Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

Unabii wa ajabu uliotimia bila shaka

HAKUNA biblia HAPO MZEE.
Biblia ilikuja baada ya yesu kuondoka.biblia NI muunganiko wa vitabu vingi vya waandishi tofauti tofauti.kwa hyo hata huyo yes hajawahi kuishika biblia Wala kuiona na haijui
Kama ni hivyo, mbona Yesu alisoma kitabu Cha Isaya ambacho kimo ndani ya Biblia akiwa sinagogi, alisoma Isaya 61:1? Kama vitabu vya Biblia havikuwepo kabla ya Yesu, references ambazo Yesu alikuwa anazitoa zilitoka wapi?
Usiongee Kwa mihemko
 
Nikionaga mtu ana kashifu MAANDIKO YA BIBLIA huwa nashangaa Sana, Kuna mawili Hana elimu ya kutosha Kuhusu maandiko yake, au amepofushwa na matapeli wa dini .

HEBU ONA UNABII HUU WA YESU ULIVYOTIMIA.

HATA UKIAMBIWA UUPINGE UNAKOSA HOJA KABISA. HIVI KUNA KITABU CHA AJABU KAMA BIBLIA ?

TWENDE UONE

Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" .

Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.

Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.

Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.

Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti(BENZANTINE) mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.

Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba.

Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika

Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.

Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem.

View attachment 2406798
Tulipaswa kujadili yetu hapa maji na umeme vinatushinda zaidi tunaweza kukopa tu..hata baada ya miaka 60 ya uhuru. Tufanye nini tutoke hapa tulipi km taifa.

Tukimalizana na yetu sasa ndio tuendelee na hao wengine..
 
Kama ni hivyo, mbona Yesu alisoma kitabu Cha Isaya ambacho kimo ndani ya Biblia akiwa sinagogi, alisoma Isaya 61:1? Kama vitabu vya Biblia havikuwepo kabla ya Yesu, references ambazo Yesu alikuwa anazitoa zilitoka wapi?
Usiongee Kwa mihemko
Kipo mdani ya touraati.
 
isaya alikuwa NI nabii?tuanzie hapo kiongozi
 
Taurati na kitabu Cha Isaya ni vitabu viwili tofauti, Taurati ni maneno aliyopewa Musa na Mungu Kwa Wana wa Israeli, ila kitabu Cha Isaya ni kitabu Cha unabii ambacho kinaelezea unabii wa Isaya mwana wa Amozi Kwa Wana wa Yuda na Israeli.
 
Attachments

  • Screenshot_20221104-231628.png
    Screenshot_20221104-231628.png
    82.9 KB · Views: 18
Nikionaga mtu ana kashifu MAANDIKO YA BIBLIA huwa nashangaa Sana, Kuna mawili Hana elimu ya kutosha Kuhusu maandiko yake, au amepofushwa na matapeli wa dini .

HEBU ONA UNABII HUU WA YESU ULIVYOTIMIA.

HATA UKIAMBIWA UUPINGE UNAKOSA HOJA KABISA. HIVI KUNA KITABU CHA AJABU KAMA BIBLIA ?

TWENDE UONE

Yesu alisema katika Mathayo 24:2,
"...amin, amin nawaambieni, halitasalia hapa jiwe ambalo halitabomoshwa" .

Hii ni baada ya wanafunzi wake kumuonesha mawe ya hekalu na misingi yake ilivyo imara.

Mwaka 70 AD jeshi la Dola la Roma lilivamia Yerusalemu na kubomoa hekalu, tarehe ileile lilipobomolewa mara ya kwanza.Kuta za msingi tu zilibaki na ukuta mkubwa wa magharibi unasimama hadi leo, ukijlikana kama Ukuta wa Maombolezo na ni patakatifu pa Wayahudi.

Waroma walijenga hapohapo hekalu kubwa kwa mungu wao Jupiter lililobomolewa baada ya ushindi wa Ukristo katika Dola la Roma.

Mara mbili kulitokea majaribio ya kujenga tena hekalu la Kiyahudi: mara ya kwanza chini ya Kaisari Julian Apostata, na mara ya pili wakati wa uvamizi wa Uajemi kwenye vita dhidi ya Bizanti(BENZANTINE) mnamo 614 lakini majaribio yote yalishindikana.

Waislamu walipovamia Yerusalemu walikuta mlima wa hekalu kama mahali pa maghofu tu wakajenga hapo misikiti miwili: msikiti wa Al Aqsa pamoja na Kubba ya Mwamba.

Lakini Kuna watu wanawadanganya wenzao kuwa SULEIMAN ndio alijenga huo msikiti ,Kitu ambacho sio kweli,

Hebu jiulize , ikiwa Muhamad kaja na uislamu miaka ya 600s AD , na kipindi hicho ndipo akaanza kujenga misikiti. , awali hapakuwa na Jengo linaloitwa msikiti,.Hili jambo hata mwenyewe muhamad, akijua ukweli huu, katika

Quran 22:40 ameyatofautisha majengo haya KANISA, SINAGOGI, HEKALU NA MSIKITI.

