Unaanza vipi wakati wa baridi?

MPAMBANAJI.COM

JF-Expert Member
Mar 2, 2011
712
331
baridi ndo inaanza na nimehamia huu mkoa wa watu, baridi sijawahi kuiona maishani mwangu...nataka nioge na napenda maji baridi nianze vipi jamani?siku ya tatu sijaoga sasa



Nisaidie tafadhali
 
Una bathtub ama unatumia beseni la cello kuoga? Manake style ya kupiga mbizi ndo bomba
 
Hakuna hata jiko la kuchemshia maji..?Unanipa mashaka tu kuwa hupendi usafi wewe
 
umenikumbusha mbali...enzi zile za utoto afu kuna baridi...unaoga cha mbele tu...mgongo mkavuu!

haya kaoge...tutolee harufu ya BEBERU hapa!
 
here is the technique, toa pumzi nje kwa wingi halafu vuta ndani ya kutosha halafu ihold na jimwagie maji wakati umehold pumzi, you wont feel anything i gurantee.
 
uchafu unakusumbua sio baridi,ina maana unakula wapi hata jiko huna?
 
Ka'msimu ka'fertilazation na ma'reproduction ! Mambo ya zeygot! Ma'felopian tube yatakua busy kisenzi !
Ovary zote busy!
sijui wabongo tumepata wapi haka kaidea wakati utafiti unaonyesha wakati wa baridi au sehemu za baridi hamu ya ngono hushuka
 
Ka'msimu ka'fertilazation na ma'reproduction ! Mambo ya zeygot! Ma'felopian tube yatakua busy kisenzi !
Ovary zote busy!
Hahahahahahaaa kameanza na nina mpango wa kuhama mtaa maana huku kwangu hilo zoezi sidhan kama litawezekana
 
Back
Top Bottom