Unabii mzito kwa nchi

Unabii mzito kwa nchi

Ila samia taongoza nakumalizia uongozi wake .
Nahakuna mtu atakayemfanya kitu unaona kawachukua mazombi yote ya na matshirts ccm mbele kwa mbele
Tutaona
Utanikumbusha sk kama atamaliza madaraka
 
Zaburi 33:12
"Heri taifa ambalo Mungu wake ni Bwana, Watu aliowachagua kuwa urithi wake."

"Blessed is the nation whose God is the Lord; and the people whom he hath chosen for his own inheritance.

2 Mambo ya Nyakati 7:14
"Ikiwa watu wangu, walioitwa kwa jina langu, watanyenyeka, na kuomba, na kunitafuta uso wangu, na kuacha njia zao mbaya; basi nitasikia toka mbinguni, nitawasamehe dhambi yao, na kuponya nchi yao."

"If my people, which are called by my name, shall humble themselves, and pray... then will I hear from heaven, and will heal their land.
 
Mungu huwa anamsaidia mtu anaeonesha nia, ndio maana hata kuvuka bahari Mungu alimuuliza Musa una nini mkononi? Nae akajibu nina fimbo.... Na fimbo ile akaionyooshea bahari maji yakagawanyika.

Haya wamalawi Mungu anatuuliza tuna nini mkononi? Tuna da mange 😁
Aisee
 
Back
Top Bottom