa sudan kuwatimua mawaziri ambao pia walifight wote lazima yangetokea haya.

pia makamu wake alipotangaza nia ya kugombea urais uchaguz ujao na jamaa akaona amtimue ilo ni janga pia.

nilishawai kuwaambia watu lazima kitanuka south sudan muda si mrefu kwa sababu hizo na kweli. sijaonyeshwa na yeyote bali nimeangalia mambo anayofanya uyo rais nikajua kitanuka.

pia south sudan walikuwa wana matarajio ya maisha bora baada ya kujitenga lakin hawajapata viongoz wao wanafisadi mabillion ya dollar.

ukiona apo juba panatia huruma mji mbaya sana

Acha uzushi basi mkuu!Ufisadi gani walionao?unadhani nchi itajengwa katika muda mfupi tu kama huu wa south Sudan tangu kupata uhuru kamili(kujitenga)?

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
jamani acheni kuwadharau watumishi wa Mungu,nyie mnaomwita TB joshu eti ni tapeli,aliwatapeli nini? ngojeni niwakumbushe matukio muhimu,mwaka juzi nikiwa nyumbani naangalia Emmanuel TV ktk kipindi cha prophecy time,TB Joshua alitabiri 'live' kifo cha rais wa poland pamoja na baadhi ya mawaziri wake na mkuu wa majeshi,tena alisema kabisa kuwa watakufa kwa ajali ya ndege,na kweli baada ya wk tu ajali ya ndege ikatokea wakielekea urusi,wakafa wote,utabiri mwingine tena,akasema kuwa,kiongozi mmoja wa taifa kubwa atashambuliwa,na kweli siku chache baada ya utabiri ule,waziri mkuu wa wakati ule wa Italy,Berlusconi akashambuliwa kwa kupigwa na chuma mdomoni,matukio ni mengi mno aliyotabiri,siwezi kuyaandika yote,ila kwa hakika TB Joshua ni nabii wa kweli wa Mungu,kanisa lake limejaa wajane wengi,maskini wa kila aina ambao yeye huwasaidia kwa kuwapa pesa na chakula,anasomesha vijana wengi,hata wakati wa maafa ya Haiti alipeleka ndege ya msaada,meli zanzibar ilipozama na kuua,alituma zaidi ya mil 25 za msaada.
 
weka link ya excatly date ya unabii wa hiyo ajali na pia weka link ya lini ajali imetokea.
 
Mkuu hatushindani,TB Joshua ni mtumwa wa MUNGU,yeye c Mungu,ni binadamu kama wewe,ila anatumiwa na MUngu tu,kwa hiyo siwezi kujisumbua eti niweke link,ili kuwaridhisha watu wasioamini,asiyeamini abaki na msimamo wake,na anayeamini uwepo wa Mungu na nguvu za utendaji wake naye abaki na msimamo wake,ni hilo tu mkuu.
 
T.B Joshua alitabiri mauaji na kutekwa kwa Rais wa nchi. Tunakoelekea inaonekana unabii unaenda kutimia maana damu imeshamwagika kwa zaidi ya watu 500 kuuawa. Ngoja tuona maana biblia inasema neno langu halitarudi bure bila kutimiza kusudi lake. Nguvu ya waasi imekuwa kubwa kiasi cha kupiga ndege za Marekani zilizoko kwenye shughuli za amani.

Rais gani katekwa?

Na hata akitekwa sasa tutajuaje kwamba ndiyo utabiri unatimia na so kwamba habari za utabiri huo ndizo zilizosababisha kutekwa huko?
 
tunapoelekea anaweza tokea gaidi akawa anatabiri mlipuko harafu anatuma vijana wake kulipua.
uku sisi tukisherekea utabiri kutimia. mkumbuke ata sheikh Yahya alikuwa anatabiri
 
Kabisa.

Huyu tapeli alipotoa huu utabiri nilihoji, akitekwa rais tutajuaje kwamba hao waliomteka sio vibaraka wa Joshua waliopanga mchongo ili bwana wao apande chati ?

Sijajibiwa mpaka leo.
 
pia mbona anatabiri Majanga tu kwani mazuri uwa ayatokei
 
T.B Joshua alitabiri mauaji na kutekwa kwa Rais wa nchi. Tunakoelekea inaonekana unabii unaenda kutimia maana damu imeshamwagika kwa zaidi ya watu 500 kuuawa. Ngoja tuona maana biblia inasema neno langu halitarudi bure bila kutimiza kusudi lake. Nguvu ya waasi imekuwa kubwa kiasi cha kupiga ndege za Marekani zilizoko kwenye shughuli za amani.

Hivi alisema lini yatatokea? Kumbe ni South Sudan, nilisikia kama East Africa?
 
Back
Top Bottom