KATIKA QURAN hakuna neno YERUSALEMU , biblia inayotumiwa na wayahudi na wakristo , AGANO LA KALE/TANAKH imelitaja mara 5000+ neno yerusalemu, wakati Quran ikitafuta ushahidi wakuokoteza , ili kuhadaa watu kuhusu Uhalali wa umiliki wa YERUSALEMU.

Na hoja hizo ndizo zimekuwa zikijadiliwa tena na tena kwenye Mabunge ya Marekani na Nchi za umoja wa mataifa juu ya uhalali wa Nchi ya Israel kuwa ndio wamiliki halali wa Mji wa Yerusalem.

View attachment 2406798
Huwez amini SIJAELEWA
 
Nadhani wakati unajengwa huo msikiti usikute wayahudi walikuwa washa sepa maana pangechimbika
 
Sijui kwa nini wakiristo wengi mnapenda hizi mada ,wakati mwingine mnafosi kuleta bila kuchunguza mnachokiandika na kuweka makosa ya wazi kabisa.

Siko hapa kufanya mijadala kwani sasa hivi najiepusha na mada kama hizi ila ningependa kukurekebisha kuwa kubwa ya mwamba sio msikitini , msikitini hapo ni Masjid al Aqsa .
 
Kakaa manabii waliopewa vitabu ni wanne.zaburi ya daudi,taurati ya Musa,INJILI YA YESU.NA QURAN YA MUHAMMAD.ninyi biblia mmeitoa wapi?na biblia ilikuja baaada ya yesu kuondoka.lakini Quran Muhammad alipewa mwenyewe kuanzia aya ya 1 mpaka ya mwisho.na baada ya kukamilika ikapigwa lock .HAKUNA aya kuingia Wala kutoka katika Quran.
Taurati ya Muda,Zaburi ya Daudi,na Injili ya Yesu hivi ni vitabu vyenye asili moja ya Uyahudi na mtiririko wake ni mmoja hata wahusika Wana Nasaba Moja.
Hiyo Quran hapo huwa watu wanainasibisha kivipi watu waache kuwa wapumbavu na kujipendekeza Quran ni copycat ya biblia Ina mambo mengi fabricated na Wala haina asili ya Uyahudi Wala haina Nasaba na Biblia Muhammad alipewa na Jinn mkuu akidai ni malaika.Na hata sifa alizoeleza za huyo malaika hazifanani na sifa za malaika wanaotajwa kwenye vitabu vya wayahudi.
Wayahudi ni wayahudi tu.Wakristu ni Wakristu tu.Waislamu ni waislamu tu.
Hakuna mafungamano ya haina yoyote hapo.Ni Imani tofauti Kabisa hizo.
 
Ila sasa Quran ilitoka kichwani kwa Muhammad lakini Biblia ni muunganiko wa vitabu vingi vilivyoandikwa na kuhifadhia kabla ya Quran. Huu ukweli haupingiki. Pia Kuna vitabu kama au maandiko ambayo yaliandikwa na wengine ambayo yapo kwenye Biblia. .
Biblia haijawahi kuitangulia Qur'aan acha uongo na ujinga. Taurati, Zaburi, Injili hivi vitabu ndivyo vilivyo itangulia Qur'aan na si Biblia. Qur'aan ipo hata Biblia ilikuwa si yenye kutajika.
 
Hivi unaelewa ulichoandika. Au unataka ubishi wa dini?. Kitabu kipi kilianza kati ya Biblia na Quran?
 
Naandika kwa Elimu na hoja, Biblia ya kwanza iliandikwa lini ? Biblia imekuja baadae sana.

Vitabu vinne pekee ndiyo vimeitangulia Qur'aan, na si Biblia. Sasa wewe kama unasema ukweli tuambie Biblia iliandikwa lini kwa mara ya kwanza ?
 
Taurati,Zaburi na Injili hazina uhusiano wowote na Qurani Wala hazijawahi kutaja Qurani.
Ila Kuna majinga mengi yanalazimisha Qurani kuwa na mahusiano na Taurati,Zaburi na Injili.
Havina hata ukaribu Kabisa.
 
Naandika kwa Elimu na hoja, Biblia ya kwanza iliandikwa lini ? Biblia imekuja baadae sana.

Vitabu vinne pekee ndiyo vimeitangulia Qur'aan, na si Biblia. Sasa wewe kama unasema ukweli tuambie Biblia iliandikwa lini kwa mara ya kwanza ?
Quran aliyoshushiwa Muhammad mwaka 600's unasema ndio ya kwanza kabla ya biblia

Kama Quran ilikuwepo kwanin Muhammad alishushiwa unajua uislamu ni dini ya vibweka sana
 
Back
Top Bottom